Tundu Lissu bado unayo nafasi ya kurekebisha hotuba yako! Usiongelee Macro issues kupita kiasi!

Kweli kabisa ile hotuba yako ya mwanzo kuna sehemu hukufanya vizuri kabisa. Bado una muda katika siku zijazo hebu jaribu kufikiria kuongeza baadhi ya mambo ambayo hukuyagusa vizuri kwenye hotuba yako.

Hukugusa baadhi ya mambo nyeti sana yanayoendelea nchini. Hukuongela kuhusu hatima ya watumishi wa umma ambao kwa sasa wananyanyasika sana. Hata hivyo wengi wetu tunaamini kwa kuwa hukuwahi kuajiriwa Serikalini kuna uwezekano hupendi watumishi wa umma - na unaona JPM alichofanya kwao kwa mikaa hii mitano ni sawa tu. Ninajua pia umekwepa kuongelea hatima ya wale wa vyeti feki walioondolewa bila hata haki ya kusikilizwa kwa sababu unawajua asimilia kubwa ya wananchi wapiga kura waliona uamuzi ule ulikuwa sahihi, inagwa waliondoshwa kwa uonevu sana. Kumbuka waliwaajiri hawajaguswa mapaka leo. Zaidi kumbuka hao watu wapo na mpaka leo hawajawahi kusikilizwa hata kama wanachukuliwa hawana haki. Haki ya kusikilizwa iliwekwa na Mwenyezi Mungu Mwenyewe.

Anyway hao sio issue sana kwangu! unaweza usiwaongelee ila ukiingia madarakani watakufuata umalize channgamoto yao - wana michango yao kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na hawajawahi kulipwa kwani ukweli walifanya kazi na kazi yao haikuwa feki. Lakini pia mbadala wake unaweza kuongelea kuibua suala la vyeti feki kwa viongozi wa kisiasa waliopo - kama vipi wakati wanaondoka wewe ukiingia wasilipwe marupurupu yao - kwani itaonesha ni namna gani double standard ilifanyika huko nyuma na wewe unarekebisha.

Kwa hapa pia unaweza kugusia kuwa na vyama vya wafanyakazi vilivyopo uvipe uhuru wa kufanya mambo yao zaidi bila kuingiliwa na usisitize visiwe kwa ajili ya kukusanya ada tu za wanachama wake na kuzila kinyemela.

TAL naona uliongelea sana kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu kuliko nini utafanya ili ukiukwaji huo usiwepo. Hukugusia kwa watu wa chini wa maisha ya kawaida wanavyonyanyasika. Achana na macro issues wewe ongelea ada za shule - sema itakuwa free mpaka Form Six, kupunguza asimilia ya marejesho ya bodi za mikopo, kupunguza riba za benki mtu akikopa, n.k. Haya ni matamu kusikiwa na wapiga kura.

Gusia mambo ya upendo na kufuatwa kwa taratibu. Ongelea kuongeza mikopo ya elimu ya juu (hapa utagusa wapiga kura wengi ambao ni vijana). Waahidi kupata mitaji wakimaliza vyuo hasa kutokana na kuimarisha mitaji ya kwenye kilimo na pia fursa zingine lukuki.

Ongelea kdg kuhusu wakulima wetu - kuwa utatoa mbolea kwa bei karibu na bure Serikali itawanunulia - subsidies. Kuruhusu mikopo zaidi kwa pembejeo za kilimo - kwa sasa pembejeo hizo bado zipo juu hata Mradi wa Kilimo Kwanza ulikuwa expensive - uboreshe Mradi huo. Na wala usisema unauondosha.

Ongelea kuhusu pensheni ya wazee wote kama wenzetu wa Zanzibar. Najua ukiongelea tu hili CCM tutalitelekeza kwa sababu ni kama lipo kwenye mpango ambao upo kwenye shelf ya vitabu kwa muda mrefu.

