Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I don't think we need magu any more,Kama umesikiliza Mambo yaliyokuwa yanasemwa na watu mbali mbali juu ya Yale aliyofanya mkapa ndani na nje ya nchi hii utakuwa umegundua kuwa kwa miaka mitano Tanzania haikuwa na rais na imepotea kabisa kwenye ramani ya duniaWanabiashara naye. Usichoelewa Nini. Beberu atakupa air time bure bure tu? Anawazimu?
Utasubiri at least 5yrsI don't think we need magu any more,Kama umesikiliza Mambo yaliyokuwa yanasemwa na watu mbali mbali juu ya Yale aliyofanya mkapa ndani na nje ya nchi hii utakuwa umegundua kuwa kwa miaka mitano Tanzania haikuwa na rais na imepotea kabisa kwenye ramani ya dunia
Wewe ndiye ambaye humhitaji JPM ila siyo kwa mamilioni ya watanzania wengiI don't think we need magu any more,Kama umesikiliza Mambo yaliyokuwa yanasemwa na watu mbali mbali juu ya Yale aliyofanya mkapa ndani na nje ya nchi hii utakuwa umegundua kuwa kwa miaka mitano Tanzania haikuwa na rais na imepotea kabisa kwenye ramani ya dunia
Atupishe,we need national and international figureKwa hiyo?!
Ili awe raisi ulitaka awe amefanya nini cha zaidi? Nani aliyefanya kama JPM kati ya wastaafu waliopo? Acheni kufikiriwa na watu wengine. Wewe unayomacho ya kuona tazama.Mkuu nisome tena hapo juu.Mtu mwenye akili ukisikiliza Mkapa anavyosemwa unagundua kwa sasa hatuna rais,rais ni zaidi ya SGR,bwawa la umeme na barabara
Mkuu Kama hujausikiliza wasifu wa mkapa kwa siku zote hizi basi Sina Cha kukusaidia.ila kwa kifupi ni kuwa hii nchi ni Kama ilianza kwa mkapa,Na Magufuli angekuwa na uwezo angejitapa kutekeleza au kuendelea Yale aliyoasisi mkapa na si kuhangaika naya Nyerere aka Yale ya mkoloniIli awe raisi ulitaka awe amefanya nini cha zaidi? Nani aliyefanya kama JPM kati ya wastaafu waliopo? Acheni kufikiriwa na watu wengine. Wewe unayomacho ya kuona tazama.
Mbona huongelei madawa yakulevya?
Mbona huzungumzii ufumuzi wa mikataba mibovu?
Mbona husemi raslimali za taifa na uuzwaji wa nchi kwa wageni?
Mbona huzungumzii uboreshwaji wa miundombinu mingine kama elimu, nishati, afya n.k?
Mbona huzungumzii rushwa?
Mbona husemi kuhusu nidhamu na maboresho ya uwajibikaji katika sekta ya uma?
Kwa ajli ya nini husemi usimamizi na ufuataji wa kanuni na sherika katika sekta binafsi?
Vipi suala la wafanyakazi wa hewa serikalini?
Unaelewa maana ya miundombinu anayoijenga kwa maendeleo ya taifa lakini? Au ufahamu wako unaona ni kwa ajili ya kupigia picha za harusi na mahafali?
Tafadhali usiwe adui wa Watanzania. Jitambue.
Mkuu Kama hujausikiliza wasifu wa mkapa kwa siku zote hizi basi Sina Cha kukusaidia.ila kwa kifupi ni kuwa hii nchi ni Kama ilianza kwa mkapa,Na Magufuli angekuwa na uwezo angejitapa kutekeleza au kuendelea Yale aliyoasisi mkapa na si kuhangaika naya Nyerere aka Yale ya mkoloni
Duh...jiandae kisaikolojia...JPM is here to stay until 2025..Atupishe,we need national and international figure
Mkuu tumekuwa kama kitongoji cha GAMBOSHI chenye sifa mbaya duniani.I don't think we need magu any more,Kama umesikiliza Mambo yaliyokuwa yanasemwa na watu mbali mbali juu ya Yale aliyofanya mkapa ndani na nje ya nchi hii utakuwa umegundua kuwa kwa miaka mitano Tanzania haikuwa na rais na imepotea kabisa kwenye ramani ya dunia
Ni vigumu mno kwa msukuma yeyote kuamini kuwa Magu hakubaliki na hatashindaUtasubiri at least 5yrs
Mbona kikwete kaendeleza sana,kikwete aliacha mifumo iliyoanzishwa na mkapa kuendelea kufanya kazi,huyu wa sasa ndo ameamua kufanya kila kitu yeye,mifumo iliyowekwa anaona inamchelewesha,any way he is not presidential material,ni Tanzania tunaweza kuwa na rais wa aina ya Magu for 10 years maana hatujariKwa nini unamuunganisha Mkapa na Magufuli badala ya Mkapa na Kikwete waliofuatana? Aliyepashwa kuendeleza ya Mkapa ni Kikwete. Kwa nini unamrudka? Unataka Magufuli aendeleze ya Mkapa, aliyakuta?
Ni kweli kabisaNdio tumaini lao lililobaki.
Rais wa tumeIkiwezekana why not,kwani huyu tuliyenae tulimchagua sisi?
Mbona kikwete kaendeleza sana,kikwete aliacha mifumo iliyoanzishwa na mkapa kuendelea kufanya kazi,huyu wa sasa ndo ameamua kufanya kila kitu yeye,mifumo iliyowekwa anaona inamchelewesha,any way he is not presidential material,ni Tanzania tunaweza kuwa na rais wa aina ya Magu for 10 years maana hatujari