Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mabeberu ni kina nani?Wanachotaka mabeberu wa Lissu si faragha, bali wanataka serikali kutambua ndoa za jinsia moja kitu ambacho serikali haipo tayari kufanya hivyo. Lissu aache kupotosha ukweli. Yeye ameshakuwa mtumwa wa mabeberu basi aendelee kuwasujudia.