Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Hii picha nimejiridhisha kuwa ni PHOTOSHOP, kama kuna mtu anabisha mwambie aliyeileta aweke picha nyingine. Hivi watanzania waishio Belgium wachange kununua Basi jipya la Scania?,mnajua bei yake?,mnajua ubahili wa wabongo wanaokaa ulaya jinsi ilivyo washape kutochangia ovyo vitu vya kijinga?, CDM ipewe basi zuri hivi kwa mgongo wa Lissu usimuone Lissu kwenye picha?,mmezidi mahaba ndo maana mlidanganya eti Lissu atahutubia bunge la marekani.Itafika mahali habari yoyote ya Lissu itakuwa haiaminiki mpaka ailete mwenyewe.
Kama hutaki kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakwambia magufuli anafanya kazi ya forodha?cdm siyo taasisi ya kwanza kuingiza gari nchini
Una uhakika Paskali na hii habari? Ww ni verified Ni bora ujiridhishe. Na hata kama ni kweli, basi alilopewa Lissu kwa aina ya siasa za Magufuli litaruhusiwa kuingia hapa nchini?

In God we trust
 
Na basi ni moja ya kitendea kazi muhimu sana hasa kwenye ujenzi na kuimarisha chama
Asavali hakutumiwa pesa za matibabu na ufisi ya Bunge, ambazo ni fedha za serikali, maana hawachelewi kusema ndizo zimenunulia hilo basi.

Sijui kama walionunua hilo basi, waliwauliza Chadema serious na critical demands zao ni nini, wakaambiwa ni basi, then wakapewa basi, au watoa zawadi walijiamulia tuu kujitolea zawadi, wakachagua kujitolea basi.

Kuelekea 2020, Chadema inahitaji sana misaada ya hali na mali ili iweze.
P

In God we trust
 
Akyanani .... Soon wanatunga sheria ya kutoruhusu mabasi yenye nembo za kichama yasipite barabarani isipokua nembo ya Kijani tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Tuna watu wanatuongoza, wivu waoumezidi hata wivu wa wanawake.
 
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864

In God we trust
Usiseme bus sema mabus.Jamaa atamuua mzee kwa presha.Bado ngoma ya ICC siielewi itakuwaje.Unaweza shangaa rais wa nchi anakuhukumiwa hukumu hatari na wote mkabaki midomo wazi.Ile mahakama ya ICC majaji wake hawasomeki kabisa.Wanaweza kukukondesha kwa masaa machache tu.
Wengi bado ICC hawaijui sawasawa nadhani kwa afrika mashariki Uhuru kenyatta ana majibu mengi mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni
Limeshafika au hewa liko mitandaoni? Hivi likifika mtapaki wapi ofisi ya CCM kinondoni au wapi.Maana pale makao makuu ya chadema hamna sehemu hata ya kupaki baiskeli.CCM kinondoni Nawaomba muwaruhusu chadema walipaki hapo kwenu kule kwao hakuna nafasi.Asije Mbowe akasema likapaki kwake akaligeuza dalaldala.
Watapak Photoshop?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu wacha kujipashua rudi kwanza lumumba mkajibu kashfa mlizo watukana wana ccm wote kuwa ccm hakuna aliye msafi ndani ya ccm kisa kumpokea lowasa
We unajiona una AKILI?Wenye akili wote wamedoubt hiyo picha ila wapuuzi wote wamekata mauono mushangilia. Soma signature yangu hapo chini.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

In God we trust
 
Konoike wanasubiria 110 billion la sivyo madege yenu yataishia kushindana na yutong kwenda mwanza
Picha Duka ?? Haha bavicha hawaishi maajabu.

In God we trust
 
Mbowe keshawashiwa indicator na Lisu . Chadema ruzuku kibao hawajawahi nunua basi kama hilo mgonjwa ananunua na ana uwezo wa kushawishi wafadhili wanunue akiwa kwenye drip wakati watu wazima akina Mbowe,mdee,godbles Lema,sugu,mchungaji Msigwa,heche na Matiko wapo wapo tu.Chadema mpeni Lisu Uenyekiti chadema.Mgonjwa kama aweza Fanya haya watu wazima wapo wapo tu .Mfungasheni virago Mbowe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom