Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

Kwani mtuhumiwa hawezi kutoa maelezo akiwa nyumbani kwake, mpaka aende polisi?!

Wamuhoji hapo hapo kwake wamalize, kama wanataka kumuweka mahabusu weekend wamueleze tu wasijizungushe.

CCM ulimi nje.
 
BAVICHA wekeni lindo nyumbani kwa Lissu kwa mamia..hakuna kenge kukatiza hapo✌✌✌💪💪💪
 
Mkombozi wa Taifa!
Anaishi nyumba ya gorofa moja halafu sisi anatuzuia kumiliki kitambulisho Cha machinga ili mgambo wa jiji watufilisi
Wapi.mapunziko? Kwa uongo hamjambo mtu anaenda hojiwa tume ya maadili mnaita mapumuziko!!!
Wakubwa wanaendaga kupumzika kijijini msoga chato mkuranga yeye anaenda Dar, ikungi Hana nyumba?
 
Hakika.
Screenshot_2020-09-24-19-55-15-1.jpg
 
Back
Top Bottom