Gusia utumbuaji ambao utafuata utaratibu wa kisheria. Hutatumbua tu bila kuwa na uhakika kwani unaweza kufanya uonevu pia. Sema wazi kuwa viongozi wanaopatikana kushiriki vitendo vya rushwa kwa awamu hii wote watawajibishwa katika kipindi chako. Mfano unaweza kuanzia na Kangi Lugola ambaye anaruka ruka kama bisi zinakaangwa na pia unaweza kuongelea kuwa utaibua ile issue ya trilioni 1.5 na wote watakaohusika utawadeal na hataachwa mtu. Ukweli wananchi tunataka kulisikia hilo vizuri - kwa kutumia uzoefu wako wa kisheria rahisisha sana kuonesha ubadhirifu huo wa 1.5 trilioni ulivyofanyika na matukio mengine ya kifisadi na kuahidi kudeal na wale walioshiriki. Sisi wananchi tunapenda ahadi za hivyo kwa sababu inakuwa kama picha fulani hivi inachezwa na unatamani kuiangalia.

Ongelea mfano kibinyo alichokipata Lowasa hadi akahama Chama chetu akaja kwenu na kisha kibinyo kikaongezeka akarudi tena CCM - tunajua ni kwa ajili ya kumwokoa mkwe wake. Sema hili wazi wazi TAL. Kuongelea macro issues utawapata wachache sana - wasomi tu. Sisi tunataka stori yaani kama picha ya Isabela hivi.

Unaweza kwa mfano kuchukua pia orodha ya walio kwenye nafasi kwa upendeleo kuwa utawaondoa ukichukua nchi. Unaweza kuwataja hata kwa majina mfano wale ambao ulishawahi kuwataja na wengine wengi tu ambao najua ukiomba ushahidhi unaweza ukaletewa. Hapa utakuwa umetengeneza movie kali pia kwa sababu WaTanzania tulivyo hatupendi kabisa issues za nepotism na undugunaization. Hawa wapo wengi awamu hii.

Mfano mwingine ongelea kuhusu kuanzisha uchunguzi kwa upoteaji wa watu kama akina Ben Saa na Azory. Weka wazi wazi kuwa hata mwanaCCM mwenzetu yeyote akipotea kwa mazingira kama hayo wewe huko tayari kuliacha lipite - haki ya uhai ni ya kila mtu. Sema wazi kama ukigundua kuna kiongozi alihusika na upoteaji wao utaruhusu vyombo vya Sheria vifanya kazi yake regardless ana nafasi gani.

TAL - nina vidude vya kijinga jinga vingi ambavyo ninashauri uviweke kwenye hotuba yako itakayofuata - nafikiri wakati unachukua fomu - kwani WaTanzania kwa sasa tunapenda sana hoja zenye mwelekeo wa kimajungu majungu na sio macro issues kama ulivyoongelea wewe. Mfano mwingine unaweza kusema wewe kununua midege tayari inatosha na pia kama labda uwanja mkubwa unaojengwa Chato hautakuwa umekamilika basi mradi huo utahamishia Mwanza kuimarisha uwanja wa Mwanza. Dodoma kwa sababu ni karibu na Singida kwenu ongelea kuiendeleza faster zaidi kuliko awamu hii na ikibidi bajeti zote zinazojenga Chato hamishia Dodoma.

Yaani basi tu ngoja niishie hapa. Kikubwa pls hebu ongea hizi trivial issues ambazo zina madhara sana kwenye jamii yetu hii, achana na macro issues - tukimaliza uswahili swahili huu ndiyo tunaweza kuhamia kwenye hayo mambo makubwa ya kujadili kama madege, maSGR, Mafly over, n.k kwani kwa sasa hayo hayatupatii ugali wa kila siku.

Wenzangu msaidieni TAL issues zaidi za kuongea na kutekeleza akiwa Rais.

Kuhusu wataumishi wenye vyeti fake.
Hao atawazungumuziaje wakati ni wahalifu
Yaani uamekuta mtu anaiba shambani wako uanamhulumia kumpeleka police unamwambie aache mahindi hayo aondoke,
Hapo si umemsaidia sana?
Eti wasikilizwe, kwa lipi sasa wakati wamegushi na kugushi ni kosa?
Kwa mawazo yenu hayo nchi hii bado sana.
Mwambie asemee na mishahara hewa itamuongezea credit sana.
 
