Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atua Katoro - Geita kwa kishindo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atua Katoro - Geita kwa kishindo

Wakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Geita Mjini, leo Katoro muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza na kusikiliza sera za kuwakombia.

Kwa hakika lipo la kujifunza kwa watu wa CCM. Msijifanye hamuoni kinachoendelea!

Video: Katoro Geita

View attachment 1578469
Niliwai sema na nasema tena leo. Historia kuu inaenda kuandikwa Tanzania mwaka huu. Tundu Antiphas Lissu anaenda kupindua meza mwaka huu na kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania mwaka huu.

Mungu anaenda kumweka mtoto wake aliyemponya risasi 16 ikulu mwaka huu!
 
Baba yetu magufuli kasema mnatumia picha za 2015, sijui itakuwaje sasa na sisi maccm tunaowajaza wanafunzi na walimu wao kwenye mikutano yetu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleee mataga!!! Naona mmeumia sana shujaaa wa Mungu kukubaliwa kwa kishindo na wana Geita eeh????

Tulieni tu, tuliwaambia mtajua hamjui mwaka huu

Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025. Mtake msitake
Amekubalika na nani? Yaani Nyomi iliyompokea Magufuli tena akiwa njiani utanlinganisha na huyo mabagafreshi.
 
Magesa alishilikiana na Zitto,Hawa watu mimi huwa sina hamu nao kabisa
Kama upinzani wakitaka mwamko wa maandamano nchi nzima, hapo katoro ndio sehemu ya kuanzia mji mdogo lakini unaamsha sana... Mji uliojaa matukio ya kila namna.
===
Hawa watu sio waongeaji sana japo wanavitendo hatari nakumbuka miaka ya nyuma walishawahi kubomoa kituo cha polisi.. Yaani wanaume wanabomoa na kuchoma magari yale yanayokamatagwa na askari wakati huo askari wanarusha mabomu ya machozi, cha ajabu wanawake walikuwa wanawaletea wanaume maji ya kunawa ili waendelee na uharibifu..chanzo cha vurugu hizi ni kwamba polisi wamemshikilia mama mmoja aliyekuwa anadaiwa mchawi.
=
=
.
Tukumbuke miaka ya nyuma sakata la waislamu na wakirsto kuchinjana kisa walalamikiana suala la kuchinja mifugo machinjioni lilianzia hapo.
Waislamu walichoma bible na wakristo walichoma Quran hadharani.. Tukio lilipelekea mchungaji kuchinjwa na waislamu huku wakristo wakimalizia hasira zao kwa kubomoa maduka ya waislamu.
.
Hapo ni mpakani mwa wilaya ya chato na geita vijijini hapo nyuma ikiwa mpakani mwa kagera na mwanza..
.
Kiufupi katoro ni mji wa kuogopa sana tena sana tu.
.
Way back kwa Mara ya kwanza nilihudhuria mkutano wa chadema 2009 uchaguzi wa marudio Hapo katoro jimboni busanda. ndio Mara ya kwanza nilimuona Tundu Lissu alikuwa kavaa t.shirt ya chadema na kofia zile za miti huku kashika tablet Mkononi.Nakumbuka Finiasi magesa mgombea wa Chadema alishinda lakini akamuuzia ubunge bi Lolensia bukwimba wa CCM.
=
.
Siku moja nitarudi huko.
Msalimie lissu mleta mada mwambie finiasi magesa alitulaza nje kisa kufuatilia matokeo yake.
..
Hongera katoro hongera Lissu.
 
Dada nakushauri fuatilia mikutano ya matamasha ya wasanii wakiongozwa na Magufuli ukiendelea kufuatilia Mikutano ya wakili msomi raisi anayesubiri kuapishwa Mhe Tundu Lissu utakufa kwa high blood pressure na umri wako bado ni mdogo sana.

Muambie na Magufuli hasiwe anachungulia mikutano ya raisi mtarajiwa wakili msomi Mhe Tundu Lissu hasije akasababisha peacemaker yake(betri Yale ya moyo) kusimama akafa kabla ya kushuhudia Serikali inayoongozwa na Tundu Lissu. Tunamuhitaji aone uongozi wa Uhuru,haki na maendeleo ya watu.
Labda Rais wa kwako na mama yako, nani amruhusu mtu anayefunuliwa mtaro aingie Ikulu.
 
Ndugu yangu Kinjeketile, huyo unayemjibu ndiye YEHODAYA na yawezekana wengi mmemsahau huyu YEHODAYA ni nani, hivyo nitanukuu tu machache yaliyowahi kuandikwa humu na YEHODAYA wakati anaomba apewe tenda ya kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu kabla hajamiminiwa risasi mwaka 2017, namnukuu...
  • Kwa hilo bee. Hivi Lisu kazi yake kuchokonoa at the disadvantage of Tanzanians? Magufuli Kill Lissu ku. MA. Maye zake hawezi tetea mzungu mmoja alipwe matriolini wakati watanzania mamilioni hawana hata panadol hospitalini.
  • Magufuli Kill him immediately heri mtu mmoja afe kuliko taifa liangamie kwa kukosa panadol kisa pesa zimeenda kulipa watetewa na lisu wa nje ili apate vipesa vya kujenga kagorofa koko Kill him hicho kigorofa asipate nafasi kulala hata siku moja. She. Nzi type  Waziri huwa anasaini mikataba ya tender iwe ya ujenzi au yoyote? Magufuli Kill these idiots.
  • Concern is not a contract signature. Magufuli kill these country traItors who work on behalf ya wadai for commission Waziri Hana sahihi mkataba wowote wa tenda yoyote
  • Magufuli amwige kagame akicheka na ngedere watakula mahindi yake yote. Magufuli is too soft. Hiii timu iliyojipanga kuhakikisha hafanikiwi kila apangacho dawa yao moja tu kill them.
  • Usijali hata the hague wanipeleke kichwa cha lisu kikikatwa I don't mind najitoa muhanga heri mtu moja afe Kuliko taifa liangamie magufuli Kill lisu ruksa kunisingizia Mimi. Taifa ni LA muhimu kuendelea kuwepo kuliko kichwa cha Lisu Kill him now if you can.
Huwezi kuamini huyu muuaji YEHODAYA pamoja na kuandika haya humu ndani JF, hakuchukuliwa hatua yoyote ile wala kuhojiwa na vyombo vya usalama pamoja na TCRA hata baada ya Mh. Tundu Antiphas Lissu kumiminiwa risasi zaidi ya 38 na 16 kutua mwilini.
Aisee kumbe ni Yeye. Wasiojilikana kumbe wanajuliakana
 
Niliwai sema na nasema tena leo. Historia kuu inaenda kuandikwa Tanzania mwaka huu. Tundu Antiphas Lissu anaenda kupindua meza mwaka huu na kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania mwaka huu.

Mungu anaenda kumweka mtoto wake aliyemponya risasi 16 ikulu mwaka huu!
Hilo jambo halipo leo wala halipo keshokutwa .
 
Watu tumetoka mwasumbwe,na Segese full shazi....yaani funika bovu ..Magu anahara tu huko...n flagyl zimebounce
 
Endeleeni kumdanganya Lussu. EU wenye akili wamesha kubali ya ishe. Lissu is a losing horse and curse to this nation "Tanzania" Someone needs to be out of his/her mind to support him.
EU ya Lumumba chini ya pole pole
 
Eti huyu Mbwa ndiyo awe Rais big no kwa namna yoyote ile hawezi kuingia Ikulu.
IMG-20200923-WA0052.jpeg
 
Wewe kweli umenielewa. Lissu asikimbie ukweli, ajisahihishe na kutubu. Unawahadaa wenzako, ukikutana na akina amsterdam unapiga mpunga, mwe sasa kiko wapi? Mungu hadhihakiwi bwana!
Labda mungu na yesu wa Chatto
 
Ndugu yangu Kinjeketile, huyo unayemjibu ndiye YEHODAYA na yawezekana wengi mmemsahau huyu YEHODAYA ni nani, hivyo nitanukuu tu machache yaliyowahi kuandikwa humu na YEHODAYA wakati anaomba apewe tenda ya kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu kabla hajamiminiwa risasi mwaka 2017, namnukuu...
  • Kwa hilo bee. Hivi Lisu kazi yake kuchokonoa at the disadvantage of Tanzanians? Magufuli Kill Lissu ku. MA. Maye zake hawezi tetea mzungu mmoja alipwe matriolini wakati watanzania mamilioni hawana hata panadol hospitalini.
  • Magufuli Kill him immediately heri mtu mmoja afe kuliko taifa liangamie kwa kukosa panadol kisa pesa zimeenda kulipa watetewa na lisu wa nje ili apate vipesa vya kujenga kagorofa koko Kill him hicho kigorofa asipate nafasi kulala hata siku moja. She. Nzi type  Waziri huwa anasaini mikataba ya tender iwe ya ujenzi au yoyote? Magufuli Kill these idiots.
  • Concern is not a contract signature. Magufuli kill these country traItors who work on behalf ya wadai for commission Waziri Hana sahihi mkataba wowote wa tenda yoyote
  • Magufuli amwige kagame akicheka na ngedere watakula mahindi yake yote. Magufuli is too soft. Hiii timu iliyojipanga kuhakikisha hafanikiwi kila apangacho dawa yao moja tu kill them.
  • Usijali hata the hague wanipeleke kichwa cha lisu kikikatwa I don't mind najitoa muhanga heri mtu moja afe Kuliko taifa liangamie magufuli Kill lisu ruksa kunisingizia Mimi. Taifa ni LA muhimu kuendelea kuwepo kuliko kichwa cha Lisu Kill him now if you can.
Huwezi kuamini huyu muuaji YEHODAYA pamoja na kuandika haya humu ndani JF, hakuchukuliwa hatua yoyote ile wala kuhojiwa na vyombo vya usalama pamoja na TCRA hata baada ya Mh. Tundu Antiphas Lissu kumiminiwa risasi zaidi ya 38 na 16 kutua mwilini.
Bring to us more evidence thanks in advance .
 
Wajibu wa Askari ni kulinda Raia na mali zao. Serikali inapaswa kulinda Raia si kuwinda Raia kama wanyama pori. Mnapochagua Rais mnamaamuzi ya kumchagua anaewatesa au yule aliyepigwa kama nyinyi.
 
Back
Top Bottom