Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mambo ya faraga kwa jambo halisi sio jambo hovyo la kuingiliana kinyume na maumbile huyu ni chizi tu.Magufuli hatokaa amuweze lissu kwa hoja, atatumia vyombo vya serikali kumzuia asigombee. Na hapo pia Lissu ana plan B na C
Huyu ni Nampa kura yangu asubuhi na mapemaHapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye [emoji817]/[emoji817]!
Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.
Iachane na mambo ya faragha za watu.
Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.
Faragha za kijambazi ndo nini?Hoja sio kuingilia faragha za watu, hoja ni nini Maana ya faragha hiyo,
Kwani Katiba ilipotaja haitashughurikia faragha za watu Wala kuingilia hizo faragha, hizo faragha zilibainiahwa kuwa ni faragha za Aina gani,
Kama hazikutajwa Katiba yetu inamapungufu ktk Hilo lkn pia anayetaka kutuaminisha kuwa hiyo ipo kikatiba na Wakati huohuo hakuna mchanganuo huo, yeye tutamwita ni mmoja wa kutetea hiyo faragha isiyo FAA, Kwa nini aivalie njuga ikiwa haikatolewa ufafanuzi pahala popote kwamba Nayo ni faragha hata kama ni faragha
Maana pia hata faragha za kijambazi zipo tu, nazo tutazisemeaje?
Umeisikiliza hio clip kweli?Tundu Lissu hawezi kupingana na ushoga, mbona yeye hajajikita ktk mambo ya msingi bali kashupalia uwanja w ndege chato, mbuga ya wanyama burigi basi hana jipya
Kwani umewahi kuona kikao cha maharamia kama sio faragha ni niniFaragha za kijambazi ndo nini?
Huyu ni Nampa kura yangu asubuhi na mapema
Kwa hiyo unalinganisha ushoga na uharamia au unasemaje?Kwani umewahi kuona kikao cha maharamia kama sio faragha ni nini
Kwa vipi?? Yaani Magufuli umlinganishe na dalali Lissu hebu kuweni seriousMagufuli hatokaa amuweze lissu kwa hoja, atatumia vyombo vya serikali kumzuia asigombee. Na hapo pia Lissu ana plan B na C