Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

Hongera yake sana na Mungu wetu ni waupendo hakutaka taifa letu liangamie Tundu Lissu is our new president tunasubiria tarehe 28/10 ifike tuamuwe.
Mungu ajibu maombi yetu kwa kweli nimemuomba mungu sana ccm iondoke madarakani.
 
Sio Moshi tena?
Wanajichanganya sana hawa polis sijui walisoma shule gani
IMG_20201001_225325.jpeg
 
Haya miaka tumpe 5, je utajiri huo unafanana na malipo ya miaka mitano ya Ubunge? Au na yeye anachota kama mlevi wa konyagi? ie michago ya wabunge na ile ruzuku ya 320million + ya kia mwezi? Chema tu njomba .. . khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Jifunze kuandika.
 
Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28, Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2.
Ametumia usafiri wa barabara za lami au karuka na Air Tanzania?

Katumia muda gani kutoka Kilimanjaro hadi Dar na kufika salama?

Je, kaikuta familia yake iko salama kabisa hapo Dar es Salaam na wanaendelea kufurahia maisha salama salmini.

Akiweza kujibu hayo kwa uchache aache ujinga na kuropoka.
 
Na walaaniwe wote waliopanga na kutaka kumuua Tundu Lissu, NJIA ZAO ZOTE ZIWE GIZA NA UTELEZI. "katika Jina la Yesu KRISTO na wote tuseme Amen."

JESUS IS SAVIOR!!!!
 
Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28, Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2.
Mkuu Erythrocyte nakuona hapo mstari wa mbele umepiga koti la bei mbaya na t shirt nyekundu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Ametumia usafiri wa barabara za lami au karuka na Air Tanzania?

Katumia muda gani kutoka Kilimanjaro hadi Dar na kufika salama?

Je, kaikuta familia yake iko salama kabisa hapo Dar es Salaam na wanaendelea kufurahia maisha salama salmini.

Akiweza kujibu hayo kwa uchache aache ujinga na kuropoka.
Lissu si wa kupewa mikwara ya kijinga kama hii yako , Muulize kilichomkuta Sirro
 
Singida samia suluhu wala hashangiliwi watu wanamtazama tu ccm oyeee watu kimya magufili oyeee watu kimya doh
 
Ametumia usafiri wa barabara za lami au karuka na Air Tanzania?

Katumia muda gani kutoka Kilimanjaro hadi Dar na kufika salama?

Je, kaikuta familia yake iko salama kabisa hapo Dar es Salaam na wanaendelea kufurahia maisha salama salmini.

Akiweza kujibu hayo kwa uchache aache ujinga na kuropoka.
Acha uduanzi
Hizo barabara zimejengwa kwa Kodi zetu
Jiwe na maCCM wenzako ni wasimamizi tu
 
Unajua kujinyonga wewe mwenyewe?
Kama hujui acha aendelee kujinyonga kwa kiburi chake.
Kamba ya kujinyengea siyo lazima iwe kamba , hata simba ukiwachokoza wanatkutafuna kwa meno nayo utakufa.
Huyu amejitumbukiza kwenye ziwa la visu na mapanga, bunduki na mabomu.
Je kifo siyo halali yake?
Acha risasi zimtwange atajijua yeye mwenyewe.
Chagua CCM 28 Oct.
PUMBAVUUUUUU

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom