Tundu Lissu: Bajeti ya kwanza ya Magufuli imefeli kuliko bajeti zote katika Historia

Kwani juice ya Ikulu inatoka wapi na hunywewa na nani mkuu
 
Tundu Lisu pia Amefeli Ikungu wananchi wana njaa hata baraba za kuunganisha vijiji vya jimbo lake vimemshinda kazi kulilia kwenda kunywa juisi ikulu tu
Kwani tundu lisu siku hizi anakusanya Kodi?yeye anatimiza majukumu yake ya kibunge kwa kuwasemea wananchi wake kazi ya kupeleka maendeleo,ni mkusanya Kodi,tena ni lazima,na sio hisani
 
Uchumi hauwezi kubadilika kwa usiku mmoja huyu TL aache makelele yake yasiyo na tija.Kama yeye anaweza kufanya uchumi ubadilike overnight aende akafanye hivyo kwa wapiga kura wake tuone.
 
Tundu Lisu pia Amefeli Ikungu wananchi wana njaa hata baraba za kuunganisha vijiji vya jimbo lake vimemshinda kazi kulilia kwenda kunywa juisi ikulu tu
Huko hakuna idara ya ujenzi ya serikali ya jamhuri ya muungano WA Tanzania inayoongozwa na CCM? Mnungewsi kazi yake kujenga barabara, bali kuipigia kelele serikali itimize majukumu yake. Bahati mbaya serikali yenyewe YA MAGUFULI ndiyo hiyo imeshafeli.
 
Mbele kwa mbele le mutuz anakwambia bampa to bampa, Wapinzani naomba muwekeze sana vijijini
 
Tundu Lisu pia Amefeli Ikungu wananchi wana njaa hata baraba za kuunganisha vijiji vya jimbo lake vimemshinda kazi kulilia kwenda kunywa juisi ikulu tu

Ni kazi ya mbunge kujenga barabara? Bara bara ni wajibu wa Serikali, mbunge anawakilisha mahitaji ya wananchi wake Bungeni na km serikalini sikivu maombi ya wananchi hufanyiwa kazi
 
Wewe angalia jinsi yakupigania democrasia ndani ya chadema kwanza huoni wenzio ccm wanaviofanya?
 
Acha hii serikali ya awamu ya tano ifeli kabisa..

Si anajifanya much know.. Haya bajeti yake ya mwanzo kabisa imefeli vibaya sana..

Na bado.
 
Uchumi hauwezi kubadilika kwa usiku mmoja huyu TL aache makelele yake yasiyo na tija.Kama yeye anaweza kufanya uchumi ubadilike overnight aende akafanye hivyo kwa wapiga kura wake tuone.
Yeye anasema uchumi unadidimia sasa
 
Tundu Lisu pia Amefeli Ikungu wananchi wana njaa hata baraba za kuunganisha vijiji vya jimbo lake vimemshinda kazi kulilia kwenda kunywa juisi ikulu tu
Kwani mbunge ndiye anayejenga barabara na kusaidia wenye njaa? mbunge ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo alilochaguliwa bungeni, suala la barabara na chakula ni la serikali na ndio maana walisema wao ndo wenye mamlaka ya kutangaza njaa sio mbunge.
 
Pia biashara zinakufa kwa kasi sana.......sijui 2017/2018 TRA watakusanya kodi kutoka wapi

Wacha zife zote maana zilikuwa za wapiga deal. Kuanza moja si ujinga na bora tuanze na genuine business kuliko kuendelea na "ghost" business zisizo na faida kwa wengi.
Hii ndiyo sacrifice kwa ajili ya kizazi kijacho.
Hata wanaoifurahia Japan leo hawakuijenga wao.
 
Mnajitoa akili.......uchumi wa kisasa si sawa na kufuga mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…