Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atua Katoro - Geita kwa kishindo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atua Katoro - Geita kwa kishindo

Bavicha vichwa ngumu! Kwa hiyo hapo Lisu kashashinda?
Hivi huyo Lisu wenu anaingia mara ngapi hapa? [emoji116][emoji116][emoji116]
20200819_215139.jpg
20200814_164053.jpg
 
Endeleeni kumdanganya Lussu. EU wenye akili wamesha kubali ya ishe. Lissu is a losing horse and curse to this nation "Tanzania" Someone needs to be out of his/her mind to support him.
EU ya chato au?
 
Lissu anakubalika kila mkoa kila wilaya hata pale palipotegemewa kuwa ngome ya CCM Lissu anakubalika kuliko. Ukicheki huu umati kwenye video hii fupi unaelewa nini wananchi wanamaanisha na tofauti kubwa kati ya umati wa Lissu na ule wa Magufuli ipo wazi sana.
 

Attachments

  • 2527795_93t7z5RiTWCWPsfX.mp4
    4.7 MB
Labda Rais wa kwako na mama yako, nani amruhusu mtu anayefunuliwa mtaro aingie Ikulu.
Ukiishiwa hoja kuwa msomaji tu!Hili ni jukwaa la watu wanaojielewa,sio Facebook hapa au instagram kwa waropokaji!
Jiheshimu na utaheshimiwa!
 
Hata huoni Tena ya Leo funga kazi hizo picha kama za nchi ya Burkina Faso angalia na usikikize wasindikizaji lugha wanayoongea hata haieleweki Ni ya wapi.Hongera Sana Kitengo Cha uchakachuaji picha Cha Chadema.Mumetisha leo
Kazi yako ni ngumu sana mtanzania mwenzangu
 
Mimi swali langu la msingi ni hili:-

• Wapinzani watahakikishaje kuwa kuna Tume huru ya uchaguzi?

Utamzuiaje CCM kuiba kura?
 
Mimi swali langu la msingi ni hili:-

• Wapinzani watahakikishaje kuwa kuna Tume huru ya uchaguzi?

Utamzuiaje CCM kuiba kura?
Aisee kura zitapigwa then zitahesabiwa. Pale kwenye majumuisho ndio huwa wanaingiza za kwao. Sisi tutakuwa nazo za kwetu. Aisee tukishinda watatutangaza tu. Wapende wasipende.
 
Bro yaani umezidisha chumvi sote tumeona taarifa ya habari kupitia ITV yaani watu aliowapata huyu jamaa hawafiki hata nusu ya watu waliomsimasha Magufuli akielekea chato.
Taga, MEGAF00L huwa hasimamishwi, Watz tunaju huwa anafanyaje
 
Back
Top Bottom