Tundu Lissu azungumzia tena ushoga. Nakubaliana naye!

Status
Not open for further replies.
..Polisi wanafundishwa na mabeberu.

..jeshi wanapewa sare na mabeberu.

..dreamliners tunanua kwa mabeberu.

.."hedi-kopta" za raisi zimenunuliwa kwa mabeberu.

..mkopo wa kujenga SGR umetoka kwa mabeberu.

..mkopo wa kuendesha elimu ya sekondari unatoka kwa mabeberu.

..dhahabu zinachimbwa na makampuni ya mabeberu.

..makinikia yanasafirishwa na mabeberu.

..Nikisema Jpm ni wakala wa mabeberu nitakuwa nimemkosea?
Ahhahahah
 
Mambo ya faraga kwa jambo halisi sio jambo hovyo la kuingiliana kinyume na maumbile huyu ni chizi tu.
Ni upumbavu kuhangaika na mambo ya faragha kwa sababu huwezi kufanikiwa.

Kwenye mahoteli kuna mpaka vyumba vina vitanda viwili. Wanaume wawili wakiingia humu wakisema wanachukua chumba kama hicho kumbe usiku wanafanya yao, Makonda ataenda kuwachungulia?

Kuna mengi ya msingi ya kufuatilia kuliko huu ujinga. Jamii yetu ijizatiti kwenye mafunzo ya maadili. Waishie tu hapo. Ya watu wakiingia kulala wanafanya nini yasitupotezee muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hii hoja naona atakubalika sana, anajitahidi sana huyu jamaa.
 
Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye 💯/💯!

Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.

Iachane na mambo ya faragha za watu.

Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.

Kwani yeye kashakuwa shoga?
 
Kwani wapi Lissu kazungumzia ndoa za jinsia moja?
Kazungumzia ushoga, na kaepuka kuweka sawa hasa msimamo wake. Hakuna anaekataa ya faragha ni ya faragha, hata kama umefanya na ng'ombe. Lakini dunia hii tunapozungumza masuala ya ushoga, hatuzungumzii masuala ya faragha na yeye analijua hilo. tunazungumzia masuala mazima ya ndoa jinsia moja, vitendo vya kishoga kuwepo hadharani na kuonekana vya kawaida. Msijibabaishe bure hapa kutaka kudai ni mambo ya faragha, tunajua sote hapa wanaopigia kampeni ushoga wanataka ushoga na usagaji uonekane jambo la kawaida na likubalike, ukiona wanaume wamekaa cocobeach wanakulana denda uwaachie na uone ni suala la kawaida tu.

Sasa tunataka tujue msimamo wake upoje? au wewe msaidie basi.
 
Msimamo wake ni kuwa faragha haistahili kuingiliwa maana katiba imekataza. Lakini akikuta umeinamishwa hadharani atakemea
 
Na akikuta mnakulaana denda na mwanaume mwenzio hadharani? Maana madenda sio ngono na hayahitaji faragha, hamna uchi unaoonekana hapo. Hio itakuaje?

Na je, vipi kuhus kufunga ndoa kwa jinsia moja? Hamna anaeinamishwa hapo, ni ndoa tu inafungwa. Serikali yake itaitambua na kuikubali hio ndoa? Je ana support ndoa za jinsia moja?
 
Kazungumzia ushoga, na kaepuka kuweka sawa hasa msimamo wake. Hakuna anaekataa ya faragha ni ya faragha, hata kama umefanya na ng'ombe. Lakini dunia hii tunapozungumza masuala ya ushoga, hatuzungumzii masuala ya faragha na yeye analijua hilo. tunazungumzia masuala mazima ya ndoa jinsia moja, vitendo vya kishoga kuwepo hadharani na kuonekana vya kawaida. Msijibabaishe bure hapa kutaka kudai ni mambo ya faragha, tunajua sote hapa wanaopigia kampeni ushoga wanataka ushoga na usagaji uonekane jambo la kawaida na likubalike, ukiona wanaume wamekaa cocobeach wanakulana denda uwaachie na uone ni suala la kawaida tu.

Sasa tunataka tujue msimamo wake upoje? au wewe msaidie basi.
Kwani kulana denda hadharani hiyo ni faragha??? Unajua maana ya faragha????

Msimamo wake yeye kama yeye upo kama msimamo wa dini yake ulivyo. Anachukulia Kama ni dhambi!
 
Kweli nyie nyumbu
Ko mnaharalisha ushoga sa
2020_08_24_06.59.28.jpg

Ndo ujiulize ni Nani anae haralisha ushoga

2020_08_24_06.58.24.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom