Tundu Lissu awajibu Polisi waliomfukuza kwenye mazishi ya Mzee Mkapa: Sisi si wachawi

Tundu Lissu awajibu Polisi waliomfukuza kwenye mazishi ya Mzee Mkapa: Sisi si wachawi

Sema Kikwete alifanya nini? na Aliacha kitu gani ambacho kinapashwa kuendelezwa na kinazuia deployment ya new development ideologies? Please be specific.
Rasmi ya pili ya katiba mpya ambayo ingetupa katiba mpya ambayo ndo ingekuwa baba na mama wa maendeleo ya nchi yetu Ila pHD anaona ndege ni muhimu kuliko mifumo thabiti ya nchi.
 
Rasmi ya pili ya katiba mpya ambayo ingetupa katiba mpya ambayo ndo ingekuwa baba na mama wa maendeleo ya nchi yetu Ila pHD anaona ndege ni muhimu kuliko mifumo thabiti ya nchi

Hiyo katiba umeisoma? Mchakato wa kutengenezwa kwake uliutathmini na ukaamini kama ni katiba mpya? Aliyefanya katiba ivurugike ni nani?

Hivi ni kweli kuna Mtanzania mwenye akili timamu anayeona Rais Magufuli kafanya ndege tu katika Tanzania? Mtu kama huyo nadhani hata kumwachia alinde nyumba hafai.
 
Jionee mwenyewe hii video kama ilivyoripotiwa na kituo cha Aljazeera chenye makao yake makuu huko Doha, Qatar..


wakiwasaidia kujenga vyoo vya shule, na mikopo, madawa 'WAFADHILI', 'MARAFIKI ZETU'.

Wakiwachana ukweli 'MABEBERU'

Na ni mabeberu kweli kweli, WANAUME, ngoja muendeleze udikteta wenu wa kihuni muone kama MABEBERU hayajawapanda, mbuzijike nyie
 
Kwa kuwa hujijui sio mbaya kwa ulichoandika.
Yaani Kuna watu ni malofa cubed humu ndani! Eti international figure, ni juha kupitiliza ndio anaweza hata kujaribu kumfananisha rais Magu na hao wasiojitambua! Magu ni bidhaa adimu inayotamanisa na mataifa yote duniani! Level y Magu ni global figure siyo kikaragosi wa international figure! Mwana sidhani Kama hata maana ya international figure Kama anajielewa!
 
Mkuu Kama hujausikiliza wasifu wa mkapa kwa siku zote hizi basi Sina Cha kukusaidia.ila kwa kifupi ni kuwa hii nchi ni Kama ilianza kwa mkapa,Na Magufuli angekuwa na uwezo angejitapa kutekeleza au kuendelea Yale aliyoasisi mkapa na si kuhangaika naya Nyerere aka Yale ya mkoloni

Sijui kwa nini unataka watu wote wawe kwenye level yako.
 
Ahsante kwa kunisahihisha, wengine tuliishia la 2A, mtusamehe.
 
Kweli upinzani Tanzania ni MALOFA na wanaotaka mabadiliko kwa upinzani huu wakajibadilishe kwanza jinsia.... hahahaa! Asante sanA late Ben
Yeye alijibadilisha? Sasa jeuri zake ziko wapi? Wale malofa na wapumbavu wanaendekea kupakia msosi, yeye yuko kule chini linaoza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu jamaa ndie mpinzani aliebaka upande wa chadema yaani haogopi kitu,mambo ndo yanaanza
 
Kuna Mambo ya kuhudhunisha kweli Yani kiongozi Anae Jiita wakili msomi Anaulizwa swal bila kumfikiria yeye ni Nan Anaropokatu

Et TANZANIA imejengwa na Wajeruman Dah kwel nimeamin kwanini Alikua Anawatetea wale Nanii na kutonya kua Tungeenda Miga

Dah ndiomana Sina Shaka na uzima wake pamoja na Msimamo wake wa kuto kuingilia faragha za Watu
 
Kuna Mambo ya kuhudhunisha kweli Yani kiongozi Anae Jiita wakili msomi Anaulizwa swal bila kumfikiria yeye ni Nan Anaropokatu

Et TANZANIA imejengwa na Wajeruman Dah kwel nimeamin kwanini Alikua Anawatetea wale Nanii na kutonya kua Tungeenda Miga

Dah ndiomana Sina Shaka na uzima wake pamoja na Msimamo wake wa kuto kuingilia faragha za Watu
Wajerumani ndiyo walitoboa barabara kujenga Reli ingawa mwingereza alikuja kumalizia baadae
 
Mwanasheria msomi anashindwa kutambua Tanzania sio Tanganyika, au pale Tanganyika Law Society akahisi ndio nchi nzima nn?
Tanzania bara ni Tanganyika vikiungana na tuvisiwa tudogo twa Zanzibar ndipo huitwa Tanzania kosa lake ni lipi?
 
..MAKABURU wa Afrika Kusini walijenga miundombinu mingi sana.

..Wareno walijenga viwanda, na miji mizuri, Mozambique.

..Walowezi wa Rhodesia waliifanya Zimbabwe kuwa kinara wa kuzalisha chakula Afrika.

..Hoja ya TL ni kwamba CCM inataka kuhalalisha UDHALIMU wake kwa kigezo cha kujenga MIUNDOMBINU.
 
“Vikiungana?” Unajua Kiswahili kweli wewe Iddi Amin sio viki, tayari vilishaungana..... you are still in a denial stage.
Wazanzibar wengi hawaupendi hawaitaki muungano bali CCM inaulazimisha kwa nguvu bila CCM muungano haupo, gharama za kuulinda muungano ni kubwa kupita miungano yote Duniani na siku muungano ukifariki pesa zikasalia Tanganyika ndipo Tanganyika itakuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa
 
..MAKABURU wa Afrika Kusini walijenga miundombinu mingi sana.

..Wareno walijenga viwanda, na miji mizuri, Mozambique.

..Walowezi wa Rhodesia waliifanya Zimbabwe kuwa kinara wa kuzalisha chakula Afrika.

..Hoja ya TL ni kwamba CCM inataka kuhalalisha UDHALIMU wake kwa kigezo cha kujenga MIUNDOMBINU.
Kwa hiyo yeye anatakaje kwa mfano, kwamba nchi wapewe kina Lema? Kina Mdee? Kina Mbowe? Na hayo maendeleo ya mabeberu ndio yatayeyuka wakiingia wao? Kwamba wao hawatafanya shughuli za maendeleo? Bora hata angekaa kimya, anajiharibia before hata kipyenga kupulizwa.
 
CCM acheni kuwaita wanaume wenzenu mabeberu kwani nyinyi ni mbuzi jike?
Zizini kuna fahari la ng’ombe, kuna kondoo dume, shida ya beberu hujikuta yeye ndio kila kitu kisa vindevu.... Beberu ni vindevu tu, mwambieeni kuna mafahari yametulia.
 
Back
Top Bottom