Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Uvccm hakuna aliye msafi ndani ya ccm
Si walisema ataenda kuonana na Papa hahahahahahah.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

In God we trust
 
utashangaa serikali wana indose KODI sana kwa hili basi
 
Uvccm hakuna aliye msafi ndani ya ccm

In God we trust
Vipi hii gari itaingia lini Tz?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Mkubwa!! Yaani kiongozi ambaye anawajibika anaweza kuhangaika na zawadi ya gari? HAlafu unatoa pongezi! CHADEMA kwa ruzuku zao wanashindwa kununua mabasi ya aina hii kama wanaona ni mtaji wa kisiasa?

CHADEMA walikuwa na magari kibao wakati wa uchaguzi. Leo hii yako wapi?
 
Ninavyoijua CCM, Jiwe na Bashite, hili litaozea bandarini...!
 
Ccm wamezoea kusombwa na canter, fuso, mbaula, jeifongo, trekta + jero jero Sasa ndinga kama hii wivu na jasho hadi mfereji wa Suez vinawahusu
Umesahau maguta

In God we trust
 
hao CCM ruzuku wanayopta wamewahi kununua gari kama hili..... Hata kampeni wanatumia magari ya serikali, acha ufala wewe
 
Yapo hapo yanawasaidia hata wana ccm walio telekezwa na maguta

In God we trust
 
✌🏼✌🏼✌🏼✌🏼✌🏼

Alutta continua! CONTINUA!

 
Huyu mleta mada kweli mbishi, kaonyeshwa ushahidi kuwa katumia Photoshop bado anatetea Uzi wake.
 
Si walisema ataenda kuonana na Papa hahahahahahah.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Mkuu hebu anzisha Uzi utupie ile picha original ya basi kuwaumbua hawa NYUMBU.Kila siku wanakuja na story za kutunga.
 
Basi hata January Makamba alitumia na hakuwa Rais. Najua kumbukumbu imekata. Mnatakiwa muwekwe Museum ili watu walipie kuja kuwaona sababu ya mbinu mnazotumia kisiasa. Tena huku mkijua kuwa mpinzani wenu ni mbobezi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…