Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

Utafauti wangu mimi na wewe, ni kuwa wewe ni mshabiki wa chadema mtandaoni wakati mimi ni mwanachama wa chadema mtaani.
Hao kwemye picha karibu wote tunafahamiana na kama isingekuwa majukum niliyonayo leo basi ningeenda hapo kwa kuwa nilijua wataenda na niliambiwa.

Unafahamu kesho kutakuwa na kikao kitachohusu nini? Njoo inbox nikueleze kuhusu kikao cha kesho, hutopata habari hii popote. Wewe kazi yako humu ni kupiga domo tu, chama hukijui kiundani hata kidogo
Wachawi hawaruhusiwi
 
Ameitwa na Mambosasa!
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Dah, Lissu kweli ni kichwa ngumu aisee...yaani ametakiwa na AiJiiPii kuripoti kituo cha Polisi mkoani Kilimanjaro na kachimbwa biti zito. Halafu yeye Lissu anatia zake timu kwake Dar es Salaam [emoji23]

Huu mtanange wa mwaka huu ni mtamu usipime...upele umempata mkunaji.
Boss mpya mjini mkuu
 
Chama Changu Cha Mapinduzi hawaamini kinachotokea. Upepo sio mzuri, dalili ni mbaya kabisa. Haikutarajiwa hata kidogo

Wangejua itakuwa hivi I think wangejipanga zaid ya ilivyo sasa

Ila shida ni kuwa, wasaidizi wa viongozi huwa hawasemi ukweli kwa mabosi zao

JPM alipewa taarifa nyingi ambazo me nadhan hazikuwa na ukweli

1. Upinzani umekufa
2. Upinzani hauna la kuongea
 
Back
Top Bottom