Hata ingelikuwa mpinzani ndiye mwenye dola still tangelikuwa haya haya tu.Mpinzani kuwekewa pingamizi au kuenguliwa wala sio habari, bali mgombea wa ccm hasa rais, hiyo ni ajabu ya karne.
Kwahiyo kwa unavyoelewa muda huu nchi haina Rais?Nimeangalia picha hii nimestaajabu sana. Ni sahihi picha ya Rais, na ambaye pia ni mgombea wa uchaguzi, kuwekwa pale ukutani?
View attachment 1548084
Hata ingelikuwa mpinzani ndiye mwenye dola still tangelikuwa haya haya tu.
Uniteue kuwa judge kisha nije nikujudge vibaya, probability ni 0.0008
Kwa sababu hakutegemea kufika hapo. Alijua atakatwa akawa anapiga mabomu ya maangamizi, lakini mambo yamegeuka ni mgombea uraisi kwa tiketi ya Chadema na mabomu yamebakia machache na vita ni siku 90. Kwa hiyo ajipange kama gentleman anayewania uraisi na sio Mau Mau terrorist fighter.Mbona hofu nyingi sana!
Kwahiyo kwa unavo elewa muda huu nchi haina Rais?
Lissu hakatai mapingamizi, ndio maana alirudi nchini licha yakua anajua mangapi yanayomsubiri.
Anachohitaji nihayo mapingamizi yafuate Sheria pasipo kumuonea wala kumpendelea
Hahaha! Kuna uhalisia wa kuandika na maisha halisi.Unaongozwa na hisia zaidi, ndio maana unajenga hoja za kutetea uovu kwa kisingizio kuwa hata wengine wangefanya kama ww. Udhaifu wako usihamishie kwa wengine.
Siyo kosa. Nchi bado inaongozwa na rais. Tunahitajii kufanya mabadiliko ya katiba ili kuondoa kero ndogondogo kama hizi.Nimeangalia picha hii nimestaajabu sana. Ni sahihi picha ya Rais, na ambaye pia ni mgombea wa uchaguzi, kuwekwa pale ukutani? Hivi Taasisi kama Tume ya Uchaguzi si wanatakiwa wawe neutral, kabla, wakati na baada ya uchaguzi?
View attachment 1548084
Endelea kujipa matumaini. Mapingamizi ya majimboni yameanza kushughulikiwa usiku huu.Kwa hiyo Leo atahangaikia urais, wale Wa majimbo wasahau maana attention yote anataka iwe kwenye Urais
Hiyo ndiyo counter attack ya CCM. Wanakusubirisha huku, kule wanakula vichwa.
Hahaha! Kuna uhalisia wa kuandika na maisha halisi.
Wewe unaongelea kilichotakiwa kufanywa jambo ambalo sipingani nalo kabisa.
Lakini, reality huwezi kulifanya wewe mwenyewe.
Unaogopa beberu? Usiogope unajua kazi yetu mabeberuNi viziri ila akiwekewa yeye asianze kulialia kama mtoto wa mama wa kambo.
Siyo kosa. Nchi bado inaongozwa na rais.tunahitajii kufanya mabadiliko ya katiba ili kuondoa kero ndogondogo kama hizi.
Sawa, jambo jema, ila wenzenu wameshakula chao mapema. Msipoteze muda. Na bado hata wengine waliopitishwa watajitoa katikati ya safari.Endelea kujipa matumaini. Mapingamizi ya majimboni yameanza kushughulikiwa usiku huu.
Leo mlibinua vishuzi kukatwa mara paa mmehamia kwenye mapingamizi, mijitu mioga sn nyieLissu anaweza kuwehuka, kuhamasisha watu wajae hakuzuii pingamizi