Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awataka wanachama kutoshangilia kwa hofu ya mapingamizi, afikiria kuweka pingamizi

Yaani Kila Ukimtafakari Lissu Hummalizi.

Toka Apitishwe Pale Njendengwa Nimekuwa Nikimfikiria Jinsi Tutakavyokabiliana Naye Kihoja.

Jamaa Ana Hulka Ya Kipekee Huyu.

All and All He Is Determinant,Perseverant,Charismatic,Mbishi,Mtata So Unapomuendea Kumbomoa KIHOJA ujipange Haswa Kwa Kuwa na Exquisite Points Above His.

Jamaa Mtata na Kichwa.

I Rest My Case
 
Wagombea Wa Chadema Waliokatwa Wanatafakarisha. 🤔🤔

Hebu Waza Kihivi;

Msafiri Nyatunyatu Airport. Anapanga Foleni Ya Kujiandaa Kuondoka,then ghafla anakumbuka PASSPORT aliiacha Chini Ya Mto🦀🦀

Hivi Kweli Dada Devotha Minja alisahau PICHA NDOGO?!!!Guys.

Aiseeeee Haya tu nyinyi TUCHEZEENI mchezo wa Kadenge.

CDM ?!!!!
 
Wako wanne, naona umemsahau mgombea mwingine. Huyo pia anaruhusiwa kuweka pingamizi
Wenye haki ya kuweka pingamizi ngazi ya Urais na Makamu ni hawa wadau watatu yaani Mkurugenzi wa Uchaguzi, Msajili wa Vyama Vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
 
Kwanza inaonyesha wagombea wote wana imani kubwa na wananchi.
Inaonyesha wagombea wa Chadema kuteuliwa ma tume ilikuwa mtihani mkubwa kuliko kufanya kampeni. Angalia kwa mifano hii ya wachache waliyosema.

1. Tundu Lissu
"Msishangilie kwanza maana mida bado, subirini mpaka yapite masaa 24. Kuna mapingamizi yatafuata"

2. Ester Bulaya
"Mungu ni mwema, hatimaye jina langu limebandikwa"

3. Upendo Peneza
" Mungu ni mwema, hatimaye nimeteuliwa kuwania ubunge Geita mjini"

Kila mgombea wa Chadema aliyepitishwa na tume kwake imekuwa ushindi mkubwa kuliko kwenda kuomba kura. Pia hakuna popote pale niliposikia au kuona mgombea wa CCM akimtukuza Mungu baada ya kupitishwa na tume.

Badala yake walifanya sherehe baada ya kupitishwa na chama Chao cha CCM.

Kiukweli uongozi wa awamu hii umevuruga kabisa ustawi wa kiuongozi ndani ya nchi. Tunaona kila mwana CCM sasa anageuka mungu hadi kuwaamuru Polisi wafanye nini.

Hii kumbukumbu mbaya na ya aina yake itaandikwa katika historia.



Angalia katuni kwa hisani ya Masoud Kipanya.
 
Ni kawaida yao kusema hivyo na ule uzushi wa kutekwa tekwa

 
Na tutahakikisha CCM hairudi madarakani kwa nguvu ya umma.
 
Huyu jamaa ni tatizo, siyo muungwana kabisa. Anahamsisha vurugu
 
kwamba kukiwa na pingamizi waandamane ,chadema buana tafuteni ugali kwanza
 
Lissu jua kua upande wa pili ni mabingwa sana wafitina za kisiasa. Kua makini.
 
Hata ingelikuwa mpinzani ndiye mwenye dola still tangelikuwa haya haya tu.

Uniteue kuwa judge kisha nije nikujudge vibaya, probability ni 0.0008
Mkuu Trump anauchaguzi tarehe 3 November 2020 hivi nae anatumia government machinery kujinufaisha yeye binafsi na chama chake? Mkuu usidhani sisi wote ni utopolo Kama ninyi na Magu wenu,please
 
Huyo
Tuna viongozi wengi waliogombea wamenyimwa fomu za uteuzi kwa hila za ccm. Please @tundulisu hili ni suala la kuanza nalo haraka iwezekanavyo nchi nzima!!
Huyo ana mawazo mengi sana kwa sasa maana hajui nini kinamtokea,
Kwani kibatara hayupo ashughulikie hayo?
Mpeni hiyo pesa ya Amsterdam nae azile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…