Kwani nimekwambia kulana denda hadharani ni faragha?Kwani kulana denda hadharani hiyo ni faragha??? Unajua maana ya faragha????
Msimamo wake yeye kama yeye upo kama msimamo wa dini yake ulivyo. Anachukulia Kama ni dhambi!
Mbona mnakimbia ishu yenyewe na mnarukaruka kama vile hamjaelewa?
Linapozungumzwa suala la ushoga, watu hawaongelei mambo ya faragha, watu wanaongelea masuala yaliokuwa wazi kabisa. Kwani ushoga unakuwa faraghani tu?
Kuchukulia dhambi hio ni personal ishu, ishu kwenye suala la taifa, ataruhusu ndoa za jinsia moja ili kuwaridhisha "wahisani" na kufanya jambo la ushoga kuonekana ni jambo la kawaida tu?