Tundu Lissu avuliwe uongozi CHADEMA

Tundu Lissu avuliwe uongozi CHADEMA

Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao .Tundu LISSU Aidha amegeuka mkimbizi au bado ni mtanzania .Chadema sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi . Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe lakini hayuko nchini. Je Chadema sasa hivi inaongozwa kwa remote control toka Ubelgiji? . Kwa nini Lissu asikae pembeni kama mwanachama wa kawaida na kumpisha Mch MSIGWA ili asikosekane mtu wa kikisemea chama toka nafasi ya juu. Mtu kama LISSU akirudi 2025 mtampa kweli nafasi ya kugombea urais
Mambo ya viongozi kukimbia na kuongoza mapambano ya ukombozi toka nje ya nchi yalitokea kwa akina Mandela, Samora Machel, na wengine wengi sana kusini mwa Africa. Viongozi wetu watarudi siku moja na ushindi mkubwa.
 
Hawajui hawa kuwa Lissu anaipaisha sasa Chadema kuwa ya kimataifa kabla haijaanza kubomoa kabisa CCM

Hawajitambui hasa hawa machawa
 
Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania

CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi.

Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe lakini hayuko nchini.

Je, CHADEMA sasa hivi inaongozwa kwa remote control toka Ubelgiji? .

Kwanini Lissu asikae pembeni kama mwanachama wa kawaida na kumpisha Mch Msigwa ili asikosekane mtu wa kukisemea chama toka nafasi ya juu.

Mtu kama Lissu akirudi 2025 mtampa kweli nafasi ya kugombea urais!?
Pilipili usizozila zakuwashia nini? Wewe badili kwako na nyumbani kwako. Utawala wa nyumba ya jirani mwachie mwenyewe. Maku.
 
Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania

CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi.

Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe lakini hayuko nchini.

Je, CHADEMA sasa hivi inaongozwa kwa remote control toka Ubelgiji? .

Kwanini Lissu asikae pembeni kama mwanachama wa kawaida na kumpisha Mch Msigwa ili asikosekane mtu wa kukisemea chama toka nafasi ya juu.

Mtu kama Lissu akirudi 2025 mtampa kweli nafasi ya kugombea urais!?
Tuta

Tutakupa wewe nafasi.
 
Ili iweje ,soma historia ,viongozi wapigania uhuru waliishi katika kuongoza vuguvugu hizo kwa miaka mingapi.
Lisu ni mmojawapo anepigania UHURU wa nchi hii kutoka kwa mkoloni mweusi anaetuhenyesha tokea waunganishe vyama. nani hakuwa TANU au ASP ? Kama si wewe basi babako nae kama sie basi mamako nae kama sie basi Raisi wako.

Tena nawasihi sana vyama vya Upinzani msijaribu kubadilibadili Wenyeviti wa Vyama hilo ni kosa kubwa sana,hadi pale mmefika kwenye lengo lenu,hapo mnaweza kufanya mabadiliko na kuwapisha vijana,wengine mtakuwa WaZee wa Chama.
Hata watakapofikia lengo!
Lengo gani? wao wenyewe wako taabani.
 
Anaepaswa kung'atuka ni huyu anaekiri mbele ya uma kuwa amefikwa na janga la kupewa urais ambao hauwezi.

Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania

CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi.

Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe lakini hayuko nchini.

Je, CHADEMA sasa hivi inaongozwa kwa remote control toka Ubelgiji? .

Kwanini Lissu asikae pembeni kama mwanachama wa kawaida na kumpisha Mch Msigwa ili asikosekane mtu wa kukisemea chama toka nafasi ya juu.

Mtu kama Lissu akirudi 2025 mtampa kweli nafasi ya kugombea urais!?
na huyo ndiyo anayesuka mipango na kibatala ili mbowe afungwe siunaona kila kibatala analeta mapingamizi yasiyo ya kisheria yanatupwa anajuwa anachokifanya waa msimlaumu jaji
 
Hapa ndipoa wanaposhangaza na wafuasi wao hawajielewi. Hiki chama kingeendeshwa jinsi wanavyoitaka serikali ijiendeshe kingekua mbali sana
 
Ukiangalia huu uzi vizuri utagundua kuna kikundi flani ambacho kimeji-organize nje ya JF uanzishwa huu unzi kisha wauvamie kuchangia
 
hauwezi nani kasema
Unaelewa maana janga?Janga ni kitu ambacho binadamu hawezi kukicontroll kwa uhakika.Sisi tunamtaka Rais wa uhakika.Hatumtaki Rais wa mchongo.

Lakini pia kitendo cha Rais kuomba msaada kutoka kwa uma kuwa asaidiwe kazi yake ya urais ni ushahidi tosha kuwa kazi hiyo imemshinda na haiwezi.

Sisi kama wananchi tunamlipa ujira ili atufanyie kazi kupitia personnel machinery alizonazo.

Hatuwezi kumlipa ujira na kisha tumsaidie tena kazi ambayo anaifanya kwa malipo kutoka kwetu.Sisi kazi yetu ni kumlipa na yeye wajibu wake ni kufanya kile tunachomtuma.

Hatuwezi kumlipa na kumfanyia kile tulichomtuma atufanyie sisi.Hiyo itakuwa ni dalili ya yeye kushindwa kazi na hicho ndicho kilichotokea hapa.
 
urais siyo kubeba zege mkuuu hayo maneno huwa anaongea ni kuonyesha unyeyekevu na kutojikweza hapoo lingekuwa lile tundu lililokimbilia ulaya ingekuwa ni majisifu tu naweza naweza kumbe hakuna kitu hebu angalia mama anavyomwaga mashdarasa huko mahospitali ajira kibao sasahivi zinatoka hivi unataka mpaka uletewe hela mkononi au?
 
Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania.

CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi.

Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe lakini hayuko nchini.

Je, CHADEMA sasa hivi inaongozwa kwa remote control toka Ubelgiji?

Kwanini Lissu asikae pembeni kama mwanachama wa kawaida na kumpisha Mch Msigwa ili asikosekane mtu wa kukisemea chama toka nafasi ya juu.
Ý
Mtu kama Lissu akirudi 2025 mtampa kweli nafasi ya kugombea urais!?
Kakojoe ulale uote vizuri hiyo ndoto yako.
 
Katiba ya chadema inasemaje endapo mwenyekiti na makamu wake wasiookuwa na uwezo wa kutekeleza majukumu yao? Nani anapaswa kushika nafasi ya uongozi wa chama hicho hali hiyo ikijiyokeza?
Tuambie wewe, sisi hatujui.
 
Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania.

CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi.

Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe lakini hayuko nchini.

Je, CHADEMA sasa hivi inaongozwa kwa remote control toka Ubelgiji?

Kwanini Lissu asikae pembeni kama mwanachama wa kawaida na kumpisha Mch Msigwa ili asikosekane mtu wa kukisemea chama toka nafasi ya juu.

Mtu kama Lissu akirudi 2025 mtampa kweli nafasi ya kugombea urais!?
Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania.

CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi.

Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe lakini hayuko nchini.

Je, CHADEMA sasa hivi inaongozwa kwa remote control toka Ubelgiji?

Kwanini Lissu asikae pembeni kama mwanachama wa kawaida na kumpisha Mch Msigwa ili asikosekane mtu wa kukisemea chama toka nafasi ya juu.

Mtu kama Lissu akirudi 2025 mtampa kweli nafasi ya kugombea urais!?
Heee!
 
Back
Top Bottom