Pre GE2025 Tundu Lissu: BAWACHA kama mnataka fursa za uongozi Bungeni au Udiwani mchagueni Celestine Malley-Simba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

..Msigwa kuwa na document ya Chadema haimaanishi kwamba ameipata toka kwa Lissu kwasababu tu ni rafiki yake.

..Lakini kama atakuwa amepenyezewa na Lissu basi huo utakuwa ni usaliti dhidi ya Chadema.
 
..kama angekuwa ni mtoto wa Mbowe hapo kungekuwa na ukakasi mkubwa sana.

..Ni sawa na hawa mabwana ambao wake zao wako bungeni.

..Mimi kwa maoni yangu nadhani wangejiuzulu nafasi zao wabaki wanachama wa kawaida.
 
Hekima ni mzee huyu apumzike kwa kweli !
 
..kama angekuwa ni mtoto wa Mbowe hapo kungekuwa na ukakasi mkubwa sana.

..Ni sawa na hawa mabwana ambao wake zao wako bungeni.

..Mimi kwa maoni yangu nadhani wangejiuzulu nafasi zao wabaki wanachama wa kawaida.
Waadhibiwe kwa makosa ya wake zao? Hiyo haitakuwa haki.

Amandla...
 
..Msigwa kuwa na document ya Chadema haimaanishi kwamba ameipata toka kwa Lissu kwasababu tu ni rafiki yake.

..Lakini kama atakuwa amepenyezewa na Lissu basi huo utakuwa ni usaliti dhidi ya Chadema.
Mkuu Joka, lakini pia Samia aliwahi kusema anajua huko CDM hapakaliki walikua na vikao huko Arusha na anawatu wake humo ndani wanaompa taarifa. Je kwa namna alivyozungumza Lema kwa vikao vilivyokua vinaendelea huko Arusha, huoni kama Kuna mamluki ambae alikua anamfikishia taarifa kwa kila kinachojili . Kwa nini mamluki huyo asiwe freeman Mbowe, nimezungumza Hilo kwa mantiki hiyo ya Msigwa na Lissu. Vipi katika upande huo pia?. Maana wenzake wote na Mbowe walionekana kumtilia shaka Mwenyekiti.
 
BAWACHA fanyeni Kweli
 
..inawezekana ni yeye mwenyewe Mama Abduli anatengeneza mgogoro ndani ya Chadema halafu anakuja kushtakia na kuwachongea kwa wananchi.
 
Huyu dada ni msomi sana
 
N dalili chadema imekomaa. Ukiangalia na kusikiliza uchaguzi wao unavyotrend utaona kabisa hiki chama kinakuja na kumkimbiza mwizi kimya kimya sema tu shida ni vita kunachopigwa na mamluki ndani ya chama baada ya Mbowe kuwa dhaifu
Mbowe siyo mwoga na siyo dhaifu bali ni mtu, mwenye Hekima na NAHODHA hodari na meli yake itatia nanga salama tarehe 21/01/2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…