Mambo yenu ya kijinga ambiabeni wenyewe huko ufipaMhe. Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amefika salama nchini Ubelgiji baada ya kuondoka nchini Tanzania ambako alikuwa Mgombea Urais aliyeng'ara kutokana na maisha yake kuwa hatarini baada ya Vitisho vikubwa vya kumuua , aliondoka nchini Tanzania kwa Ulinzi wa UN huku akisindikizwa na mabalozi watatu, Balozi wa Marekani, wa Ujerumani na wa Ubelgiji
View attachment 1624491View attachment 1624492
Picha hizo ni za Zaventen Airport, Brussels Belgium alipowasili .
Kwani hatumjui huyu kamanda uchwara? Yaani Lisu alipokelewa na umati alipokuja Dar lakini siku ya kusepa hakuna cha Mbowe wala nani aliyemsindikiza. Kasambaratisha lichama lote la ufipa na kuwaacha makamanda kwenye mataa. Ni majonzi na huzuni hapo ufipa kwa sasa.
Sikuwaona na magwanda yao. Sijui labda waijificha.Ina maaana hajasindikizwa na wanachadema? Au makamanda?
Daah, umemuumbua sana. Sasa sijui itakuwaje!!!
Naona mnajipongeza mkiwa hamna ubongo!Kwani hatumjui huyu kamanda uchwara? Yaani Lisu alipokelewa na umati alipokuja Dar lakini siku ya kusepa hakuna cha Mbowe wala nani aliyemsindikiza. Kasambaratisha lichama lote la ufipa na kuwaacha makamanda kwenye mataa. Ni majonzi na huzuni hapo ufipa kwa sasa.
Hata kabla ya kupigwa risasi mlikuwa mnasema hivi. Baadae yakatokea kweliHakuna mtu aliyemtishia Lissu maisha yake.
Baada ya kushindwa uchaguzi ilikuwa lazima atengeneze drama ili kuwalaghai wafuasi wake kuwa analazimika kuondoka nchini.
Yeye sio mpinzani wa kwanza kugombea Urais na ni mpinzani runner up aliyepata mafanikio madogo kuliko wapinzani wote tangu nchi yetu ianze kuwa na chaguzi za vyama vingi.
Upuuzi mtupu.Naona mnajipongeza mkiwa hamna ubongo!
Tulia kwanza ili uandike vitu vinavyo eleweka.Kwani hatumjui huyu kamanda uchwara? Yaani Lisu alipokelewa na umati alipokuja Dar lakini siku ya kusepa hakuna cha Mbowe wala nani aliyemsindikiza. Kasambaratisha lichama lote la ufipa na kuwaacha makamanda kwenye mataa. Ni majonzi na huzuni hapo ufipa kwa sasa.
Huwezi kujipongeza kwa uchaguzi kama huu, ndio maana mnaonekana mazuzuUpuuzi mtupu.
Wewe umetulia?tulia kwanza ili uandike vitu vinavyo eleweka.
Upuuzi mtupu.Huwezi kujipongeza kwa uchaguzi kama huu, ndio maana mnaonekana mazuzu
yah.tena zaidi.Wewe umetulia?
Endelea kutulia tena zaidi.yah.tena zaidi.
Hakuna mwanaccm mwenye aibuDaah, umemuumbua sana. Sasa sijui itakuwaje!!!
Atakuja kutalii pia kuenjoy mandhari nzuri ya Tanzania , #Munguibarikitanzania.Atarudi tena 2025 kuja kuwa enjoy na kuwarubuni
Nimesikia CNN wakichambua jambo hilo kwamba ni Aibu kubwa sana kwa nchi , wameitaja nchi yetu kama pori la wanyama
Wazungu wabarikiwe.
Unapokula kumbuka kufuta mdomo account hii iungnishwe ni mtu mmoja.Nimesikia CNN wakichambua jambo hilo kwamba ni Aibu kubwa sana kwa nchi , wameitaja nchi yetu kama pori la wanyama
Huna macho kabisa ! yaani ni kipofu wa kupewa fimbo nyeupe peee !Unapokula kumbuka kufuta mdomo account hii iungnishwe ni mtu mmoja.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nikisoma thrd na msg zako juu ya Lissu kuna wakati naona huruma. Chochote anachokifanya Lissu kwako huwa ni ushujaa. Wanaofanya haya ya kwako ni wale walioajiliwa na hulipwa kwa kutoa sifa kama tuonavyo kwa wanaombebea rais mikoba.Mhe. Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amefika salama nchini Ubelgiji baada ya kuondoka nchini Tanzania ambako alikuwa Mgombea Urais aliyeng'ara kutokana na maisha yake kuwa hatarini baada ya Vitisho vikubwa vya kumuua, aliondoka nchini Tanzania kwa Ulinzi wa UN huku akisindikizwa na mabalozi watatu, Balozi wa Marekani, wa Ujerumani na wa Ubelgiji.
View attachment 1624491View attachment 1624492
Picha hizo ni za Zaventen Airport, Brussels Belgium alipowasili .