Well! huyu alisema ana afadhali kuliko Mwenyekiti. Lema kasema kuhusu yake na ya Msigwa.Hii haijakaa vizuri. Makamu Mwenyekiti anampigia debe wazi wazi mmoja wa wagombea? Akiwa Mwenyekiti si ndio itakuwa balaa! Na hawa ambao wametangaza loyalty kwa mgombea, wataweza kweli kum hold accountable akikosea? Sio ishara nzuri.
Amandla...
Sijakuelewa.Well! huyu alisema ana afadhali kuliko Mwenyekiti. Lema kasema kuhusu yake na ya Msigwa.
Mbowe kazuia uchaguzi wa Rose Mayemba.
Mkuu, aliyeanzisha ni Mbowe. Godbless Lema kazungumzia jinsi '' Mwenyekiti' alivyomzunguka...hapa Lissu amekosea, unless hao wagombea wengine wanafanya kampeni za wazi kwa niaba ya Mbowe.
Hoja ni kwamba Makamu anafanya kampeni wazi. Nimekujibu kwamba Mwenyekiti ndiye muasisi wa kampeni za ''wazi'' akitumia remote zake za sekretariatiSijakuelewa.
Amandla...
Mkuu, tupo jamvini muda mrefu. Kama utakumbuka nimekuwa nam criticise Mbowe kwa miaka 10 iliyopita...kuna kitu Freeman Mbowe na timu yake wamekikosa, au wamekosea, na kupelekea " "hali ya hewa" ndani ya Chadema kuchafuka kiasi hiki.
NENDA kakojoe ulaleNaunga mkono hoja
It does not make sense. Mbowe kaamka siku moja tu akaamua kuwa hawapendi Lissu, Msigwa, Heche na Lema? Ni lazima kuna kitu alisikia kikamfanya akose imani nao.Mkuu, aliyeanzisha ni Mbowe. Godbless Lema kazungumzia jinsi '' Mwenyekiti' alivyomzunguka.
Msigwa alilalamika jinsi '' maagizo kutoka juu'' yalivyomuumiza
Rose Mayemba hadi leo kawekwa kampuni
FAM ana operate kwa remote! akiwatumia akina Kigaila ndio maana hakuweza kufanya lolote kuhusu COVID
Na kwa kufanya hivyo ana stifle competition. Kila mmoja anajua katika vyama vya siasa vyote vinakuwa na preferred candidate. Hata Lissu aliposhindana na Nyalandu ilijulikana kuwa yeye ndio preferred candidate. Mimi sikatai Makamu kumpendelea mmoja wa wagombeaji. Ninachokataa ni kuonyesha kabisa kuwa akishinda ni kutokana na endorsement yake. Huyu mama akishinda priority yake itakuwa kujikomba kwa Lissu na sio Bawacha. Trumpian 101.Hoja ni kwamba Makamu anafanya kampeni wazi. Nimekujibu kwamba Mwenyekiti ndiye muasisi wa kampeni za ''wazi'' akitumia remote zake za sekretariati
True! kwamba hata TAL akishinda, viongozi wanaweza kutokuwa 'loyal'' wakawa ''submissive''Na kwa kufanya hivyo ana stifle competition. Kila mmoja anajua katika vyama vya siasa vyote vinakuwa na preferred candidate. Hata Lissu aliposhindana na Nyalandu ilijulikana kuwa yeye ndio preferred candidate. Mimi sikatai Makamu kumpendelea mmoja wa wagombeaji. Ninachokataa ni kuonyesha kabisa kuwa akishinda ni kutokana na endorsement yake. Huyu mama akishinda priority yake itakuwa kujikomba kwa Lissu na sio Bawacha. Trumpian 101.
Amandla...
Inaonekana kulikuwa na ''internal rift''. Swali kwanini?Mbowe kaamka siku moja tu akaamua kuwa hawapendi Lissu, Msigwa, Heche na Lema? Ni lazima kuna kitu alisikia kikamfanya akose imani nao.
Hii inaonyesha kufeli kwa leadership! Mwenyekiti aliachia hali hiyo ambayo sasa inamrudiMsigwa alipommwagia sifa JPM, Mbowe hakumfanya kitu. Msigwa alipotofautiana wazi na wenzake ( ikiwa pamoja na Lissu), Mbowe hakumchukulia hatua.Kuna mtu mmoja wa CCM alisema kuwa mazungumzo na Msigwa yalianza mapema tu.
