Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
- Thread starter
- #41
Umeona eee! yaani wapiga kura wanatakiwa kusisimuliwa kwanza! MSISIMKO NI MUHIMU!Other important isaues will be covered during campaign
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eee! yaani wapiga kura wanatakiwa kusisimuliwa kwanza! MSISIMKO NI MUHIMU!Other important isaues will be covered during campaign
Na haya pia ayaongelee,vita dhidi ya ulevi na kauli yake ya kuunga mkono ushoga aliyoitoa kule Alabama. [emoji116]View attachment 1478948View attachment 1478949View attachment 1478950
Mambo ya kurekabishwa na Rais ajae wa Upinzani au wa CCM (siyo Magufuli) yaliyoharibiwa na Awamu hii ni mengi sana hayawezi kuorodheshwa kwenye hotuba moja. Mengi unayotaja hapa Serkali ina taratibu nzuri sana za kufuata lakini uongozi wa Awamu hii iluamua kuachana na hizo taratibu na kufuata mawazo ya mtu asiye na uzoefu. Hata mengi yamepuuzwa ingawa yapo kikatiba ikiwa ni pamoja na Katiba yenyewe kusiginwa kumjenga mtu asiye na uwezo aonekane anafaa kwa sababu ni wa Chama chetu tawala. Mfano utaratibu wa Serkali kila mfanyakazi wake lazima apate nyongeza ya mshahara kila mwaka na kila miaka mitatu afikiriwe kupandishwa cheo/ngazi lakini haya hayakufanyika licha ya kilio cha kila mara cha wafanyakazi. Zanzibar sasa huu ni mwaka wa nne wazee wote wanalipwa pensheni haijalishi kama walikuwa watumishi, wakulima, wavuvi au wazururaji huku bara sera ya wazee iko toka Awamu ya Tatu lakini hali ya wazee bado mbaya sana ingawa kuna Wizara ya Wazee na wafanyakazi lukuki wakilipwa mishahara minono. Ni kweli wafanyakazi wengi walitumbuliwa pamoja na taaluma zao lakini hili lilifanyika ili kuwapatia ajira watu fulani wengi wao wakiwa hawana taaluma wala uzoefu wa kazi. Vyeti feki wengine hawakuguswa na wanaendelea na kazi hsdi leo.Kweli kabisa ile hotuba yako ya mwanzo kuna sehemu hukufanya vizuri kabisa. Bado una muda katika siku zijazo hebu jaribu kufikiria kuongeza baadhi ya mambo ambayo hukuyagusa vizuri kwenye hotuba yako.
Hukugusa baadhi ya mambo nyeti sana yanayoendelea nchini. Hukuongela kuhusu hatima ya watumishi wa umma ambao kwa sasa wananyanyasika sana. Hata hivyo wengi wetu tunaamini kwa kuwa hukuwahi kuajiriwa Serikalini kuna uwezekano hupendi watumishi wa umma - na unaona JPM alichofanya kwao kwa mikaa hii mitano ni sawa tu. Ninajua pia umekwepa kuongelea hatima ya wale wa vyeti feki walioondolewa bila hata haki ya kusikilizwa kwa sababu unawajua asimilia kubwa ya wananchi wapiga kura waliona uamuzi ule ulikuwa sahihi, inagwa waliondoshwa kwa uonevu sana. Kumbuka waliwaajiri hawajaguswa mapaka leo. Zaidi kumbuka hao watu wapo na mpaka leo hawajawahi kusikilizwa hata kama wanachukuliwa hawana haki. Haki ya kusikilizwa iliwekwa na Mwenyezi Mungu Mwenyewe.
Anyway hao sio issue sana kwangu! unaweza usiwaongelee ila ukiingia madarakani watakufuata umalize channgamoto yao - wana michango yao kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na hawajawahi kulipwa kwani ukweli walifanya kazi na kazi yao haikuwa feki. Lakini pia mbadala wake unaweza kuongelea kuibua suala la vyeti feki kwa viongozi wa kisiasa waliopo - kama vipi wakati wanaondoka wewe ukiingia wasilipwe marupurupu yao - kwani itaonesha ni namna gani double standard ilifanyika huko nyuma na wewe unarekebisha.