Hapo kwenye vyeti feki kwamba hawakusikilizwa sidhani. Wao wenyewe waliambiwa wajiondoe ili wasishtakiwe na wakakimbia vituo vyao vyakazi. . Sasa mtu Kama hana vyeti asikilizwe Kitu gani au Kama watu wawili wanatumia Cheti kimoja wasikilizwe nini zaidi ya ambae Cheti sio chake kutimua mbio.

Alichosema ni kuwa mtu ana cheti fake kweli, lakini kazi aliyofanya sio fake. Alipaswa kulipwa stahiki zake kwenye kile alichokifanya. Kumbuka hao watu walikuwa na michango yao kwenye mifuko ya jamii na hawajalipwa walichochangia. Unakwama wapi boss?
 
Nakubaliana na wewe lkn angeweka tu hivyo vionjo ingeleta hamasa sana. Mfano unapoongelea uchumi unagusa hadi ubadhirifu wa 1.5 bilioni na kusema umesababishwa na kuwekana ndugu kwenye sehemu nyeti zinazohusu matumizi ya serikali na hivyo imeyumbisha uchumi. Hapo unachomeka kuwa wale walioteuliwa kwa kuangalia undugu utadeal nao kwa sababu ndiyo wanahusika na kudorora kwa uchumi na ushahidi wa shilingi trilioni 1.5 unao na utawawajibisha wote waliozila na tena watazitapika!
Kwenye kutangaza nia unahitaji kuwa content sana, hutakiwi kudeal na petty issues.

Hata kwenye kampeni pia kama umefatilia kuna watu wanapangwa kuongelea hizo issues na si mgombea husika kama umefatilia kampeni hili utakuwa umeliona.

Hii humuacha mgombea urais kuconcetrate na issue zenye sura ya kitaifa, lakini pia kuna issues hautazisikia zikigusiwa na chama husika mfano useme eti utaondoa wenye vyeti feki waliobakia kwenye msimu wakati unajua fika kwenye majeshi wamejaa!! Hao wahusika wakishawishiwa kutumika kinyume chako watakukwamisha sana hautatoboa, ni jambo la timing sana sana.
 
Kuhusu wataumishi wenye vyeti fake.
Hao atawazungumuziaje wakati ni wahalifu
Yaani uamekuta mtu anaiba shambani wako uanamhulumia kumpeleka police unamwambie aache mahindi hayo aondoke,
Hapo si umemsaidia sana?
Eti wasikilizwe, kwa lipi sasa wakati wamegushi na kugushi ni kosa?
Kwa mawazo yenu hayo nchi hii bado sana.
Mwambie asemee na mishahara hewa itamuongezea credit sana.

Acha upotoshaji wa kijinga, hakuna popote kaongelea mishahara hewa. Kasema hao wenye vyeti fake hawakufanya kazi fake. Naona huyu jamaa kazungumzia wenye vyeti fake, wote mmejitokeza maana mnajua fika kilichofanyika sio ubinadamu, na mnajua fika likisemwa lina impact.
 
Kweli kabisa ile hotuba yako ya mwanzo kuna sehemu hukufanya vizuri kabisa. Bado una muda katika siku zijazo hebu jaribu kufikiria kuongeza baadhi ya mambo ambayo hukuyagusa vizuri kwenye hotuba yako.

