dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Mkuu video basiWakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Katoro, muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza.
Kwa hakika lipo la kujifunza kwa watu wa CCM. Msijifanye kuwa hakuna mnayoona!
Ingia kwa Lissu Twitter account yupo live!Mkuu video basi
Lete ushahidiWakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Katoro, muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza.
Kwa hakika lipo la kujifunza kwa watu wa CCM. Msijifanye kuwa hakuna mnayoona!
Tunafuatilia kwa hamu kubwa tuletee pics.Wakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Katoro, muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza.
Kwa hakika lipo la kujifunza kwa watu wa CCM. Msijifanye hamuoni kinachoendelea!
Video: Katoro Geita
View attachment 1578469
Kazi ya kufanya ufisadi, kazi ya kuua watu, kazi ya kuharibu uchumi wa nchi na wa watu....... Ccm ni chama cha kishetaniCCM walishamaliza kazi kitambo
HeeWakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Katoro, muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza.
Kwa hakika lipo la kujifunza kwa watu wa CCM. Msijifanye hamuoni kinachoendelea!
Video: Katoro Geita
View attachment 1578469
Heeeee hii Ni Geita🤭🤭🤭🤗🤗Wakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Katoro, muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza.
Kwa hakika lipo la kujifunza kwa watu wa CCM. Msijifanye hamuoni kinachoendelea!
Video: Katoro Geita
View attachment 1578469
Hujiulizi mbona zina GizaJamaa anasema hizo nyomi ni za 2015.
Kweli chama dora akili hazimo kabisa.
Geita hiyo. Yani ukisogea mbele kidogo Chato hiyooo! Na msafara umesindikizwa na halaiki wastani wa mwendo wa kilometa 2!Heeeee hii Ni Geita🤭🤭🤭🤗🤗
Kafika hapo saa 11 jioni unategemea uone mwanga? Haya ni video ya mwaka 2060 furahi rohoni basi!Hujiulizi mbona zina Giza
CCM chukueni hatua ...kusifu na kuabudu su deal Tena!Geita hiyo. Yani ukisogea mbele kidogo Chato hiyooo! Na msafara umesindikizwa na halaiki wastani wa mwendo wa kilometa 2!
Picha zenu za gizani za 2015 mnazochakachua sasa tumeshazizoeaKafika hapo saa 11 jioni unategemea uone mwanga? Haya ni video ya mwaka 2060 furahi rohoni basi!
Wanajifanya MbuniJamaa anasema hizo nyomi ni za 2015.
Kweli chama dora akili hazimo kabisa.