Kwa hapa pia unaweza kugusia kuwa na vyama vya wafanyakazi vilivyopo uvipe uhuru wa kufanya mambo yao zaidi bila kuingiliwa na usisitize visiwe kwa ajili ya kukusanya ada tu za wanachama wake na kuzila kinyemela.
TAL naona uliongelea sana kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu kuliko nini utafanya ili ukiukwaji huo usiwepo. Hukugusia kwa watu wa chini wa maisha ya kawaida wanavyonyanyasika. Achana na macro issues wewe ongelea ada za shule - sema itakuwa free mpaka Form Six, kupunguza asimilia ya marejesho ya bodi za mikopo, kupunguza riba za benki mtu akikopa, n.k. Haya ni matamu kusikiwa na wapiga kura.
Gusia mambo ya upendo na kufuatwa kwa taratibu. Ongelea kuongeza mikopo ya elimu ya juu (hapa utagusa wapiga kura wengi ambao ni vijana). Waahidi kupata mitaji wakimaliza vyuo hasa kutokana na kuimarisha mitaji ya kwenye kilimo na pia fursa zingine lukuki.
Ongelea kdg kuhusu wakulima wetu - kuwa utatoa mbolea kwa bei karibu na bure Serikali itawanunulia - subsidies. Kuruhusu mikopo zaidi kwa pembejeo za kilimo - kwa sasa pembejeo hizo bado zipo juu hata Mradi wa Kilimo Kwanza ulikuwa expensive - uboreshe Mradi huo. Na wala usisema unauondosha.
Ongelea kuhusu pensheni ya wazee wote kama wenzetu wa Zanzibar. Najua ukiongelea tu hili CCM tutalitelekeza kwa sababu ni kama lipo kwenye mpango ambao upo kwenye shelf ya vitabu kwa muda mrefu.
Gusia utumbuaji ambao utafuata utaratibu wa kisheria. Hutatumbua tu bila kuwa na uhakika kwani unaweza kufanya uonevu pia. Sema wazi kuwa viongozi wanaopatikana kushiriki vitendo vya rushwa kwa awamu hii wote watawajibishwa katika kipindi chako. Mfano unaweza kuanzia na Kangi Lugola ambaye anaruka ruka kama bisi zinakaangwa na pia unaweza kuongelea kuwa utaibua ile issue ya trilioni 1.5 na wote watakaohusika utawadeal na hataachwa mtu. Ukweli wananchi tunataka kulisikia hilo vizuri - kwa kutumia uzoefu wako wa kisheria rahisisha sana kuonesha ubadhirifu huo wa 1.5 trilioni ulivyofanyika na matukio mengine ya kifisadi na kuahidi kudeal na wale walioshiriki. Sisi wananchi tunapenda ahadi za hivyo kwa sababu inakuwa kama picha fulani hivi inachezwa na unatamani kuiangalia.
Ongelea mfano kibinyo alichokipata Lowasa hadi akahama Chama chetu akaja kwenu na kisha kibinyo kikaongezeka akarudi tena CCM - tunajua ni kwa ajili ya kumwokoa mkwe wake. Sema hili wazi wazi TAL. Kuongelea macro issues utawapata wachache sana - wasomi tu. Sisi tunataka stori yaani kama picha ya Isabela hivi.
Unaweza kwa mfano kuchukua pia orodha ya walio kwenye nafasi kwa upendeleo kuwa utawaondoa ukichukua nchi. Unaweza kuwataja hata kwa majina mfano wale ambao ulishawahi kuwataja na wengine wengi tu ambao najua ukiomba ushahidhi unaweza ukaletewa. Hapa utakuwa umetengeneza movie kali pia kwa sababu WaTanzania tulivyo hatupendi kabisa issues za nepotism na undugunaization. Hawa wapo wengi awamu hii.