Hukugusa baadhi ya mambo nyeti sana yanayoendelea nchini. Hukuongela kuhusu hatima ya watumishi wa umma ambao kwa sasa wananyanyasika sana. Hata hivyo wengi wetu tunaamini kwa kuwa hukuwahi kuajiriwa Serikalini kuna uwezekano hupendi watumishi wa umma - na unaona JPM alichofanya kwao kwa mikaa hii mitano ni sawa tu. Ninajua pia umekwepa kuongelea hatima ya wale wa vyeti feki walioondolewa bila hata haki ya kusikilizwa kwa sababu unawajua asimilia kubwa ya wananchi wapiga kura waliona uamuzi ule ulikuwa sahihi, inagwa waliondoshwa kwa uonevu sana. Kumbuka waliwaajiri hawajaguswa mapaka leo. Zaidi kumbuka hao watu wapo na mpaka leo hawajawahi kusikilizwa hata kama wanachukuliwa hawana haki. Haki ya kusikilizwa iliwekwa na Mwenyezi Mungu Mwenyewe.

Anyway hao sio issue sana kwangu! unaweza usiwaongelee ila ukiingia madarakani watakufuata umalize channgamoto yao - wana michango yao kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na hawajawahi kulipwa kwani ukweli walifanya kazi na kazi yao haikuwa feki. Lakini pia mbadala wake unaweza kuongelea kuibua suala la vyeti feki kwa viongozi wa kisiasa waliopo - kama vipi wakati wanaondoka wewe ukiingia wasilipwe marupurupu yao - kwani itaonesha ni namna gani double standard ilifanyika huko nyuma na wewe unarekebisha.

Kwa hapa pia unaweza kugusia kuwa na vyama vya wafanyakazi vilivyopo uvipe uhuru wa kufanya mambo yao zaidi bila kuingiliwa na usisitize visiwe kwa ajili ya kukusanya ada tu za wanachama wake na kuzila kinyemela.

TAL naona uliongelea sana kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu kuliko nini utafanya ili ukiukwaji huo usiwepo. Hukugusia kwa watu wa chini wa maisha ya kawaida wanavyonyanyasika. Achana na macro issues wewe ongelea ada za shule - sema itakuwa free mpaka Form Six, kupunguza asimilia ya marejesho ya bodi za mikopo, kupunguza riba za benki mtu akikopa, n.k. Haya ni matamu kusikiwa na wapiga kura.

Gusia mambo ya upendo na kufuatwa kwa taratibu. Ongelea kuongeza mikopo ya elimu ya juu (hapa utagusa wapiga kura wengi ambao ni vijana). Waahidi kupata mitaji wakimaliza vyuo hasa kutokana na kuimarisha mitaji ya kwenye kilimo na pia fursa zingine lukuki.

Ongelea kdg kuhusu wakulima wetu - kuwa utatoa mbolea kwa bei karibu na bure Serikali itawanunulia - subsidies. Kuruhusu mikopo zaidi kwa pembejeo za kilimo - kwa sasa pembejeo hizo bado zipo juu hata Mradi wa Kilimo Kwanza ulikuwa expensive - uboreshe Mradi huo. Na wala usisema unauondosha.

Ongelea kuhusu pensheni ya wazee wote kama wenzetu wa Zanzibar. Najua ukiongelea tu hili CCM tutalitelekeza kwa sababu ni kama lipo kwenye mpango ambao upo kwenye shelf ya vitabu kwa muda mrefu.

Gusia utumbuaji ambao utafuata utaratibu wa kisheria. Hutatumbua tu bila kuwa na uhakika kwani unaweza kufanya uonevu pia. Sema wazi kuwa viongozi wanaopatikana kushiriki vitendo vya rushwa kwa awamu hii wote watawajibishwa katika kipindi chako. Mfano unaweza kuanzia na Kangi Lugola ambaye anaruka ruka kama bisi zinakaangwa na pia unaweza kuongelea kuwa utaibua ile issue ya trilioni 1.5 na wote watakaohusika utawadeal na hataachwa mtu. Ukweli wananchi tunataka kulisikia hilo vizuri - kwa kutumia uzoefu wako wa kisheria rahisisha sana kuonesha ubadhirifu huo wa 1.5 trilioni ulivyofanyika na matukio mengine ya kifisadi na kuahidi kudeal na wale walioshiriki. Sisi wananchi tunapenda ahadi za hivyo kwa sababu inakuwa kama picha fulani hivi inachezwa na unatamani kuiangalia.

Ongelea mfano kibinyo alichokipata Lowasa hadi akahama Chama chetu akaja kwenu na kisha kibinyo kikaongezeka akarudi tena CCM - tunajua ni kwa ajili ya kumwokoa mkwe wake. Sema hili wazi wazi TAL. Kuongelea macro issues utawapata wachache sana - wasomi tu. Sisi tunataka stori yaani kama picha ya Isabela hivi.

Unaweza kwa mfano kuchukua pia orodha ya walio kwenye nafasi kwa upendeleo kuwa utawaondoa ukichukua nchi. Unaweza kuwataja hata kwa majina mfano wale ambao ulishawahi kuwataja na wengine wengi tu ambao najua ukiomba ushahidhi unaweza ukaletewa. Hapa utakuwa umetengeneza movie kali pia kwa sababu WaTanzania tulivyo hatupendi kabisa issues za nepotism na undugunaization. Hawa wapo wengi awamu hii.

Mfano mwingine ongelea kuhusu kuanzisha uchunguzi kwa upoteaji wa watu kama akina Ben Saa na Azory. Weka wazi wazi kuwa hata mwanaCCM mwenzetu yeyote akipotea kwa mazingira kama hayo wewe huko tayari kuliacha lipite - haki ya uhai ni ya kila mtu. Sema wazi kama ukigundua kuna kiongozi alihusika na upoteaji wao utaruhusu vyombo vya Sheria vifanya kazi yake regardless ana nafasi gani.

TAL - nina vidude vya kijinga jinga vingi ambavyo ninashauri uviweke kwenye hotuba yako itakayofuata - nafikiri wakati unachukua fomu - kwani WaTanzania kwa sasa tunapenda sana hoja zenye mwelekeo wa kimajungu majungu na sio macro issues kama ulivyoongelea wewe. Mfano mwingine unaweza kusema wewe kununua midege tayari inatosha na pia kama labda uwanja mkubwa unaojengwa Chato hautakuwa umekamilika basi mradi huo utahamishia Mwanza kuimarisha uwanja wa Mwanza. Dodoma kwa sababu ni karibu na Singida kwenu ongelea kuiendeleza faster zaidi kuliko awamu hii na ikibidi bajeti zote zinazojenga Chato hamishia Dodoma.

Yaani basi tu ngoja niishie hapa. Kikubwa pls hebu ongea hizi trivial issues ambazo zina madhara sana kwenye jamii yetu hii, achana na macro issues - tukimaliza uswahili swahili huu ndiyo tunaweza kuhamia kwenye hayo mambo makubwa ya kujadili kama madege, maSGR, Mafly over, n.k kwani kwa sasa hayo hayatupatii ugali wa kila siku.

Wenzangu msaidieni TAL issues zaidi za kuongea na kutekeleza akiwa Rais.
Uzi bora kabisa kutoka kwa mwananchi
 
Acha upotoshaji wa kijinga, hakuna popote kaongelea mishahara hewa. Kasema hao wenye vyeti fake hawakufanya kazi fake. Naona huyu jamaa kazungumzia wenye vyeti fake, wote mmejitokeza maana mnajua fika kilichofanyika sio ubinadamu, na mnajua fika likisemwa lina impact.

Tumia akili za binadam wacha kutumia za nyumbu,
Nimesema amshauli T Lisu atetee na wale walionyang'anywa mishahara hewa maana naona mnataka kurudisha ujinga wa taifa hili nyuma badala ya kuuondoa.

Ukiwa na cheti fake hata kazi inakuwa fake, kwa sababu sio fani yako.
Kwa hiyo ukikosea kuitekeleza kwa kiwanago basi huna kosa kwani hukuisomea.
 
Ww ni mjinga fulani, mishahara hewa ni wizi kama wizi mwingine, itetewe vipi? Kuna kazi chache sana humo makazini zinataka vyeti, nyingi ya kazi zinahitaji bidii na uwezo wa kuelewa zaidi kuliko vyeti. Hivyo vyeti ni kwa ajili ya kuombea tu kazi, lakini kazini ni uwezo wa mtu binafsi.
 
