Mpaka sasa ni asilimia 30 tu ya bajeti ndiyo imetolewa,asilimia 70,haijapelekwa kunakotakiwa.
Yaani katika shilingi 100,imepelekwa shilingi 30,shilingi 70 haijulikani kama itapelekwa.
Hii ni chini kabisa ya wastani,kwa maana hiyo,ili bajeti ya 2016/2017 itekelezwe,nchi itahitaji miaka miwili mingine mbele tena na robo,kwa kuwa 2016/2017 wamefanya kwa asilimia 30,2017/2018,watafanya asilimia 30 ingine,na 2018/2019 watafanya asilimia nyingine 30(jumla inakuwa asilimia 90,
Inabaki asilimia kumi.
Kwa misingi hiyo,nchi hii itaendelea kuhangaika na bajeti moja kwa miaka karibu mitatu
Huku ni kufeli kwa hali ya juu