Mfano mwingine ongelea kuhusu kuanzisha uchunguzi kwa upoteaji wa watu kama akina Ben Saa na Azory. Weka wazi wazi kuwa hata mwanaCCM mwenzetu yeyote akipotea kwa mazingira kama hayo wewe huko tayari kuliacha lipite - haki ya uhai ni ya kila mtu. Sema wazi kama ukigundua kuna kiongozi alihusika na upoteaji wao utaruhusu vyombo vya Sheria vifanya kazi yake regardless ana nafasi gani.
TAL - nina vidude vya kijinga jinga vingi ambavyo ninashauri uviweke kwenye hotuba yako itakayofuata - nafikiri wakati unachukua fomu - kwani WaTanzania kwa sasa tunapenda sana hoja zenye mwelekeo wa kimajungu majungu na sio macro issues kama ulivyoongelea wewe. Mfano mwingine unaweza kusema wewe kununua midege tayari inatosha na pia kama labda uwanja mkubwa unaojengwa Chato hautakuwa umekamilika basi mradi huo utahamishia Mwanza kuimarisha uwanja wa Mwanza. Dodoma kwa sababu ni karibu na Singida kwenu ongelea kuiendeleza faster zaidi kuliko awamu hii na ikibidi bajeti zote zinazojenga Chato hamishia Dodoma.
Yaani basi tu ngoja niishie hapa. Kikubwa pls hebu ongea hizi trivial issues ambazo zina madhara sana kwenye jamii yetu hii, achana na macro issues - tukimaliza uswahili swahili huu ndiyo tunaweza kuhamia kwenye hayo mambo makubwa ya kujadili kama madege, maSGR, Mafly over, n.k kwani kwa sasa hayo hayatupatii ugali wa kila siku.
Wenzangu msaidieni TAL issues zaidi za kuongea na kutekeleza akiwa Rais.
We msomi hutujui sisi WaSwahili wengi ambao ni wapiga kura. Macro issues hatuzielewe - chambua chambua - mfano tu angesema tu "nitadeal na vyeti feki kwa wanasiasa" yaani tungeshangilia sana na mpaka hapo angeshapata hata kura milioni moja!
Lissu hana usomi wowote ana Masters ya Law wakati ambapo Rais Magufuli ana PHD ya Chemistry na ni mmoja wapo wa wanakemia mkubwa Tanzania ambao wamepata nafasi ya kupractice yale waliyo yasoma kinadharaia.Kweli kabisa ile hotuba yako ya mwanzo kuna sehemu hukufanya vizuri kabisa. Bado una muda katika siku zijazo hebu jaribu kufikiria kuongeza baadhi ya mambo ambayo hukuyagusa vizuri kwenye hotuba yako.
Hukugusa baadhi ya mambo nyeti sana yanayoendelea nchini. Hukuongela kuhusu hatima ya watumishi wa umma ambao kwa sasa wananyanyasika sana. Hata hivyo wengi wetu tunaamini kwa kuwa hukuwahi kuajiriwa Serikalini kuna uwezekano hupendi watumishi wa umma - na unaona JPM alichofanya kwao kwa mikaa hii mitano ni sawa tu. Ninajua pia umekwepa kuongelea hatima ya wale wa vyeti feki walioondolewa bila hata haki ya kusikilizwa kwa sababu unawajua asimilia kubwa ya wananchi wapiga kura waliona uamuzi ule ulikuwa sahihi, inagwa waliondoshwa kwa uonevu sana. Kumbuka waliwaajiri hawajaguswa mapaka leo. Zaidi kumbuka hao watu wapo na mpaka leo hawajawahi kusikilizwa hata kama wanachukuliwa hawana haki. Haki ya kusikilizwa iliwekwa na Mwenyezi Mungu Mwenyewe.
Anyway hao sio issue sana kwangu! unaweza usiwaongelee ila ukiingia madarakani watakufuata umalize channgamoto yao - wana michango yao kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na hawajawahi kulipwa kwani ukweli walifanya kazi na kazi yao haikuwa feki. Lakini pia mbadala wake unaweza kuongelea kuibua suala la vyeti feki kwa viongozi wa kisiasa waliopo - kama vipi wakati wanaondoka wewe ukiingia wasilipwe marupurupu yao - kwani itaonesha ni namna gani double standard ilifanyika huko nyuma na wewe unarekebisha.
