Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

Time will tell
 
Ila demokrasia kizungumkuti sana. Huwezi amini Pompeo na Babaake Trump nao wanalia wameibiwa kura. Kweli kila mtu na mechi zake!
 
Lissu kapigwa risasi 16 na ajafa,Mungu kamleta aje awe Rais wa Tanzania"[emoji23]
Rais -Lissu.
makamo wa Rais-Ami J[emoji23]
makazi ya Rais/Ikulu-mitandaoni[emoji23]
waziri mkuu-Mbowe.
Waziri wa habari na michezo -Sugu.
waziri wa ulinzi -Heche.
jinsia wanawake,watoto-Mdee.
sheria na katiba-Zito.
hii ni serikali ya Lissu ya mitandaoni[emoji23]
 
Taarifa ya Siri ya tiss inadai amepata Kura mil7
 
Alivyo anawaaminisha ety wako pamoja kwenye mapambano wakat Ulaya kaenda peke ake ,,
 
Acha aishi maisha ya omba omba kwa wazungu, atarudi tena baada ya miaka 5.
 
Nimesikia CNN wakichambua jambo hilo kwamba ni Aibu kubwa sana kwa nchi , wameitaja nchi yetu kama pori la wanyama
BBC ni kama tbc tu ndugu yangu, ni haki yao kuzungumzia jambo lolote hata kama hawana ushahidi.
 
Kuna bata na bata mzinga wewe ni bata mjinga
 
Good news. Huyu shujaa wetu sasa ni muda muafaka wa yeye kutulia na kula bata na familia yake kwa amani

Aachane na hii nchi ambayo watu wake hawajitambui
Ukisema hatujitambui unatukosea sana, yaani hukuona ujambazi uliofanyika kwenye uchaguzi huu. Ulitaka wananchi wafanye nini sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…