Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Misukule hao wamejaa upepo tu akili hamnaHata Mbuni hawezi kuwa Mjinga kama haya mabumunda ya Lumumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misukule hao wamejaa upepo tu akili hamnaHata Mbuni hawezi kuwa Mjinga kama haya mabumunda ya Lumumba.
Wewe kweli ni fumbataMungu kamfundisha Lissu kuona kionjo cha madhila ya wale aliokuwa anawashawishi kupambana na vyombo vya dola na wakadhurika na kupoteza maisha. Msidanganye Lissu mwambine ukweli ili apone. Ziko damu bado zinamlilia za wale alio wahadaa tena bado hazija nyamaza, ukweli mchungu huu.
Sasa mbona unawafokea wananchi wa katoro mkoani geita?[emoji23][emoji23][emoji23]Huwezi kulinganisha mikutano ya mpayujaji Lissu na ya Rais JPM, wala Makamu Samia, wala PM Majaliwa, huu ndio ukweli mchungu kwa cdm na wale mnaomchukia JPM na Serikali yake.
Nyumbani kwa Baba Mzazi.Heeeee hii Ni Geita🤭🤭🤭🤗🤗
Mungu kamfundisha Lissu kuona kionjo cha madhila ya wale aliokuwa anawashawishi kupambana na vyombo vya dola na wakadhurika na kupoteza maisha. Msmidanganye Lissu mwambine ukweli ili apone. Ziko damu bado zinamlilia za wale alio wahadaa tena bado hazija nyamaza, ukweli mchungu huu.
Wewe kweli umenielewa. Lissu asikimbie ukweli, ajisahihishe na kutubu. Unawahadaa wenzako, ukikutana na akina amsterdam unapiga mpunga, mwe sasa kiko wapi? Mungu hadhihakiwi bwana!Wewe kweli ni fumbata
Hata huoni Tena ya Leo funga kazi hizo picha kama za nchi ya Burkina Faso angalia na usikikize wasindikizaji lugha wanayoongea hata haieleweki Ni ya wapi.Hongera Sana Kitengo Cha uchakachuaji picha Cha Chadema.Mumetisha leo
He he heeeee, baelezee!!Mimi nilikuwa katoro leo na sasa nimerudi Geita mambo ni moto wa kuotea mbali
Mbuyu utaangushwa siku hiyo.Tarehe 3 vyama vya upinzani tutatangaza kumuunga mkono Tundu Lissu. Maalim seif Sharif Hamad,Mwenyekiti ACT wazalendo Taifa
Bataelewa🤣🤣😂He he heeeee, baelezee!!
The fire to be leaned very far. Sijui kama niko sahihi na kingereza changu cha kata.Mimi nilikuwa katoro leo na sasa nimerudi Geita mambo ni moto wa kuotea mbali
That was fake news acheni kujidanganya, ukweli upo field mzee. Nadhani unaweza ona nguvu aliyonayo ingawa huwezi kiri mdomoni.Endeleeni kumdanganya Lussu. EU wenye akili wamesha kubali ya ishe. Lissu is a losing horse and curse to this nation "Tanzania" Someone needs to be out of his/her mind to support him.
Mwaka huyu Bataita mayi Mmumma!!Bataelewa🤣🤣😂
Hakuna mbuyu tena umeshakua mchicha huu.Mbuyu utaangushwa siku hiyo.
Ndugu yangu Kinjeketile, huyo unayemjibu ndiye YEHODAYA na yawezekana wengi mmemsahau huyu YEHODAYA ni nani, hivyo nitanukuu tu machache yaliyowahi kuandikwa humu na YEHODAYA wakati anaomba apewe tenda ya kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu kabla hajamiminiwa risasi mwaka 2017, namnukuu...Dada nakushauri fuatilia mikutano ya matamasha ya wasanii wakiongozwa na Magufuli ukiendelea kufuatilia Mikutano ya wakili msomi raisi anayesubiri kuapishwa Mhe Tundu Lissu utakufa kwa high blood pressure na umri wako bado ni mdogo sana.
Muambie na Magufuli hasiwe anachungulia mikutano ya raisi mtarajiwa wakili msomi Mhe Tundu Lissu hasije akasababisha peacemaker yake(betri Yale ya moyo) kusimama akafa kabla ya kushuhudia Serikali inayoongozwa na Tundu Lissu. Tunamuhitaji aone uongozi wa Uhuru,haki na maendeleo ya watu.
Endeleeni kumdanganya Lussu. EU wenye akili wamesha kubali ya ishe. Lissu is a losing horse and curse to this nation "Tanzania" Someone needs to be out of his/her mind to support him.
[/QUOTE
Very damn comment
Duuh huyu ana lakujibu kwenye vyombo vya sheria.Ndugu yangu Kinjeketile, huyo unayemjibu ndiye YEHODAYA na yawezekana wengi mmemsahau huyu YEHODAYA ni nani, hivyo nitanukuu tu machache yaliyowahi kuandikwa humu na YEHODAYA wakati anaomba apewe tenda ya kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu kabla hajamiminiwa risasi mwaka 2017, namnukuu...
Huwezi kuamini huyu muuaji YEHODAYA pamoja na kuandika haya humu ndani JF, hakuchukuliwa hatua yoyote ile wala kuhojiwa na vyombo vya usalama pamoja na TCRA hata baada ya Mh. Tundu Antiphas Lissu kumiminiwa risasi zaidi ya 38 na 16 kutua mwilini.
- Kwa hilo bee. Hivi Lisu kazi yake kuchokonoa at the disadvantage of Tanzanians? Magufuli Kill Lissu ku. MA. Maye zake hawezi tetea mzungu mmoja alipwe matriolini wakati watanzania mamilioni hawana hata panadol hospitalini.
- Magufuli Kill him immediately heri mtu mmoja afe kuliko taifa liangamie kwa kukosa panadol kisa pesa zimeenda kulipa watetewa na lisu wa nje ili apate vipesa vya kujenga kagorofa koko Kill him hicho kigorofa asipate nafasi kulala hata siku moja. She. Nzi type Waziri huwa anasaini mikataba ya tender iwe ya ujenzi au yoyote? Magufuli Kill these idiots.
- Concern is not a contract signature. Magufuli kill these country traItors who work on behalf ya wadai for commission Waziri Hana sahihi mkataba wowote wa tenda yoyote
- Magufuli amwige kagame akicheka na ngedere watakula mahindi yake yote. Magufuli is too soft. Hiii timu iliyojipanga kuhakikisha hafanikiwi kila apangacho dawa yao moja tu kill them.
- Usijali hata the hague wanipeleke kichwa cha lisu kikikatwa I don't mind najitoa muhanga heri mtu moja afe Kuliko taifa liangamie magufuli Kill lisu ruksa kunisingizia Mimi. Taifa ni LA muhimu kuendelea kuwepo kuliko kichwa cha Lisu Kill him now if you can.
Bro yaani umezidisha chumvi sote tumeona taarifa ya habari kupitia ITV yaani watu aliowapata huyu jamaa hawafiki hata nusu ya watu waliomsimasha Magufuli akielekea chato.Wakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Geita Mjini, leo Katoro muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza na kusikiliza sera za kuwakombia.
Kwa hakika lipo la kujifunza kwa watu wa CCM. Msijifanye hamuoni kinachoendelea!
Video: Katoro Geita
View attachment 1578537View attachment 1578539View attachment 1578540View attachment 1578541View attachment 1578542View attachment 1578543View attachment 1578544View attachment 1578469