Wewe huna akili soma sheria vizuri siyo unaropoka unaelewa maana ya mambo ya faragha ni yale yote ambayo hayawezi kufanyika hadharani yote faragha katiba imekataza kuingiliwa
Kuna mtumishi mmoja wa Madhehebu ya kikristo, amesisitiza watu waachwe wawe huru kusema. Na ni kwa kuwaacha waseme itakuwa rahisi kuwatambua wajinga, waelevu, wapumbavu, wenye njaa, wahuni, na kadhalika.
JF imetoa furusa hiyo ya watu kuandika yote ambayo wanayafikiria ama kwa namna nyingine wangeyasema. Ni kupitia maadishi yao tunaanza kujionyesha wapumbavu, wajinga, wenye njaa, wahuni, wehu, na kadhalika ni kina nani. Asante kwa hili JF.
Kuna kesi ya hivi karibuni, mwalimu mmoja alivamiwa 'faraghani' na kukutwa na mwanafunzi wake ambaye hajafikisha miaka 18. Mwalimu hiyo...uwenda akanyeshewa 'mvua' thelathini. Kwa hiyo, Ndugu
mhanila1 unataka kutueleza kuwa mwalimu yule anatakiwa kuwa huru, kwa sababu alichokuwa anafanya faragha kilikuwa cha siri hakikuwa cha sebuleni?