Sasa kama unajua inahitaji bidii kwa nini usifanye interview ya bidii tu, badala yake uwe na cheti cha kidato cha nne wakati umeishia la saba?
Nyie bavicha vichwa vyenu ni sifuli tu.
 
Ww ni mjinga fulani, mishahara hewa ni wizi kama wizi mwingine, itetewe vipi? Kuna kazi chache sana humo makazini zinataka vyeti, nyingi ya kazi zinahitaji bidii na uwezo wa kuelewa zaidi kuliko vyeti. Hivyo vyeti ni kwa ajili ya kuombea tu kazi, lakini kazini ni uwezo wa mtu binafsi.

Na ndio maana hao wenye vyeti fake kazi yao ilikuwa kuwaroga wengine wenye vyeti halaki na kusababisha vifo.
Kwa sasa halibhiyo imepunguwa kwani wachawi wameondolewa
Mtu unatoka chuoni na digrii yako unapata kazi humalizi mwaka unakufa, sasa hapo mnaona ni sawa?
Jinga nyie.
 
Kwenye kutangaza nia unahitaji kuwa content sana, hutakiwi kudeal na petty issues.

Hata kwenye kampeni pia kama umefatilia kuna watu wanapangwa kuongelea hizo issues na si mgombea husika kama umefatilia kampeni hili utakuwa umeliona.

Hii humuacha mgombea urais kuconcetrate na issue zenye sura ya kitaifa, lakini pia kuna issues hautazisikia zikigusiwa na chama husika mfano useme eti utaondoa wenye vyeti feki waliobakia kwenye msimu wakati unajua fika kwenye majeshi wamejaa!! Hao wahusika wakishawishiwa kutumika kinyume chako watakukwamisha sana hautatoboa, ni jambo la timing sana sana.
Kwani watakaokuondosha wao hawafi? Kufa ni once! Hamna alternaive! Hasa unapotaka URais jua kufa ni rahis zaidi
 
Sina maana hiyo, ninachosema ni kuwa huna sababu kuzua taharuki na maadui kama kuna namna nyingine bora ya kudeal nao.
Unapoamua kupambana na kitu/mtu ni hekima kutumia njia itayokuacha bila madhara makubwa (pambana kwa gharama ya adui yako).

Good kaka! Nimekuelewa!
 
Na ndio maana hao wenye vyeti fake kazi yao ilikuwa kuwaroga wengine wenye vyeti halaki na kusababisha vifo.
Kwa sasa halibhiyo imepunguwa kwani wachawi wameondolewa
Mtu unatoka chuoni na digrii yako unapata kazi humalizi mwaka unakufa, sasa hapo mnaona ni sawa?
Jinga nyie.

Suala la uchawi kwetu ni tabia ya kuzaliwa na sio suala la usomi au kutokusoma. Mfano waziri Ndugulile alitumbuliwa kwa kutoa maelezo ya kitaalamu kuhusu Corona, hasa akipinga kujifukiza, huku boss wake akiamini kujifukiza.
 
Vipi nyie mnaotunga sheria za mkitoka madarakani msishitakiwe kwani mnaogopa nini?Si mnapendwa na wanyonge nyinyi au?
MKUU umefanya vyema sana sana hi inaitwa " Constrictive criticism" unakosoa while giving ways forward .
 
Kweli kabisa ile hotuba yako ya mwanzo kuna sehemu hukufanya vizuri kabisa. Bado una muda katika siku zijazo hebu jaribu kufikiria kuongeza baadhi ya mambo ambayo hukuyagusa vizuri kwenye hotuba yako.