Kwa hapa pia unaweza kugusia kuwa na vyama vya wafanyakazi vilivyopo uvipe uhuru wa kufanya mambo yao zaidi bila kuingiliwa na usisitize visiwe kwa ajili ya kukusanya ada tu za wanachama wake na kuzila kinyemela.
TAL naona uliongelea sana kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu kuliko nini utafanya ili ukiukwaji huo usiwepo. Hukugusia kwa watu wa chini wa maisha ya kawaida wanavyonyanyasika. Achana na macro issues wewe ongelea ada za shule - sema itakuwa free mpaka Form Six, kupunguza asimilia ya marejesho ya bodi za mikopo, kupunguza riba za benki mtu akikopa, n.k. Haya ni matamu kusikiwa na wapiga kura.
Gusia mambo ya upendo na kufuatwa kwa taratibu. Ongelea kuongeza mikopo ya elimu ya juu (hapa utagusa wapiga kura wengi ambao ni vijana). Waahidi kupata mitaji wakimaliza vyuo hasa kutokana na kuimarisha mitaji ya kwenye kilimo na pia fursa zingine lukuki.
Ongelea kdg kuhusu wakulima wetu - kuwa utatoa mbolea kwa bei karibu na bure Serikali itawanunulia - subsidies. Kuruhusu mikopo zaidi kwa pembejeo za kilimo - kwa sasa pembejeo hizo bado zipo juu hata Mradi wa Kilimo Kwanza ulikuwa expensive - uboreshe Mradi huo. Na wala usisema unauondosha.
Ongelea kuhusu pensheni ya wazee wote kama wenzetu wa Zanzibar. Najua ukiongelea tu hili CCM tutalitelekeza kwa sababu ni kama lipo kwenye mpango ambao upo kwenye shelf ya vitabu kwa muda mrefu.
Gusia utumbuaji ambao utafuata utaratibu wa kisheria. Hutatumbua tu bila kuwa na uhakika kwani unaweza kufanya uonevu pia. Sema wazi kuwa viongozi wanaopatikana kushiriki vitendo vya rushwa kwa awamu hii wote watawajibishwa katika kipindi chako. Mfano unaweza kuanzia na Kangi Lugola ambaye anaruka ruka kama bisi zinakaangwa na pia unaweza kuongelea kuwa utaibua ile issue ya trilioni 1.5 na wote watakaohusika utawadeal na hataachwa mtu. Ukweli wananchi tunataka kulisikia hilo vizuri - kwa kutumia uzoefu wako wa kisheria rahisisha sana kuonesha ubadhirifu huo wa 1.5 trilioni ulivyofanyika na matukio mengine ya kifisadi na kuahidi kudeal na wale walioshiriki. Sisi wananchi tunapenda ahadi za hivyo kwa sababu inakuwa kama picha fulani hivi inachezwa na unatamani kuiangalia.
Ongelea mfano kibinyo alichokipata Lowasa hadi akahama Chama chetu akaja kwenu na kisha kibinyo kikaongezeka akarudi tena CCM - tunajua ni kwa ajili ya kumwokoa mkwe wake. Sema hili wazi wazi TAL. Kuongelea macro issues utawapata wachache sana - wasomi tu. Sisi tunataka stori yaani kama picha ya Isabela hivi.
Unaweza kwa mfano kuchukua pia orodha ya walio kwenye nafasi kwa upendeleo kuwa utawaondoa ukichukua nchi. Unaweza kuwataja hata kwa majina mfano wale ambao ulishawahi kuwataja na wengine wengi tu ambao najua ukiomba ushahidhi unaweza ukaletewa. Hapa utakuwa umetengeneza movie kali pia kwa sababu WaTanzania tulivyo hatupendi kabisa issues za nepotism na undugunaization. Hawa wapo wengi awamu hii.
Mfano mwingine ongelea kuhusu kuanzisha uchunguzi kwa upoteaji wa watu kama akina Ben Saa na Azory. Weka wazi wazi kuwa hata mwanaCCM mwenzetu yeyote akipotea kwa mazingira kama hayo wewe huko tayari kuliacha lipite - haki ya uhai ni ya kila mtu. Sema wazi kama ukigundua kuna kiongozi alihusika na upoteaji wao utaruhusu vyombo vya Sheria vifanya kazi yake regardless ana nafasi gani.
TAL - nina vidude vya kijinga jinga vingi ambavyo ninashauri uviweke kwenye hotuba yako itakayofuata - nafikiri wakati unachukua fomu - kwani WaTanzania kwa sasa tunapenda sana hoja zenye mwelekeo wa kimajungu majungu na sio macro issues kama ulivyoongelea wewe. Mfano mwingine unaweza kusema wewe kununua midege tayari inatosha na pia kama labda uwanja mkubwa unaojengwa Chato hautakuwa umekamilika basi mradi huo utahamishia Mwanza kuimarisha uwanja wa Mwanza. Dodoma kwa sababu ni karibu na Singida kwenu ongelea kuiendeleza faster zaidi kuliko awamu hii na ikibidi bajeti zote zinazojenga Chato hamishia Dodoma.
Yaani basi tu ngoja niishie hapa. Kikubwa pls hebu ongea hizi trivial issues ambazo zina madhara sana kwenye jamii yetu hii, achana na macro issues - tukimaliza uswahili swahili huu ndiyo tunaweza kuhamia kwenye hayo mambo makubwa ya kujadili kama madege, maSGR, Mafly over, n.k kwani kwa sasa hayo hayatupatii ugali wa kila siku.
Wenzangu msaidieni TAL issues zaidi za kuongea na kutekeleza akiwa Rais.
Du! Unaweza kuja kuwa mkimbizi hivi hivi!Lissu hana usomi wowote ana Masters ya Law wakati ambapo Rais Magufuli ana PHD ya Chemistry na ni mmoja wapo wa wanakemia mkubwa Tanzania ambao wamepata nafasi ya kupractice yale waliyo yasoma kinadharaia.
Lissu ana akili za kitoto sana, kwani hata kwenye arguments zake anaonyesha namna gani ana chuki kubwa sana zidi ya Rais Magufuli personally. Kisa cha yeye kumchukia Rais Magufuli ni uwezo wake wa kushinda kila kitu. Kila kitu Lissu na wenzake walichopanga kumzuru Rais Magufuli kimeshindikana kwa kishindo kikubwa sana, kwani alifikiri kuwa yeye ndiyo mjua sheria babu kubwa kuliko watanzania wote wengine. Kwa bahati mbaya au nzuri amejikuta kuwa yeye ni loser, kwani kuna majembe ya kitanzania ambayo yanajua sheria zaidi yake. Kwenye mambo haya yanayo husu sheria yeye anaonekana kuwa ni amateur, ni mtoto wa shule bado.
Tatizo letu hapa ni kuwa kwa vile watanzania wengi wanao tawala media ni wababaishaji, na wao kwa elimu yao ndogo na kutojiamini kwao, wanamwona Lissu kwa kelele zake kama mtu aliyebobea sana kwenye maswala haya wakati kumbe ni boya tu linalo elea majini. Lissu hajui kitu na wala hajui sheria vizuri. Amejaa mbwembwe tu.
Kwa vile tunamijitu yenye ukosefu wa mawazo mapana ya hiyo inayo miliki media, haina shughuli nyingine zaidi ya kumpa sifa Lissu ambazo hastahili. Lissu ana akili na uzoefu gani wa kushindana na mtu kama Prof. Kabudi? Kwa sisi tuliobahatika kwenda shule za uhakika na uzoefu wa maisha mengine zaidi ya yale Tanzania, tunamwona yeye kama kikaragosi tu asiye jua maisha ulimwenguni jinsi yalivyo. Hotuba yake hii ni ya kitoto sana mpaka nyie wafuasi wake mnaona kuna wajibu wa kujaribu kumrekebisha.
