Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Namuomba YEHODAYA ajitokeze tena na akane kuwa hayo si kweli aliyaandika humu Jamii Forums, namsingizia tu. Uzuri wa hii mitandao ni kwamba huwezi kufuta ulicho-post, unaweza kujidanganya umefuta lakini huko mawinguni maandishi yako yatabaki tu upende usipende. Si hivyo tu waliokuwa Jamii Forums wakati huo, wote walisoma yote aliyoyaandika huyo YEHODAYA
[/QOUTE\]
Yehodaya jukwaa la Siasa Kuna ugonjwa hua unamsumbua. ..fistula si fistula
Autism si autism...msamehe tu