mzaliwa di negro
New Member
- Jul 1, 2015
- 2
- 1
Nchi yangu inazama.
Duh hii ni halisi au ni jokes!Bajeti ya kilimo ilikua 101 ila iliyopelekwa ni bilioni 2[emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Poor analsisTundu Lisu pia Amefeli Ikungu wananchi wana njaa hata baraba za kuunganisha vijiji vya jimbo lake vimemshinda kazi kulilia kwenda kunywa juisi ikulu tu
Ni pamoja be kushawishi uwekezaji na kufanya lobingi uwekezaji uelekezwe kwake.Lisu anapiga tu siasa za form 2 na serikali za wanafunzi.Kazi ya mbunge sio kujenga barabara ama kuwapa chakula wananchi anaowaongoza.
Kazi kuu ya mbunge kuhasisha maendeleo kwa kuziwasilisha kero mbalimbali za wananchi kwenye mamlaka zinazo husika.
Mamlaka inayoongelewa ni serikali kuu na wakala zake.
Lisu ni namba ya kitaifa.nguli wa sheria na amewanyoosha sasa sheria zinafuatwa maana mlizidi kuonea wananchi. Yaani kwa kifupi wanafaidika wananchi woteChukulia kulialia hilo kuwa ni kujenga akili yako na kuifanya kuwa sehemu ya upuuzi wa kulialia.
Kwani brbr zinajengwa na Rais? Wanahamasisha watu wakae mitandaoni wanapiga domo badala ya kuwahimiza kuchapa kazi ili waondokane na umasikini!Kwani mbunge ndiye anayejenga barabara na kusaidia wenye njaa? mbunge ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo alilochaguliwa bungeni, suala la barabara na chakula ni la serikali na ndio maana walisema wao ndo wenye mamlaka ya kutangaza njaa sio mbunge.
Wewe huna tofauti na Alisayaf Yule waziri wa habari wa Saddam Hussein!Bajeti ni makadirio sio kitu Halisi hivyo yaweza kuwa +/- hivyo hakuna kitu kinaitwa bajeti kufeli. Pima thamani ya kazi iliyofanyika fananisha na ya miaka mingine
Mbona wewe uchapi kazi?Kwani brbr zinajengwa na Rais? Wanahamasisha watu wakae mitandaoni wanapiga domo badala ya kuwahimiza kuchapa kazi ili waondokane na umasikini!
Analilia masikini,makabwela,watumwa,watwana nyie mabepari na madikteta ni wakati wenu ilatime will tell,mungu si athumani tukiomba ufe kwa manufaa ya wengi utakufa tu,huwezi kuwatesa wengi kwa faida ya wachache tena wachache ni familia moja na ukoo mmoja,mtaangamizwa na yehova,ili wengi wabaki salama,kwa siku zilizosalia kwaresma ni kumuombea sisonje apotee ktk sura ya dunia akaungane na MALAIKA wabayaMwanasheria "bora" Afrika analia lia tu kila kona.