Mimi katika uhai wangu sita mwona Lissu anakuwa Rais wa Tanzania. Na nina uhakika mkubwa hata kuwa Rais wa watanzania hata mara moja. Kwanza akirudi maisha yake yenyewe yako hatarini. Yeye na dereva wake ni mashahidi wakubwa sana wa kesi yake ya kupigwa risasi. Kwa vile ni mashahidi namba one watanzania walio husika na shambulio lake wata mmaliza tu, mwache aje.
Sababu nyingine za kuwafanya watanzania kummaliza kwanza ni;
uongo wake alioutoa na ambao anaendelea kuutoa kuhusu nchi yetu na wananchi kwa ujumla,
jingine ni kwamba amelishutumu kulidhalilisha sana jeshi letu la polisi na mahakama kwa ujumla na Bunge letu tukufu na Speaker wetu hawakuachwa salama kwenye tuhumabzake na mwisho ni chuki zake binafsi kwa Rais wetu mpendwa Magufuli na kadhalika na kadhalika.
Kwa sababu hizo hawezi kuwa Rais wa watanzania ng'o!
Siku atakayo tua tu nchini atakamatwa na kutiwa kizimbani kwa makaosa ya usaliti wa Taifa letu na utoro wa kesi aliyo nayo. Sidhani kama mahakama itampa ruhusa kutoka kwa dhamana, sijui. Na uchaguzi nafikiri safari hii atausikia kwenye bomba. Ni mtu hoppless sana.
Ndiyo maana amehangaika sana mpaka kwenda kuwa consult Amnesty International kuwaomba wamsaidie kuipa pressure serikali yetu ili Rais Magufuli ampe garantii ya maisha yake nchini. Kama yeye kwa matendo yake anajiona ni mtu safi kwanini ahofie kurudi? Anajua kuwa ametenda mabaya ndiyo maana anajitahidi kupata huruma ya wanachi na mataifa mengine.
Kwa mimi namwona Lissu ni marehemu tayari. Ni mtu ambaye amesha kufa. Lissu amekufa kifo cha kujiua mwenyewe kisiasa na kimaadili. Ni mtu ambaye ni juha na hopless. Anafanya mambo kwa kubahatisha huku akijua kuwa karata zote haziko upande wake.
Sidhani kama kuna kitu kikubwa ambacho atawaambia watanzania na wakamsikiliza. Ni makachero wake tu kama wewe mleta mada ndiyo labda mtasikiliza na nyie mmko wachache sana. Ni nini hasa alicho kuwa ncho Lissu? Domonla kupayuka? Kutengeneza arguments zenye substance hajui. Arguments zake ni kama za mtoto ambaye yuko kwenye shule ya chekechea. Ana arguments za kuzomeana kama watoto wadogo wanavyo fanyina wenyewe kwa wenyewe. Sasa inategemea mtu kama huyu ataweza liongoza Dola? Thubutuuuu!
Mimi sijawahi kusikia mtu mwenye level ya Masters kwenye international Arena anatoa utumbo wa kuwahutubia Audience kwamba Rais Magufuli hajui kiingereza, utafikiri yeye ndiyo anakijua kiingereza vizuri kuliko wengine wote. Kwa uelewa wangu mtu ambaye ameishi na kusoma Amerika kama yeye nafikiri kiingereza chake kingekuwa zaidi ya kile anacho kikoga nacho, kiingereza chake ni cha kuokoteza. Lisuu anakiingereza cha kufikiri na sio cha kutoka tumboni. Kwa mwana sheria kama yeye alitakiwa azungunze kiingereza ambacho kina miminika kama maji ya mto na sio kama matone ya maji ya bomba.