Hukugusa baadhi ya mambo nyeti sana yanayoendelea nchini. Hukuongela kuhusu hatima ya watumishi wa umma ambao kwa sasa wananyanyasika sana. Hata hivyo wengi wetu tunaamini kwa kuwa hukuwahi kuajiriwa Serikalini kuna uwezekano hupendi watumishi wa umma - na unaona JPM alichofanya kwao kwa mikaa hii mitano ni sawa tu. Ninajua pia umekwepa kuongelea hatima ya wale wa vyeti feki walioondolewa bila hata haki ya kusikilizwa kwa sababu unawajua asimilia kubwa ya wananchi wapiga kura waliona uamuzi ule ulikuwa sahihi, inagwa waliondoshwa kwa uonevu sana. Kumbuka waliwaajiri hawajaguswa mapaka leo. Zaidi kumbuka hao watu wapo na mpaka leo hawajawahi kusikilizwa hata kama wanachukuliwa hawana haki. Haki ya kusikilizwa iliwekwa na Mwenyezi Mungu Mwenyewe.

Anyway hao sio issue sana kwangu! unaweza usiwaongelee ila ukiingia madarakani watakufuata umalize channgamoto yao - wana michango yao kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na hawajawahi kulipwa kwani ukweli walifanya kazi na kazi yao haikuwa feki. Lakini pia mbadala wake unaweza kuongelea kuibua suala la vyeti feki kwa viongozi wa kisiasa waliopo - kama vipi wakati wanaondoka wewe ukiingia wasilipwe marupurupu yao - kwani itaonesha ni namna gani double standard ilifanyika huko nyuma na wewe unarekebisha.

Kwa hapa pia unaweza kugusia kuwa na vyama vya wafanyakazi vilivyopo uvipe uhuru wa kufanya mambo yao zaidi bila kuingiliwa na usisitize visiwe kwa ajili ya kukusanya ada tu za wanachama wake na kuzila kinyemela.

TAL naona uliongelea sana kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu kuliko nini utafanya ili ukiukwaji huo usiwepo. Hukugusia kwa watu wa chini wa maisha ya kawaida wanavyonyanyasika. Achana na macro issues wewe ongelea ada za shule - sema itakuwa free mpaka Form Six, kupunguza asimilia ya marejesho ya bodi za mikopo, kupunguza riba za benki mtu akikopa, n.k. Haya ni matamu kusikiwa na wapiga kura.

Gusia mambo ya upendo na kufuatwa kwa taratibu. Ongelea kuongeza mikopo ya elimu ya juu (hapa utagusa wapiga kura wengi ambao ni vijana). Waahidi kupata mitaji wakimaliza vyuo hasa kutokana na kuimarisha mitaji ya kwenye kilimo na pia fursa zingine lukuki.

Ongelea kdg kuhusu wakulima wetu - kuwa utatoa mbolea kwa bei karibu na bure Serikali itawanunulia - subsidies. Kuruhusu mikopo zaidi kwa pembejeo za kilimo - kwa sasa pembejeo hizo bado zipo juu hata Mradi wa Kilimo Kwanza ulikuwa expensive - uboreshe Mradi huo. Na wala usisema unauondosha.

Ongelea kuhusu pensheni ya wazee wote kama wenzetu wa Zanzibar. Najua ukiongelea tu hili CCM tutalitelekeza kwa sababu ni kama lipo kwenye mpango ambao upo kwenye shelf ya vitabu kwa muda mrefu.

Gusia utumbuaji ambao utafuata utaratibu wa kisheria. Hutatumbua tu bila kuwa na uhakika kwani unaweza kufanya uonevu pia. Sema wazi kuwa viongozi wanaopatikana kushiriki vitendo vya rushwa kwa awamu hii wote watawajibishwa katika kipindi chako. Mfano unaweza kuanzia na Kangi Lugola ambaye anaruka ruka kama bisi zinakaangwa na pia unaweza kuongelea kuwa utaibua ile issue ya trilioni 1.5 na wote watakaohusika utawadeal na hataachwa mtu. Ukweli wananchi tunataka kulisikia hilo vizuri - kwa kutumia uzoefu wako wa kisheria rahisisha sana kuonesha ubadhirifu huo wa 1.5 trilioni ulivyofanyika na matukio mengine ya kifisadi na kuahidi kudeal na wale walioshiriki. Sisi wananchi tunapenda ahadi za hivyo kwa sababu inakuwa kama picha fulani hivi inachezwa na unatamani kuiangalia.

