cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,260
- 1,629
Kwani chato haistahiki kujengewa uwanjaWewe unakaa kwa shemaji huwezi jua Kama taifa tumepoteza bei gani kujenga uwanja wa kimataifa chato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani chato haistahiki kujengewa uwanjaWewe unakaa kwa shemaji huwezi jua Kama taifa tumepoteza bei gani kujenga uwanja wa kimataifa chato
Wewe umewahi kubanwa mkuu?Najua mna hamu ya kulegezwa viuno sana, ila hapa tz bado hadi mbaki vizazi vya shetani msio muogopa mungu ndo muyafanye hayo kwa uhuru
Ila kwa sasa tutawabana tu.
Acha utoto na ww sasa hayo si yanamaslahi na taifaTundu Lissu hawezi kupingana na ushoga, mbona yeye hajajikita ktk mambo ya msingi bali kashupalia uwanja wa ndege Chato, mbuga ya wanyama Burigi basi hana jipya
Mama Anna makinda na Mtemi Chenge ni wanaccm wenzako,hebu waulize kuhusu Lissu na taaluma yake? Hebu muulize pia Magu kwa kwamba kwanini hakukusanya wanasheria mahiri wa ccm kupambana mahakamani badala yake akakimbilia tututuHalafu eti mnamuita mwanasheria nguli,
Nipeni uamuzi wa kesi MOJA tu ambayo alisimamia Lisu ikatengeneza kanuni ya Kisheria ( precedent).
Ni hakuna,
Huyu jamaa uanasheria wake nguli ni wa mdomoni tu na kupewa sifa za kijinga na mabavicha.
Ila kwenye korido za mahakama huko kesi alizoshinda za wateja wake hazijai hata mkononi.
Sina haja ya kuuliza mtu wakati naifahamu vyema mahakama yetu.Mama Anna makinda na Mtemi Chenge ni wanaccm wenzako,hebu waulize kuhusu Lissu na taaluma yake? Hebu muulize pia Magu kwa kwamba kwanini hakukusanya wanasheria mahiri wa ccm kupambana mahakamani badala yake akakimbilia tututu
Sijatumwa na yeyote ila nafsi yangu inauma nikitazama Tanzania ya kesho kugezwa Congo. Ni bora tupambane na hawa wadhalimu wa ndani kwa style nyingine lakini sio kuwaaliki hao wanyonyi.Kwani mpaka sasa mali za nchi hii wanakula wa kina nani?
Umetumwa na watu wanaotaka kula nchi wenyewe usiwe mjinga wewe
Lissu ni wakili wa mahakama kuu si hiyo ya mwanzo unakoshinda mkuuSina haja ya kuuliza mtu wakati naifahamu vyema mahakama yetu.
Haha hakuna mahakama ya mwanzo anakoshinda wakili.Lissu ni wakili wa mahakama kuu si hiyo ya mwanzo unakoshinda mkuu
Safari hii watakoma wenyewe..... Kaja kivingine.Lissu anajua hadi anakera hakika huyu NI YEYE kabisa
Ama kweli kuna watu, wanatakiwa wapelekwe milembe, lakini wapo mitaani. Kati ya watu 10, 9 ni vichaa.Lissu yuko vizuri sana huyu ni mzalendo hasa
Hadi unawajua usikute na wewe mdau mkubwa
Taja aliyovunja hata moja
Ila magu anamuogopa kuliko anavyoogopa coronaHaha hakuna mahakama ya mwanzo anakoshinda wakili.
Huyo jamaa ni kilaza tu mnampa sifa za bure bure.
Sijatumwa na yeyote ila nafsi yangu inauma nikitazama Tanzania ya kesho kugezwa Congo. Ni bora tupambane na hawa wadhalimu wa ndani kwa style nyingine lakini sio kuwaaliki hao wanyonyi.
Chadema ya Dr.Slaa ulikua inakwenda vizuri iliporea kidogo baada ya kuwadharau wananchi ila hatua ya sasa ya kuenda kushirkiana na wadhalimu 100% Mimi siungi mkono. Tanzania inapiganiwa na watanzania na sio mabeberu.
Huenda ujanielewa au umedhamiria kutokuelewa kwanza ni kusaidie tuu maana tatizo la vijana wa nchi hii mtu mkipishana msimamo Kama ni ccm anakuona chadema na Kama ni chadema ana kuona ccm. Kwa hiyo elewa niko upande wa utanzania..Polisi wanafundishwa na mabeberu.
..jeshi wanapewa sare na mabeberu.
..dreamliners tunanua kwa mabeberu.
.."hedi-kopta" za raisi zimenunuliwa kwa mabeberu.
..mkopo wa kujenga SGR umetoka kwa mabeberu.
..mkopo wa kuendesha elimu ya sekondari unatoka kwa mabeberu.
..dhahabu zinachimbwa na makampuni ya mabeberu.
..makinikia yanasafirishwa na mabeberu.
..Nikisema Jpm ni wakala wa mabeberu nitakuwa nimemkosea?
Huenda ujanielewa au umedhamiria kutokuelewa kwanza ni kusaidie tuu maana tatizo la vijana wa nchi hii mtu mkipishana msimamo Kama ni ccm anakuona chadema na Kama ni chadema ana kuona ccm. Kwa hiyo elewa niko upande wa utanzania
Wazungu/Mabeberu/wahisani vyovyote utakavyo waita ni wafanya biashara na jamii ya watu wenye uelewa zaidi kuliko asilimia kubwa ya jamii yetu hivyo wako na dhamira ya siku zote kuwa juu sababu Wana amini wao nio bora kuliko jamii za kiafrika. Kuna ukweli sababu walitumia upumbavu wetu kujitajirisha na kujiimarisha na ndio lengo lao siku zote.
Ataacha dogo aendelee kufumuliwa linda na hata muingilia katika hizo faragha zake hadi atakapofumania live au sio?Sasa akimkuta hiyo itakuwa faragha?
Wewe kama umeona wamezungumzia suala la ndoa ya jinsia moja nipe link nikasome na mie au nisikilize.Kwani Wizara ya Mambo ya Nje ilisemaje kwenye operesheni ya Makonda??? Kawauliza Embu mjibuni