Kiingereza chake kina Eeh eeh nyingi! Nakumbuka ile Interview yake kwenye Hard Talk wakati yule mtangazaji alivyo mwuuliza swali naye kubabaika katika kujibu kwa kutafuta maneno ya kusema mpaka yule mtangazaji alipo mwambia aseme haraka maana mda unaenda. Akajikuta anaongea mambo ambayo ni irrelevant kulingana na swali. Alijitia aibu kubwa sana. Na aliwatia wana sheria aibu kubwa.
Sisi wana harakati tutazitumia arguments zake zote alizozitoa ili kuwaonyesha watanzania kiasi gani alivyo kuwa msaliti hatari kwa Taifa letu wakati wa kampeni, kama CHADEMA wataamua kumweka yeye kuwa mgombea wao wa Urais. Tuna silaha kali sana za kumpiga Tundu Lissu kwenye kampen. Tutakuwa kila mara tunawapeperushia watanzania ili wazisikilize na kuona maovu yake.
Hiyo ndiyo maana yangu ya kusema kuwa yeye ni marehemu. Kisiasa hatafanya kitu nchini. Tuta mdhihaki na kumkejeli mpaka ataiona hii nchi chungu na kurudi huko huko kwa mabeberu wake.
Kwanza angejua alivyo kuwa limbukeni asinge enda ishi kwenye nchi kama Belgium. Belgium ni nchi gani ya mtu kama yeye kuishi Ulaya? Belgium ni nchi moja wapo masikini katika bara la Ulaya. Maisha ya Belgium hata yale ya baadhi ya nchi za Afrika zinaishinda. Kwa vile yeye haijui Europe vizuri kwake anaona sawa tu. Na ndiyo maana wanashindwa hata kumtengenezea viatu ambavyo yeye anaweza kuvivaa, mpaka aende Germany!
TUNDU LISSU AMEKWISHA KAZI!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye unaweza ukawa Rais mzuri. Kumbe unaelewa!Tumefikia hatua ya mwananchi mwenyewe anamfundisha mwanasiasa mambo ya kuongea ili aweze kudanganyika vizuri.
Kuna watu walikuwa na matumaini makubwa sana kwa Magufuli aliposhinda urais ila sasa wanakiri walikosea,sasa sijui wengine wanaona kwa Lissu kuna kipi ambacho anaweza kufanya kwa yale yaliyomshinda Magufuli.
Good!Mleta mada uko sahihi, speech ya Lissu ilikuwa nyepesi sana.
Huwezi kuikita speech ya kuombea uraisi kwenye mambo ya siasa, katiba haki za binadamu na kuneglect uchumi au issurs zinazowahusu wananchi kuweka mkono kinywani
Lissu hajazungumzia ajira za vijana wetu, maslahinya wafanyakazi, suala la ulipaji madeni HESLB linavyoumiza watu, Mazao ya wakulima, korosho, mbaazi, kahawa, pamba etc.
Huwezi kuzungumzia uraisi bila kuzungumzia hali ya ufisadi, maslahi ya waliovunjiwa nyumba kinyume cha sheria
Next time Lissu ajipange, Speech yake ya juzi haina substance ni nyepesi kuliko unyoya
Kuwa na PhD wakati hujawahi ku publish hata journal article moja iliyohakikiwa unakuwa huna tofauti na diploma.. kwa hiyo jiwe hana tofauti na mealimu wa sekondari maana hana publication inayoeleweka kwenye jarida.. hata la uswahilini.. unaiitaje hiyo ni PhD? Wenye PhD wako Google Scholar.. ukigusa tu masayansi tele tele yanamwagika.. tafuta jina la jiwe kama utaona kitu..TAL ana masters - Jiwe ana Phd. Nani msomi?
Kwa kweli mamnbo mazuri hayo. Pia akitia msisitizo namna atakavyokuza uchumi( economic growth), hasa kama fedha yetu na mikopo itaelekezwa katika maswala yatakayokuza uchumi, kama:Kweli kabisa ile hotuba yako ya mwanzo kuna sehemu hukufanya vizuri kabisa. Bado una muda katika siku zijazo hebu jaribu kufikiria kuongeza baadhi ya mambo ambayo hukuyagusa vizuri kwenye hotuba yako.