Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kama hutaki kufaHii picha nimejiridhisha kuwa ni PHOTOSHOP, kama kuna mtu anabisha mwambie aliyeileta aweke picha nyingine. Hivi watanzania waishio Belgium wachange kununua Basi jipya la Scania?,mnajua bei yake?,mnajua ubahili wa wabongo wanaokaa ulaya jinsi ilivyo washape kutochangia ovyo vitu vya kijinga?, CDM ipewe basi zuri hivi kwa mgongo wa Lissu usimuone Lissu kwenye picha?,mmezidi mahaba ndo maana mlidanganya eti Lissu atahutubia bunge la marekani.Itafika mahali habari yoyote ya Lissu itakuwa haiaminiki mpaka ailete mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app