Tundu Lissu: Bajeti ya kwanza ya Magufuli imefeli kuliko bajeti zote katika Historia

Tundu Lissu: Bajeti ya kwanza ya Magufuli imefeli kuliko bajeti zote katika Historia

Haya Le Mutuz W. J. Malecela huwa unasema "JPM Kanyaga twendee.. Sijui bampa to bampa.. "

Akanyage twende wapi wakati Nchi imemshinda...!!??

Out of 11Trillion za development only 3 Trillion has been disbursed to date..!!
What a shame!!

Zile figures tulizokuwa tunapewa na TRA zote uongo.

Ndio maana Mkuu anakuwa na hasira wakati wote..
Na bado.
 
Analilia masikini,makabwela,watumwa,watwana nyie mabepari na madikteta ni wakati wenu ilatime will tell,mungu si athumani tukiomba ufe kwa manufaa ya wengi utakufa tu,huwezi kuwatesa wengi kwa faida ya wachache tena wachache ni familia moja na ukoo mmoja,mtaangamizwa na yehova,ili wengi wabaki salama,kwa siku zilizosalia kwaresma ni kumuombea sisonje apotee ktk sura ya dunia akaungane na MALAIKA wabaya

Acha njozi za alinacha ndugu, kwani we hutakufa?? Unatishia watu kufa wakati hata wewe ni marehemu mtarajiwa!!
Halafu maombi ya kijinga kama hayo huwa hayasikilizwi kwa taarifa yako.
Tafuta kitu kingine cha kupigia mkwara na sio kufa.
We kubali tu kuchapa kazi na kubadilika uone kama nchi itaangamia.
Tatizo waTz tukubali sisi ni wavivu na hakika tusipobadilika na kuacha hii tabia, tutaangamia tu. Hakuna nchi iliyoletewa maendeleo na Rais wao bila ya wananchi wenyewe kuchapa kazi tena kwa juhudi na maarifa.
Kupanga ni kuchagua, tukae tupige domo tu hapa mitandaoni na tusifanye kazi halafu uone kama nchi itaendelea.
Hata aje Rais atakayebembeleza watu na kuwapigia magoti ili wafanye kazi lakini kama hawataki hakuna maendeleo. Period
Hao IMF na mataifa tajiri yanachofanya ni kututisha tu kwa sababu wanajua kabisa kwamba sasa hawa waTz wanaanza kujanjaruka na kupata akili. Hiyo kwao ni threat kubwa na ndio maana wanaleta habari zao nyeusi hapa.
WaTz tuamke na kuruhusu bongo zetu kufikiri jamani.. Dah!
 
Ndiyo. Si unaona vingine vimepigwa marufuku. Hakuna viroba sasa hivi. SAFI
NAOMBA WAINGIA KWENYE BIA NAZO WAZIPIGE MARUFUKU TU NA SIGARA PIA. NITAFURAHI SANA HIV NAVYO VIKIPIGWA MARUFUKU
TANGU LINI POMBE IKALETA MAENDELEO?
Japo ndio inayolipa kodi kubwa kuliko sekta nyingine zote
 
Ndiyo. Si unaona vingine vimepigwa marufuku. Hakuna viroba sasa hivi. SAFI
NAOMBA WAINGIA KWENYE BIA NAZO WAZIPIGE MARUFUKU TU NA SIGARA PIA. NITAFURAHI SANA HIV NAVYO VIKIPIGWA MARUFUKU
TANGU LINI POMBE IKALETA MAENDELEO?
Bia ni kitu ambacho hakiwezekani... labda waoige marufuku aina ya bia.... ukipiga marufuku bia.. akina TBL lazima wafunge kiwanda...
 
Kwani mbunge ndiye anayejenga barabara na kusaidia wenye njaa? mbunge ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo alilochaguliwa bungeni, suala la barabara na chakula ni la serikali na ndio maana walisema wao ndo wenye mamlaka ya kutangaza njaa sio mbunge.
Wewe ni zaidi ya waliofoji vyeti fanya kutembelea majimbo ya wanaojitambua hawasubiri serikali inajazia yaliyo pungua tu
 
Mpaka sasa ni asilimia 30 tu ya bajeti ndiyo imetolewa,asilimia 70,haijapelekwa kunakotakiwa.


Yaani katika shilingi 100,imepelekwa shilingi 30,shilingi 70 haijulikani kama itapelekwa.

Hii ni chini kabisa ya wastani,kwa maana hiyo,ili bajeti ya 2016/2017 itekelezwe,nchi itahitaji miaka miwili mingine mbele tena na robo,kwa kuwa 2016/2017 wamefanya kwa asilimia 30,2017/2018,watafanya asilimia 30 ingine,na 2018/2019 watafanya asilimia nyingine 30(jumla inakuwa asilimia 90,

Inabaki asilimia kumi.

Kwa misingi hiyo,nchi hii itaendelea kuhangaika na bajeti moja kwa miaka karibu mitatu

Huku ni kufeli kwa hali ya juu
Hiyo 70% itapelekwa mwezi ujao, na hapo ndo watumishi wa serikali huwa tunapiga hela kishenzi maana wanataka tukamilishe bajeti ya mwaka mzima ndani ya miezi miwili. Hapo sasa tunapanga vikazi vya kijinga kijinga ili tumalize bajeti!! Nchi hii bado sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Wanaandishi wa habari mwombeni rais press conference atuambie anafikiria nini kuhusu uchumi wetu maana naona giza kuu linaisonga Tanzania. So its better tujue mawazo yake ili kama atashaurika tumshauri
 
Uchumi hauwezi kubadilika kwa usiku mmoja huyu TL aache makelele yake yasiyo na tija.Kama yeye anaweza kufanya uchumi ubadilike overnight aende akafanye hivyo kwa wapiga kura wake tuone.
Sasa aliesema uchumi unakuwa si serikali yenu ya Kibashite? Ya Nini kudanganya? Tatizo maccm uelewa wenu ni chini sana,kuelewa ni shida!
 
Bajeti ni makadirio sio kitu Halisi hivyo yaweza kuwa +/- hivyo hakuna kitu kinaitwa bajeti kufeli. Pima thamani ya kazi iliyofanyika fananisha na ya miaka mingine
+/- deviation mbona kubwa mno?
 
Kuna kila dalili ya mtu kuukimbia mwenyewe urais wa nchi , hakika ikulu si pa kukimbilia
 
Hapo ndo pa kuwaza sasa hivi kila ikitolewa Ripoti ya Makusanyo ya Kodi ni Raha kwelkwel ila sasa Bajeti imedoda hakuna Pesa jamani hebu tuweke itikad zetu ktk hili tupambanue kwel Tilion29 ni Bashite (0) 32 ndo itawezekana kwel?
 
Yaaan huyu rais anatucheza shere haiwezekan kuajir hajaajir safar za nje hakuna mishahara haijapanda watumish hewa hawalipwi na makusanyo yameongezeka kwa takriban nusu trilion kwa mwez lkn pamoja na hayo yoooote wameshindwa kutekeleza libajet lao hata kwa 40%???
Njia ya mwongo ni fupi sana na mbio za sakafun huishia ukingon
 
Huko hakuna idara ya ujenzi ya serikali ya jamhuri ya muungano WA Tanzania inayoongozwa na CCM? Mnungewsi kazi yake kujenga barabara, bali kuipigia kelele serikali itimize majukumu yake. Bahati mbaya serikali yenyewe YA MAGUFULI ndiyo hiyo imeshafeli.
Endeleeni kuipiga Kelele serikali wakati mbunge anatakiwa awe kichocheo cha maendeleo yeye anakataza wananchi kuchangia shuguli za maendeleo wanae wanasoma shule nzuri yeye yuko dar!
 
Back
Top Bottom