Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atua Katoro - Geita kwa kishindo

Toka vyama vingi hakuna chaguzi CCM kamshinda Maalim kwa gap ya 70% eti 2020 ndio apate 25%, are we serious?

Funny enough hao hao wakitoa takwimu kuwa kuna ukiukwaji wa haki za binadamu mnatoka povu

Uko ukiukwaji wa haki za bibadamu hapa Tanzania zaidi ya ule uliokidhiri ba kukubuhu wa polisi kuchinjwa hadharani mchana kweupe kama kuku. Come on giving me the break! Hee!
 
Kura yangu asubuhi na mapema kabisa kwa Lissu!Ukiteseka ni juu yako!

Tuteseke kwa lipi? Wakati tunajua 1% ya wafuasi wa Lissu na rais wa macholo duniani wako Tanzania na ndio watakao mpa kura zao. Cdm walio wengi wameuzika sana tu. Jwa kitendo chaa mgombea wso wa urais wa JMT safari hii ambaye ni mwanasheria mtetezi wa ushoga. Akitumia kifungu cha sheria ya faragha kama chaka la kujifichia humo. This is not Lissu I used to know. Wale waliomfuta Fatma Karume wangetakiwa waanze na Lissu. Kadhalilisha sana taaluma hii adhimu. Huko ubeligiji watakuwa wamempandikizia akili ya ajabu kabisa.
 
Si safari hii mkuu wangu, si safari hii na rudia. Lissu nyomi yake ni ya tuwanja twa mtaani tu open spaces. Hapo Iringa walio nje na njiani kuekejea sehemu ya tukio ni mara 2 ya walio ndani ya uwanja. Hapo unapata ujumbe gani bwashee?
Hujajibu swali... Yaani hyo nyomi ya CHADEMA unayoita ni ndogo ndio imewagaragaza hapo mjini tokea 2010 alafu unasema sio this time?

Hahahah mkuu pole sana, yaani wembe ule ule uliokujeruhi jana ila leo ukikukata hutoumia?
 
Uko ukiukwaji wa haki za bibadamu hapa Tanzania zaidi ya ule uliokidhiri ba kukubuhu wa polisi kuchinjwa hadharani mchana kweupe kama kuku. Come on giving me the break! Hee!
Ndio nasema siku wakitoa takwimu msizopenda msiwaite mabeberu
 
Tuteseke kwa lipi? Wakati tunajua 1% ya wafuasi wa Lissu na rais wa macholo duniani wako Tanzania na ndio watakao mpa kura zao. Cdm walio wengi wameuzika sana tu. Jwa kitendo chaa mgombea wso wa urais wa JMT safari hii ambaye ni mwanasheria mtetezi wa ushoga. Akitumia kifungu cha sheria ya faragha kama chaka la kujifichia humo. This is not Lissu I used to know. Wale waliomfuta Fatma Karume wangetakiwa waanze na Lissu. Kadhalilisha sana taaluma hii adhimu. Huko ubeligiji watakuwa wamempandikizia akili ya ajabu kabisa.
Kwa propaganda zenu hizi mkajua Lissu hatapata watu wala nguvu ya ushawishi!Ajabu amevunja record hadi nyumbani kabisa bila wasanii wala malori!😁
Na hiki ndicho kimechanganya akili kwelikweli!
Tar 28 kura yangu kwa Lissu,hata wewe mpigie tu!
Makada wengi wa CCM watampigia kura Lissu!
 
Hapana ya mabalozi wa nchi 15 za UE. Hapo sijamtaja wa Italy na Northern Ireland, kumbuka hilo, ndio ni muhimu, Lissu are you aware of this?!!! Umelikoroga usipo linywa utakoga tu, that much I'm sure of it.
Wasted sperm
 
Hujajibu swali... Yaani hyo nyomi ya CHADEMA unayoita ni ndogo ndio imewagaragaza hapo mjini tokea 2010 alafu unasema sio this time?

Hahahah mkuu pole sana, yaani wembe ule ule uliokujeruhi jana ila leo ukikukata hutoumia?

Bwashee hizi sio zama zile za mkuu wa nchi kuhangaika angani akitafuta masurufu ya safari na kuwaachia cdm nchi na wakikutamba mijini na vijijini kwa kuendesha mikutano ya sera za kitapeli kwa wananchi. Jua hilo kwanza.
 
Ndio nasema siku wakitoa takwimu msizopenda msiwaite mabeberu

Hawatatoa ushindi dhidi ya corona chini ya mkono hadari wa Mungu wetu umewafanya wawe doroo wamedorora hata kampeni zao chafu na mufilisi kwa Tanzania hawaziwezi tena.
 
Kwa propaganda zenu hizi mkajua Lissu hatapata watu wala nguvu ya ushawishi!Ajabu amevunja record hadi nyumbani kabisa bila wasanii wala malori!😁
Na hiki ndicho kimechanganya akili kwelikweli!
Tar 28 kura yangu kwa Lissu,hata wewe mpigie tu!
Makada wengi wa CCM watampigia kura Lissu!

Kama hujui maana ya kuvunja records na kusaidia angalia mikutano yote ya hadhara ya kisiasa tangu uhuru, tangu Mwl JK. Hakuna mikutano ya kisiasa iliyowahi kukusanya Watanzania kwa kuvunja records kama ya JPM uchaguzi huu wa 2020.

Kidogo na kwa mbali naona ujio ule wa Nelson Mandela Tanzania. Umati wake unakaribia huu wa JPM, abgalau.
 
Endeleeni kujidanganya na kusomba watu na malori na kuwagaia kofia na tshirt bure!
 
Jiongeze unahitaji malori mangapi kusomba watu wa kujaza uwanja na walio bakia nje wawe mara mbili ya walio ndani ya uwanja?
 
Kwani mnashindwa kupeleka lori kila kijiji?Ndivyo ilivyokuwa JPM alivyokuwa kigoma!Hili nilishuhudia!Hayo maswalu waulize wahusika walitumia magari mangapi!
 
Back
Top Bottom