Rasmi ya pili ya katiba mpya ambayo ingetupa katiba mpya ambayo ndo ingekuwa baba na mama wa maendeleo ya nchi yetu Ila pHD anaona ndege ni muhimu kuliko mifumo thabiti ya nchi.Sema Kikwete alifanya nini? na Aliacha kitu gani ambacho kinapashwa kuendelezwa na kinazuia deployment ya new development ideologies? Please be specific.
Rasmi ya pili ya katiba mpya ambayo ingetupa katiba mpya ambayo ndo ingekuwa baba na mama wa maendeleo ya nchi yetu Ila pHD anaona ndege ni muhimu kuliko mifumo thabiti ya nchi
Kwa kuwa hujijui sio mbaya kwa ulichoandika.Atupishe,we need national and international figure
wakiwasaidia kujenga vyoo vya shule, na mikopo, madawa 'WAFADHILI', 'MARAFIKI ZETU'.Jionee mwenyewe hii video kama ilivyoripotiwa na kituo cha Aljazeera chenye makao yake makuu huko Doha, Qatar..
Yaani Kuna watu ni malofa cubed humu ndani! Eti international figure, ni juha kupitiliza ndio anaweza hata kujaribu kumfananisha rais Magu na hao wasiojitambua! Magu ni bidhaa adimu inayotamanisa na mataifa yote duniani! Level y Magu ni global figure siyo kikaragosi wa international figure! Mwana sidhani Kama hata maana ya international figure Kama anajielewa!Kwa kuwa hujijui sio mbaya kwa ulichoandika.
Mkuu Kama hujausikiliza wasifu wa mkapa kwa siku zote hizi basi Sina Cha kukusaidia.ila kwa kifupi ni kuwa hii nchi ni Kama ilianza kwa mkapa,Na Magufuli angekuwa na uwezo angejitapa kutekeleza au kuendelea Yale aliyoasisi mkapa na si kuhangaika naya Nyerere aka Yale ya mkoloni
Lissu atawanyoosha!
Yeye alijibadilisha? Sasa jeuri zake ziko wapi? Wale malofa na wapumbavu wanaendekea kupakia msosi, yeye yuko kule chini linaoza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli upinzani Tanzania ni MALOFA na wanaotaka mabadiliko kwa upinzani huu wakajibadilishe kwanza jinsia.... hahahaa! Asante sanA late Ben
Wajerumani ndiyo walitoboa barabara kujenga Reli ingawa mwingereza alikuja kumalizia baadaeKuna Mambo ya kuhudhunisha kweli Yani kiongozi Anae Jiita wakili msomi Anaulizwa swal bila kumfikiria yeye ni Nan Anaropokatu
Et TANZANIA imejengwa na Wajeruman Dah kwel nimeamin kwanini Alikua Anawatetea wale Nanii na kutonya kua Tungeenda Miga
Dah ndiomana Sina Shaka na uzima wake pamoja na Msimamo wake wa kuto kuingilia faragha za Watu
Tanzania bara ni Tanganyika vikiungana na tuvisiwa tudogo twa Zanzibar ndipo huitwa Tanzania kosa lake ni lipi?Mwanasheria msomi anashindwa kutambua Tanzania sio Tanganyika, au pale Tanganyika Law Society akahisi ndio nchi nzima nn?
Wazanzibar wengi hawaupendi hawaitaki muungano bali CCM inaulazimisha kwa nguvu bila CCM muungano haupo, gharama za kuulinda muungano ni kubwa kupita miungano yote Duniani na siku muungano ukifariki pesa zikasalia Tanganyika ndipo Tanganyika itakuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa“Vikiungana?” Unajua Kiswahili kweli wewe Iddi Amin sio viki, tayari vilishaungana..... you are still in a denial stage.
Kwa hiyo yeye anatakaje kwa mfano, kwamba nchi wapewe kina Lema? Kina Mdee? Kina Mbowe? Na hayo maendeleo ya mabeberu ndio yatayeyuka wakiingia wao? Kwamba wao hawatafanya shughuli za maendeleo? Bora hata angekaa kimya, anajiharibia before hata kipyenga kupulizwa...MAKABURU wa Afrika Kusini walijenga miundombinu mingi sana.
..Wareno walijenga viwanda, na miji mizuri, Mozambique.
..Walowezi wa Rhodesia waliifanya Zimbabwe kuwa kinara wa kuzalisha chakula Afrika.
..Hoja ya TL ni kwamba CCM inataka kuhalalisha UDHALIMU wake kwa kigezo cha kujenga MIUNDOMBINU.
Zizini kuna fahari la ng’ombe, kuna kondoo dume, shida ya beberu hujikuta yeye ndio kila kitu kisa vindevu.... Beberu ni vindevu tu, mwambieeni kuna mafahari yametulia.CCM acheni kuwaita wanaume wenzenu mabeberu kwani nyinyi ni mbuzi jike?