Kama alipata fununu alitakiwa afanye jambo!Bila shaka Mbowe alipata fununu.
Kwanini Rose Mayemba na Si Ezekiel Wenje ambaye ni rafiki wa Mtoto wa Ikulu!Lissu na Rose ni watu wa karibu sana na Msigwa. Kwa nini Mbowe asiwatilie shaka kuwa wamekuwa corrupted. Kuwa zile kelele za pesa za Abduli alizokuwa anapiga Lissu ilikuwa ni njia ya kuwaficha wanaonufaika ( Msigwa na pengine Rose).Suala la Covid sio la Kigaila. Na Mbowe alichukua hatua zinazostahili dhidi yao. Lakini bado mnataka kumuangushia jumba bovu.
Amandla....
Msigwa ni tofauti na Abduli. Ni tofauti hata na Covid-19. Msigwa anafanya juhudi za waziwazi kubomoa CDM. Kitu ambacho Covid-19 hawafanyi. Na sijamsikia Abduli akifanya hivyo hadharani. Rose kuwa mshiriki wake wa karibu kumemponza. Na inaelekea bado yuko karibu nae. Aidha, according to Wenje uhusiano wake na Abduli sio wa muda mrefu. Anadai walikutana kwenye tafrija ndio waka Bond.Inaonekana kulikuwa na ''internal rift''. Swali kwanini?
Hii inaonyesha kufeli kwa leadership! Mwenyekiti aliachia hali hiyo ambayo sasa inamrudi
Kama alipata fununu alitakiwa afanye jambo!
Kwanini Rose Mayemba na Si Ezekiel Wenje ambaye ni rafiki wa Mtoto wa Ikulu!
Hizi ni kampeni kila mmoja anaruhusiwa kunadi anayemtaka hata kama yeye ni mgombeaHii haijakaa vizuri. Makamu Mwenyekiti anampigia debe wazi wazi mmoja wa wagombea? Akiwa Mwenyekiti si ndio itakuwa balaa! Na hawa ambao wametangaza loyalty kwa mgombea, wataweza kweli kum hold accountable akikosea? Sio ishara nzuri.
Amandla...
Nimesema wapi kuwa mtu anakatazwa? Ninachokisema ni kuwa kufanya hivyo hakutoi picha nzuri hasa kwa mtu anayegombea nafasi ya juu kabisa katika chama. Tuseme yule anayemnadi ashindwe na yeye ashinde. Si aliyemshinda mtu wake ataweza kuhofia kuwa hatapata ushirikiano kwa sababu yeye sio chaguo lake? Au kama kweli itagundulika kuwa hatoshi katika hiyo nafasi ataweza kujitetea kuwa anafanyiwa figisu kwa sababu hapendwi.Hizi ni kampeni kila mmoja anaruhusiwa kunadi anayemtaka hata kama yeye ni mgombea
Msigwa ni tofauti na Abduli. Ni tofauti hata na Covid-19. Msigwa anafanya juhudi za waziwazi kubomoa CDM. Kitu ambacho Covid-19 hawafanyi. Na sijamsikia Abduli akifanya hivyo hadharani. Rose kuwa mshiriki wake wa karibu kumemponza. Na inaelekea bado yuko karibu nae. Aidha, according to Wenje uhusiano wake na Abduli sio wa muda mrefu. Anadai walikutana kwenye tafrija ndio waka Bond.
Kuhusu ku act, sio rahisi kama unavyosema. Hasa inapokuwa watu kama Lissu na wenzake. Hamna ambae angeamini kuwa walitaka kufanya mapinduzi. Njia bora zaidi ilikuwa ni kuwabana mpaka ama watoke wenyewe au warudishe ndani makucha yao. Ni lazima anakumbuka yaliyo wakuta walipotaka kuwashughulikia Zitto na wenzake.
Kwenye hili inaweza kuonekana kuwa ameshindwa, lakini in the wrong run watu watamuelewa.
Amandla...
Hakidhalilishi chama. Halima ni protege wa Mbowe na pengine alimtegemea awe Mwenyekiti wa kwanza wa kike. Kwa sababu hiyo Halima hawezi hata siku moja akawa adui wa Mbowe. Na tukiwa wawazi kosa la Covid-19 ni kukaidi maagizo ya chama chao na kuipa legitimacy Bunge la JMT. Katika muda wote huu hawajawahi kusimama jukwaani kukihujumu chama kama wanavyofanya Msigwa na Peneza. Kwa vile sijui nini kiliwafanya wafikie uamuzi ule, I reserve my judgement...hudhani kwamba ukaribu wa covid19 na Mwenyekiti katika shughuli binafsi unakidhalilisha chama?
