Tundu Lissu bado unayo nafasi ya kurekebisha hotuba yako! Usiongelee Macro issues kupita kiasi!


Kuhusu wataumishi wenye vyeti fake.
Hao atawazungumuziaje wakati ni wahalifu
Yaani uamekuta mtu anaiba shambani wako uanamhulumia kumpeleka police unamwambie aache mahindi hayo aondoke,
Hapo si umemsaidia sana?
Eti wasikilizwe, kwa lipi sasa wakati wamegushi na kugushi ni kosa?
Kwa mawazo yenu hayo nchi hii bado sana.
Mwambie asemee na mishahara hewa itamuongezea credit sana.
 

Alichosema ni kuwa mtu ana cheti fake kweli, lakini kazi aliyofanya sio fake. Alipaswa kulipwa stahiki zake kwenye kile alichokifanya. Kumbuka hao watu walikuwa na michango yao kwenye mifuko ya jamii na hawajalipwa walichochangia. Unakwama wapi boss?
 
Kwenye kutangaza nia unahitaji kuwa content sana, hutakiwi kudeal na petty issues.

Hata kwenye kampeni pia kama umefatilia kuna watu wanapangwa kuongelea hizo issues na si mgombea husika kama umefatilia kampeni hili utakuwa umeliona.

Hii humuacha mgombea urais kuconcetrate na issue zenye sura ya kitaifa, lakini pia kuna issues hautazisikia zikigusiwa na chama husika mfano useme eti utaondoa wenye vyeti feki waliobakia kwenye msimu wakati unajua fika kwenye majeshi wamejaa!! Hao wahusika wakishawishiwa kutumika kinyume chako watakukwamisha sana hautatoboa, ni jambo la timing sana sana.
 

Acha upotoshaji wa kijinga, hakuna popote kaongelea mishahara hewa. Kasema hao wenye vyeti fake hawakufanya kazi fake. Naona huyu jamaa kazungumzia wenye vyeti fake, wote mmejitokeza maana mnajua fika kilichofanyika sio ubinadamu, na mnajua fika likisemwa lina impact.
 
Uzi bora kabisa kutoka kwa mwananchi
 

Tumia akili za binadam wacha kutumia za nyumbu,
Nimesema amshauli T Lisu atetee na wale walionyang'anywa mishahara hewa maana naona mnataka kurudisha ujinga wa taifa hili nyuma badala ya kuuondoa.

Ukiwa na cheti fake hata kazi inakuwa fake, kwa sababu sio fani yako.
Kwa hiyo ukikosea kuitekeleza kwa kiwanago basi huna kosa kwani hukuisomea.
 

Ww ni mjinga fulani, mishahara hewa ni wizi kama wizi mwingine, itetewe vipi? Kuna kazi chache sana humo makazini zinataka vyeti, nyingi ya kazi zinahitaji bidii na uwezo wa kuelewa zaidi kuliko vyeti. Hivyo vyeti ni kwa ajili ya kuombea tu kazi, lakini kazini ni uwezo wa mtu binafsi.
 

Sasa kama unajua inahitaji bidii kwa nini usifanye interview ya bidii tu, badala yake uwe na cheti cha kidato cha nne wakati umeishia la saba?
Nyie bavicha vichwa vyenu ni sifuli tu.
 

Na ndio maana hao wenye vyeti fake kazi yao ilikuwa kuwaroga wengine wenye vyeti halaki na kusababisha vifo.
Kwa sasa halibhiyo imepunguwa kwani wachawi wameondolewa
Mtu unatoka chuoni na digrii yako unapata kazi humalizi mwaka unakufa, sasa hapo mnaona ni sawa?
Jinga nyie.
 
Kwani watakaokuondosha wao hawafi? Kufa ni once! Hamna alternaive! Hasa unapotaka URais jua kufa ni rahis zaidi
 
Sina maana hiyo, ninachosema ni kuwa huna sababu kuzua taharuki na maadui kama kuna namna nyingine bora ya kudeal nao.
Unapoamua kupambana na kitu/mtu ni hekima kutumia njia itayokuacha bila madhara makubwa (pambana kwa gharama ya adui yako).
Kwani watakaokuondosha wao hawafi? Kufa ni once! Hamna alternaive! Hasa unapotaka URais jua kufa ni rahis zaidi
 
Sina maana hiyo, ninachosema ni kuwa huna sababu kuzua taharuki na maadui kama kuna namna nyingine bora ya kudeal nao.
Unapoamua kupambana na kitu/mtu ni hekima kutumia njia itayokuacha bila madhara makubwa (pambana kwa gharama ya adui yako).
Good kaka! Nimekuelewa!
 

Suala la uchawi kwetu ni tabia ya kuzaliwa na sio suala la usomi au kutokusoma. Mfano waziri Ndugulile alitumbuliwa kwa kutoa maelezo ya kitaalamu kuhusu Corona, hasa akipinga kujifukiza, huku boss wake akiamini kujifukiza.
 
Vipi nyie mnaotunga sheria za mkitoka madarakani msishitakiwe kwani mnaogopa nini?Si mnapendwa na wanyonge nyinyi au?
MKUU umefanya vyema sana sana hi inaitwa " Constrictive criticism" unakosoa while giving ways forward .
 
Mkuu kaisikilize tena hotuba ya Rais ajaye wa Tanzania Mh TAL. Hakuna alichoacha. Ataleta matumaini mapya kwa watanzania.
 
Other important isaues will be covered during campaign
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…