Tundu Lissu avuliwe uongozi CHADEMA

Mambo ya viongozi kukimbia na kuongoza mapambano ya ukombozi toka nje ya nchi yalitokea kwa akina Mandela, Samora Machel, na wengine wengi sana kusini mwa Africa. Viongozi wetu watarudi siku moja na ushindi mkubwa.
 
Hawajitambui hasa hawa machawa
 
Pilipili usizozila zakuwashia nini? Wewe badili kwako na nyumbani kwako. Utawala wa nyumba ya jirani mwachie mwenyewe. Maku.
 
Tuta Tutakupa wewe nafasi.
 
Hata watakapofikia lengo!
Lengo gani? wao wenyewe wako taabani.
 
Anaepaswa kung'atuka ni huyu anaekiri mbele ya uma kuwa amefikwa na janga la kupewa urais ambao hauwezi.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
na huyo ndiyo anayesuka mipango na kibatala ili mbowe afungwe siunaona kila kibatala analeta mapingamizi yasiyo ya kisheria yanatupwa anajuwa anachokifanya waa msimlaumu jaji
 
Hapa ndipoa wanaposhangaza na wafuasi wao hawajielewi. Hiki chama kingeendeshwa jinsi wanavyoitaka serikali ijiendeshe kingekua mbali sana
 
Ukiangalia huu uzi vizuri utagundua kuna kikundi flani ambacho kimeji-organize nje ya JF uanzishwa huu unzi kisha wauvamie kuchangia
 
hauwezi nani kasema
Unaelewa maana janga?Janga ni kitu ambacho binadamu hawezi kukicontroll kwa uhakika.Sisi tunamtaka Rais wa uhakika.Hatumtaki Rais wa mchongo.

Lakini pia kitendo cha Rais kuomba msaada kutoka kwa uma kuwa asaidiwe kazi yake ya urais ni ushahidi tosha kuwa kazi hiyo imemshinda na haiwezi.

Sisi kama wananchi tunamlipa ujira ili atufanyie kazi kupitia personnel machinery alizonazo.

Hatuwezi kumlipa ujira na kisha tumsaidie tena kazi ambayo anaifanya kwa malipo kutoka kwetu.Sisi kazi yetu ni kumlipa na yeye wajibu wake ni kufanya kile tunachomtuma.

Hatuwezi kumlipa na kumfanyia kile tulichomtuma atufanyie sisi.Hiyo itakuwa ni dalili ya yeye kushindwa kazi na hicho ndicho kilichotokea hapa.
 
urais siyo kubeba zege mkuuu hayo maneno huwa anaongea ni kuonyesha unyeyekevu na kutojikweza hapoo lingekuwa lile tundu lililokimbilia ulaya ingekuwa ni majisifu tu naweza naweza kumbe hakuna kitu hebu angalia mama anavyomwaga mashdarasa huko mahospitali ajira kibao sasahivi zinatoka hivi unataka mpaka uletewe hela mkononi au?
 
Kakojoe ulale uote vizuri hiyo ndoto yako.
 
Katiba ya chadema inasemaje endapo mwenyekiti na makamu wake wasiookuwa na uwezo wa kutekeleza majukumu yao? Nani anapaswa kushika nafasi ya uongozi wa chama hicho hali hiyo ikijiyokeza?
Tuambie wewe, sisi hatujui.
 
Heee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…