Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Kama hutaki kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakwambia magufuli anafanya kazi ya forodha?cdm siyo taasisi ya kwanza kuingiza gari nchini
Una uhakika Paskali na hii habari? Ww ni verified Ni bora ujiridhishe. Na hata kama ni kweli, basi alilopewa Lissu kwa aina ya siasa za Magufuli litaruhusiwa kuingia hapa nchini?

In God we trust
 
Na basi ni moja ya kitendea kazi muhimu sana hasa kwenye ujenzi na kuimarisha chama
In God we trust
 
Akyanani .... Soon wanatunga sheria ya kutoruhusu mabasi yenye nembo za kichama yasipite barabarani isipokua nembo ya Kijani tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Tuna watu wanatuongoza, wivu waoumezidi hata wivu wa wanawake.
 
Usiseme bus sema mabus.Jamaa atamuua mzee kwa presha.Bado ngoma ya ICC siielewi itakuwaje.Unaweza shangaa rais wa nchi anakuhukumiwa hukumu hatari na wote mkabaki midomo wazi.Ile mahakama ya ICC majaji wake hawasomeki kabisa.Wanaweza kukukondesha kwa masaa machache tu.
Wengi bado ICC hawaijui sawasawa nadhani kwa afrika mashariki Uhuru kenyatta ana majibu mengi mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watapak Photoshop?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu wacha kujipashua rudi kwanza lumumba mkajibu kashfa mlizo watukana wana ccm wote kuwa ccm hakuna aliye msafi ndani ya ccm kisa kumpokea lowasa
In God we trust
 
Konoike wanasubiria 110 billion la sivyo madege yenu yataishia kushindana na yutong kwenda mwanza
Picha Duka ?? Haha bavicha hawaishi maajabu.

In God we trust
 
Mbowe keshawashiwa indicator na Lisu . Chadema ruzuku kibao hawajawahi nunua basi kama hilo mgonjwa ananunua na ana uwezo wa kushawishi wafadhili wanunue akiwa kwenye drip wakati watu wazima akina Mbowe,mdee,godbles Lema,sugu,mchungaji Msigwa,heche na Matiko wapo wapo tu.Chadema mpeni Lisu Uenyekiti chadema.Mgonjwa kama aweza Fanya haya watu wazima wapo wapo tu .Mfungasheni virago Mbowe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…