Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28, Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2.

Beautiful house...

Nyumba iliyojengwa kwa jasho halali. Hakuna rushwa hapo...

Mgombea Urais msafi kabisa, asiye na doa kulinganisha na fisadi MAGUFULI...
 
Dah, Lissu kweli ni kichwa ngumu aisee...yaani ametakiwa na AiJiiPii kuripoti kituo cha Polisi mkoani Kilimanjaro na kachimbwa biti zito. Halafu yeye Lissu anatia zake timu kwake Dar es Salaam 😂

Huu mtanange wa mwaka huu ni mtamu usipime...upele umempata mkunaji.
si ujeuri bali police wafuate sheria za wito kwa mtuhumiwa!!

Kujua kosa na kifungu cha sheria kilichotumika ni moja ya takwa la kisheria unapomwita mtuhumiwa kituoni.

Sisi ndiyo huwa tuchuchumaa bila hata kuhoji....ukihoji unakula mbata la mgongo..!! dadadeq
 
Tunamuombea uzima na Afya tele, Zaidi tunamuombea Mungu ampe ulinzi wa jeshi lake kuu lipitalo majeshi yote ya ulimwengu!
 
Kwani mna maana nyie mashabiki??? mmefanya Membe apoteze mwelekeo kwa kumdanganya agombee urais kwa slogani yenu ya TWENDE na Membe 2020. hATA HUYU MTAMALIZANA NAYE HIVI KARIBUNI wakati Magu atakapoapishwa
 
Dah, Lissu kweli ni kichwa ngumu aisee...yaani ametakiwa na AiJiiPii kuripoti kituo cha Polisi mkoani Kilimanjaro na kachimbwa biti zito. Halafu yeye Lissu anatia zake timu kwake Dar es Salaam 😂

Huu mtanange wa mwaka huu ni mtamu usipime...upele umempata mkunaji.
Mimi ndio maana hata Lissu asishinde uchaguzi sina shida. Ila alipopashika akaze hapo hapo kwenye korodani asiachie. Na kwa kupiga spana namna hiyo jina lake litakaa milele kwenye siasa za Tanzania.
 
Hongera sana Mh Tundu Lissu....Mungu yuko upande wako na Watz wako upande wako usitetereke!!!
 
Back
Top Bottom