Tundu Lissu awajibu Polisi waliomfukuza kwenye mazishi ya Mzee Mkapa: Sisi si wachawi

Wanabiashara naye. Usichoelewa Nini. Beberu atakupa air time bure bure tu? Anawazimu?
I don't think we need magu any more,Kama umesikiliza Mambo yaliyokuwa yanasemwa na watu mbali mbali juu ya Yale aliyofanya mkapa ndani na nje ya nchi hii utakuwa umegundua kuwa kwa miaka mitano Tanzania haikuwa na rais na imepotea kabisa kwenye ramani ya dunia
 
Wewe ndiye ambaye humhitaji JPM ila siyo kwa mamilioni ya watanzania wengi
 
Na bado.
Na kwa taarifa yako mikutano yote ya Lissu ya kampeni za october 2020 tutakua tunaenda live al Jazeera na stations nyingine nyingi za mabeberu.
 
Mkuu nisome tena hapo juu.Mtu mwenye akili ukisikiliza Mkapa anavyosemwa unagundua kwa sasa hatuna rais,rais ni zaidi ya SGR,bwawa la umeme na barabara
Ili awe raisi ulitaka awe amefanya nini cha zaidi? Nani aliyefanya kama JPM kati ya wastaafu waliopo? Acheni kufikiriwa na watu wengine. Wewe unayomacho ya kuona tazama.

Mbona huongelei madawa yakulevya?

Mbona huzungumzii ufumuzi wa mikataba mibovu?

Mbona husemi raslimali za taifa na uuzwaji wa nchi kwa wageni?

Mbona huzungumzii uboreshwaji wa miundombinu mingine kama elimu, nishati, afya n.k?

Mbona huzungumzii rushwa?

Mbona husemi kuhusu nidhamu na maboresho ya uwajibikaji katika sekta ya uma?

Kwa ajli ya nini husemi usimamizi na ufuataji wa kanuni na sherika katika sekta binafsi?

Vipi suala la wafanyakazi wa hewa serikalini?

Unaelewa maana ya miundombinu anayoijenga kwa maendeleo ya taifa lakini? Au ufahamu wako unaona ni kwa ajili ya kupigia picha za harusi na mahafali?

Tafadhali usiwe adui wa Watanzania. Jitambue.
 
Mkuu Kama hujausikiliza wasifu wa mkapa kwa siku zote hizi basi Sina Cha kukusaidia.ila kwa kifupi ni kuwa hii nchi ni Kama ilianza kwa mkapa,Na Magufuli angekuwa na uwezo angejitapa kutekeleza au kuendelea Yale aliyoasisi mkapa na si kuhangaika naya Nyerere aka Yale ya mkoloni
 
Kwa nini unamuunganisha Mkapa na Magufuli badala ya Mkapa na Kikwete waliofuatana? Aliyepashwa kuendeleza ya Mkapa ni Kikwete. Kwa nini unamrudka? Unataka Magufuli aendeleze ya Mkapa, aliyakuta?
 
Atupishe,we need national and international figure
Duh...jiandae kisaikolojia...JPM is here to stay until 2025..
Come Oktoba 2020 Magufuli will win by almost 90 percent ...hata mabeberu na Chadema mkiamua kuwa wasimamizi was vituo vya kupigia kura na hata kuhesabu hamtashinda...hata Marines wakisimamia uhesabuji wa kura JPM atashinda kwa karibu asilimia 90...
 
I don't think we need magu any more,Kama umesikiliza Mambo yaliyokuwa yanasemwa na watu mbali mbali juu ya Yale aliyofanya mkapa ndani na nje ya nchi hii utakuwa umegundua kuwa kwa miaka mitano Tanzania haikuwa na rais na imepotea kabisa kwenye ramani ya dunia
Mkuu tumekuwa kama kitongoji cha GAMBOSHI chenye sifa mbaya duniani.
Heshima ya Tanzania haipo tena umebaki wimbo wa Bombadia tu kila hotuba
 
Kwa nini unamuunganisha Mkapa na Magufuli badala ya Mkapa na Kikwete waliofuatana? Aliyepashwa kuendeleza ya Mkapa ni Kikwete. Kwa nini unamrudka? Unataka Magufuli aendeleze ya Mkapa, aliyakuta?
Mbona kikwete kaendeleza sana,kikwete aliacha mifumo iliyoanzishwa na mkapa kuendelea kufanya kazi,huyu wa sasa ndo ameamua kufanya kila kitu yeye,mifumo iliyowekwa anaona inamchelewesha,any way he is not presidential material,ni Tanzania tunaweza kuwa na rais wa aina ya Magu for 10 years maana hatujari
 
Isingekuwa mabeberu angesha RIP waacheni wafurahie utukufu wa Mwenyezi Mungu.
 
Mbona kikwete kaendeleza sana,kikwete aliacha mifumo iliyoanzishwa na mkapa kuendelea kufanya kazi,huyu wa sasa ndo ameamua kufanya kila kitu yeye,mifumo iliyowekwa anaona inamchelewesha,any way he is not presidential material,ni Tanzania tunaweza kuwa na rais wa aina ya Magu for 10 years maana hatujari

Sema Kikwete alifanya nini? na Aliacha kitu gani ambacho kinapashwa kuendelezwa na kinazuia deployment ya new development ideologies? Please be specific.
 
Back
Top Bottom