Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Huo ni uso wa mshindi.
Uso wa ushindi umejaa furaha na upendo
Uso wa ushindi unaashiria utulivu
Uso wa ushindi unalinda amani
Uso wa ushindi unajenga umoja
Uso wa ushindi unahimiza uhuru
Uso wa ushindi unaahidi haki
Uso wa ushindi unaleta tumaini
Uso wa ushindi unaangaza njia
Asante sana Mh. Tundu Antiphas Lissu
Njoo ukamate usukani utufikishe salama...
Penye uhuru, haki na maendeleo ya watu.