..mgogoro wa Mbowe na Msigwa chanzo chake ni nini? Je, Msigwa amekwenda Ccm kwasababu ya kuhongwa, au kukerwa na tabia za Freeman Mbowe?
Hakidhalilishi chama. Halima ni protege wa Mbowe na pengine alimtegemea awe Mwenyekiti wa kwanza wa kike. Kwa sababu hiyo Halima hawezi hata siku moja akawa adui wa Mbowe. Na tukiwa wawazi kosa la Covid-19 ni kukaidi maagizo ya chama chao na kuipa legitimacy Bunge la JMT. Katika muda wote huu hawajawahi kusimama jukwaani kukihujumu chama kama wanavyofanya Msigwa na Peneza. Kwa vile sijui nini kiliwafanya wafikie uamuzi ule, I reserve my judgement.
Kwa kweli sijui wamekosana kwenye nini. Lema ana hint kuwa walitofautiana kwenye maneno. Lakini nadhani ni deeper kuliko hicho. Msigwa ni mshari na anajiamini mno. Inawezekana katika moja ya vikao vyao alimshutumu Mbowe kuwa amelambishwa asali. Hata sijui. Ila nahisi Lissu amehusika.
Amandla...
Asante LissuAnaandika Tundu AM LISSU.
====
" Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA kama wewe unataka au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri upige kura ya mabadiliko kwenye Uchaguzi wa BAWACHA kesho na Uchaguzi Mkuu wa chama tarehe 21 Januari.
Ni kura ya mabadiliko pekee itakayoondoa umalkia katika ubunge na udiwani wa viti maalum katika chama chetu.
Ni kura ya mabadiliko pekee itakayohakikisha wanawake wengine wengi nao wanapata fursa za kuwa wabunge na madiwani wa viti maalum.
Celestine Malley-Simba ameweka msimamo wake wazi kwamba atapiga kura ya mabadiliko tarehe 21 Januari.
"Na mimi rasmi natangaza kumuunga mkono"
Lakini mimi sio mpiga kura kesho, na wala viti maalum havinifaidishi mimi binafsi ila wewe uliye mpiga kura wa BAWACHA kesho na viti maalum vya ubunge na udiwani vinakuhusu, nenda kaunge mkono mabadiliko ndani ya chama chetu.
Piga kura yako kwa Celestine Malley-Simba kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa "
Pia soma > Uchaguzi 2025 - Lissu: Tutaweka ukomo Ubunge Viti Maalum isiwe kikundi cha wale wale miaka yote
Baada ya Deogratias Mahinyila kutangaza hadharani anamuunga mkono Tundu Lissu huku na yeye akiomba achaguliwe kwenye Uenyekiti wa BAVICHA ili wasaidiane na Lissu na Heche katika Ujenzi wa Chama na Wajumbe wakakubaliana nae na kumchagua kwa kura nyingi,
Sasa ni zamu ya Uenyekiti wa BAWACHA Taifa na tayari Mgombea makini wa nafasi hiyo Ni Celestine Simba ameshatangaza pia kumuunga mkono Tundu Lissu na John Heche.
Hiki ndicho alichokiandika Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ajae baada ya Celestine Simba kutangaza kumuunga mkono yeye na John Heche.
Mungu mwenye Nguvu atasimama awamu hii CHADEMA
Pia soma Uchaguzi 2025 - Spika wa Bunge la Wananchi Selestine Simba atangaza kumuunga mkono Lissu huku akitangaza kugombea Uenyekiti BAWACHA Taifa ili kujenga CHADEMA mpya
Hapana. Inabidi tukubali kuwa Mbowe na wenzake ni binadamu kama sisi. Hivi Halima angekuwa mwanae tungemtaka ajitenge nae?..hudhani kama mbowe anapaswa kulinda taswira ya chama kwa kujiweka mbali na halima na wenzake?
..pia kuchangamana na halima wakati kuna kesi mahakama huoni kama kunajenga mashaka kuhusu jinsi kinamama hao walivyofika bungeni?