Alikuwa akimaanisha nn,niombeeni,niamini mimi,mimi ni chaguo la 'mungu'Niombeeni-By JPM
Kwani tundu lisu siku hizi anakusanya Kodi?yeye anatimiza majukumu yake ya kibunge kwa kuwasemea wananchi wake kazi ya kupeleka maendeleo,ni mkusanya Kodi,tena ni lazima,na sio hisaniTundu Lisu pia Amefeli Ikungu wananchi wana njaa hata baraba za kuunganisha vijiji vya jimbo lake vimemshinda kazi kulilia kwenda kunywa juisi ikulu tu
Huko hakuna idara ya ujenzi ya serikali ya jamhuri ya muungano WA Tanzania inayoongozwa na CCM? Mnungewsi kazi yake kujenga barabara, bali kuipigia kelele serikali itimize majukumu yake. Bahati mbaya serikali yenyewe YA MAGUFULI ndiyo hiyo imeshafeli.Tundu Lisu pia Amefeli Ikungu wananchi wana njaa hata baraba za kuunganisha vijiji vya jimbo lake vimemshinda kazi kulilia kwenda kunywa juisi ikulu tu
Tundu Lisu pia Amefeli Ikungu wananchi wana njaa hata baraba za kuunganisha vijiji vya jimbo lake vimemshinda kazi kulilia kwenda kunywa juisi ikulu tu
Wageni hupewa juisi na pipi. Na hivyo hupewa hata mabalozi wanaoapishwa kutuwakilisha nje ya nchi. Just imagine, a combination of sweets and mango juice how sweet they taste!Kwani juice ya Ikulu inatoka wapi na hunywewa na nani mkuu
Yeye anasema uchumi unadidimia sasaUchumi hauwezi kubadilika kwa usiku mmoja huyu TL aache makelele yake yasiyo na tija.Kama yeye anaweza kufanya uchumi ubadilike overnight aende akafanye hivyo kwa wapiga kura wake tuone.
Kwani mbunge ndiye anayejenga barabara na kusaidia wenye njaa? mbunge ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo alilochaguliwa bungeni, suala la barabara na chakula ni la serikali na ndio maana walisema wao ndo wenye mamlaka ya kutangaza njaa sio mbunge.Tundu Lisu pia Amefeli Ikungu wananchi wana njaa hata baraba za kuunganisha vijiji vya jimbo lake vimemshinda kazi kulilia kwenda kunywa juisi ikulu tu
Pia biashara zinakufa kwa kasi sana.......sijui 2017/2018 TRA watakusanya kodi kutoka wapi
Mnajitoa akili.......uchumi wa kisasa si sawa na kufuga mbuziWacha zife zote maana zilikuwa za wapiga deal. Kuanza moja si ujinga na bora tuanze na genuine business kuliko kuendelea na "ghost" business zisizo na faida kwa wengi.
Hii ndiyo sacrifice kwa ajili ya kizazi kijacho.
Hata wanaoifurahia Japan leo hawakuijenga wao.