Ongelea mfano kibinyo alichokipata Lowasa hadi akahama Chama chetu akaja kwenu na kisha kibinyo kikaongezeka akarudi tena CCM - tunajua ni kwa ajili ya kumwokoa mkwe wake. Sema hili wazi wazi TAL. Kuongelea macro issues utawapata wachache sana - wasomi tu. Sisi tunataka stori yaani kama picha ya Isabela hivi.

Unaweza kwa mfano kuchukua pia orodha ya walio kwenye nafasi kwa upendeleo kuwa utawaondoa ukichukua nchi. Unaweza kuwataja hata kwa majina mfano wale ambao ulishawahi kuwataja na wengine wengi tu ambao najua ukiomba ushahidhi unaweza ukaletewa. Hapa utakuwa umetengeneza movie kali pia kwa sababu WaTanzania tulivyo hatupendi kabisa issues za nepotism na undugunaization. Hawa wapo wengi awamu hii.

Mfano mwingine ongelea kuhusu kuanzisha uchunguzi kwa upoteaji wa watu kama akina Ben Saa na Azory. Weka wazi wazi kuwa hata mwanaCCM mwenzetu yeyote akipotea kwa mazingira kama hayo wewe huko tayari kuliacha lipite - haki ya uhai ni ya kila mtu. Sema wazi kama ukigundua kuna kiongozi alihusika na upoteaji wao utaruhusu vyombo vya Sheria vifanya kazi yake regardless ana nafasi gani.

TAL - nina vidude vya kijinga jinga vingi ambavyo ninashauri uviweke kwenye hotuba yako itakayofuata - nafikiri wakati unachukua fomu - kwani WaTanzania kwa sasa tunapenda sana hoja zenye mwelekeo wa kimajungu majungu na sio macro issues kama ulivyoongelea wewe. Mfano mwingine unaweza kusema wewe kununua midege tayari inatosha na pia kama labda uwanja mkubwa unaojengwa Chato hautakuwa umekamilika basi mradi huo utahamishia Mwanza kuimarisha uwanja wa Mwanza. Dodoma kwa sababu ni karibu na Singida kwenu ongelea kuiendeleza faster zaidi kuliko awamu hii na ikibidi bajeti zote zinazojenga Chato hamishia Dodoma.

Yaani basi tu ngoja niishie hapa. Kikubwa pls hebu ongea hizi trivial issues ambazo zina madhara sana kwenye jamii yetu hii, achana na macro issues - tukimaliza uswahili swahili huu ndiyo tunaweza kuhamia kwenye hayo mambo makubwa ya kujadili kama madege, maSGR, Mafly over, n.k kwani kwa sasa hayo hayatupatii ugali wa kila siku.

Wenzangu msaidieni TAL issues zaidi za kuongea na kutekeleza akiwa Rais.
Mkuu kaisikilize tena hotuba ya Rais ajaye wa Tanzania Mh TAL. Hakuna alichoacha. Ataleta matumaini mapya kwa watanzania.
 
Nakubaliana na wewe lkn angeweka tu hivyo vionjo ingeleta hamasa sana. Mfano unapoongelea uchumi unagusa hadi ubadhirifu wa 1.5 trilioni na kusema umesababishwa na kuwekana ndugu kwenye sehemu nyeti zinazohusu matumizi ya serikali na hivyo imeyumbisha uchumi. Hapo unachomeka kuwa wale walioteuliwa kwa kuangalia undugu utadeal nao kwa sababu ndiyo wanahusika na kudorora kwa uchumi na ushahidi wa shilingi trilioni 1.5 unao na utawawajibisha wote waliozila na tena watazitapika!
Other important isaues will be covered during campaign
 
Back
Top Bottom