Mkuu Trump anauchaguzi tarehe 3 November 2020 hivi nae anatumia government machinery kujinufaisha yeye binafsi na chama chake? Mkuu usidhani sisi wote ni utopolo Kama ninyi na Magu wenu,please
Yeye bado mashaka apambanie nafsi nyingine...unaumwa weweTuna viongozi wengi waliogombea wamenyimwa fomu za uteuzi kwa hila za ccm. Please @tundulisu hili ni suala la kuanza nalo haraka iwezekanavyo nchi nzima!!
Ndio akili za Kibavicha izo, full kulishana matango pori.Kwahiyo kwa unavyoelewa muda huu nchi haina Rais?
Lisu ni mjimga tu
===========
Tundu Lissu amewataka wanachama wasishangilie sana kwani wanatarajia mapingamizi hivyo wasubiri kesho mpaka saa kumi kuona hali itavyokuwa.
Tundu Lissu: Sio wao peke yako wanaojua kuandika mapingamizi na sisi tunajua hivyo usiku huu nitaangalia kitu gani tunacho ambacho tunaweza tukafanya ambacho sheria za uchaguzi zinaturuhusu, na sisi tunaweza tukaweka mapingamizi.
Kama kuna mtu anafikiria sisi tutakuwa wajibu mashtaka tu, wafikirie mara mbili. Mwisho nawaombeni, kesho ni siku muhimu kuliko leo. Kwa sisi tusiokuwa na serikali, mapolisi, tusiokuwa na watu wa kutulinda, tunahitaji nguvu ya umma, tunahitaji wingi wenu.
Nawaombeni sana mhamasishane mji huu na miji ya jirani na yeyote anayeweza kuwa Dodoma awe Dodoma ili kesho tuwe wengi zaidi tuone mpaka kufikia saa kumi jioni itakuwaje.
Ila huyo mama amekaa kichawi chawi[emoji15]
Care taker President 😳 wewe utakuwa mpenzi shabiki mzuri wa EPL.Kwa sasa tuna care taker president na sio Raisi. Sijui hata hizo amri za kugawa magari anazifanye na kwa kutumia kifungu gani cha sheria wakati yeye ni mgombea kama wengine.
Ndio moja ya mapungufu yaliyomo katika katiba hii.Kwahiyo kwa unavyoelewa muda huu nchi haina Rais?
Kuishi kwa matumaini nayo ni 'furaha'.Muwe wengi ili iweje, endelea kuvunja sheria za uchaguzi.Bahati nxuri maboss wako wa chama walisaini kukubali kanuni VAR at work. Soon kuna red card.
Umesahau empeachment mkuu?Mkuu Trump anauchaguzi tarehe 3 November 2020 hivi nae anatumia government machinery kujinufaisha yeye binafsi na chama chake? Mkuu usidhani sisi wote ni utopolo Kama ninyi na Magu wenu,please
Tangu uwe kada hata uandishi wako umekuwa na shida sana, ule usemi kwamba ukijiunga na ccm, ubongo wako unachomolewa naona unaanza ku make sense.Ni viziri ila akiwekewa yeye asianze kulialia kama mtoto wa mama wa kambo.
Kuandika kwenyewe huwezi na Kiswahili hujui mkosa akili wewe.Ni viziri ila akiwekewa yeye asianze kulialia kama mtoto wa mama wa kambo.
Is he delusional like your useless president Magufuli?Mbona ameanza kuwa muoga muoga vipi tena si Amsterdam atashitaki akiwekewa pingamizi, analilia nguvu ya umma ya nini tena na mwanasheria wake yupo.
This guy is so dilusional
Hata ingelikuwa mpinzani ndiye mwenye dola still tangelikuwa haya haya tu.
Uniteue kuwa judge kisha nije nikujudge vibaya, probability ni 0.0008
Mpinzani atawezaje kuwa na dola, huyo si mpinzani tena, we jamaa argument zako nyepesi mno, unaendeshwa na mahaba kama mke mdogo asiye na uhakika wa maisha yake.
Sikujua kama unanifuatilia hivi....karibu mkuu. Baadae sasa hifadhi ya kesho tena ukiona nimecomment uje uniqoute.Kuandika kwenyewe huwezi na Kiswahili hujui mkosa akili wewe.
Tena kipinde kile nilikuwa nakosea kuandika zaidi ya sasa.....Tangu uwe kada hata uandishi wako umekuwa na shida sana, ule usemi kwamba ukijiunga na ccm, ubongo wako unachomolewa naona unaanza ku make sense.
Na damu yetu na ya vizazi vya waTanzania ipo juu ya hawa watatu :
Wenye haki ya kuweka pingamizi ngazi ya Urais na Makamu ni hawa wadau watatu yaani Mkurugenzi wa Uchaguzi, Msajili wa Vyama Vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.