Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Njoo kwenye mada yangu ya CCM ndio chama, upinge niwape somo madogo lakumaluzana na watu kama nyie.Hebu anza kwa kuwapa hizo mbinu za "kumtwanga huyo Lissu..." Ni hoja zipi hasa unazodhani wanaweza kuzitumia?
Huoni kuwa huyo ambaye wangemkingia kifua kwa hoja hizo ndiye kawaondolea hizo hoja kwa matendo yake yaliyo wazi kwa kila mtu?
Sasa huku unakuja kufanya nini, ku-'recruit'?Njoo kwenye mada yangu ya CCM ndio chama, upinge niwape somo madogo lakumaluzana na watu kama nyie.
CCM ndio chama
Kazi kwao vijana wa CCM sio shida yangu.Sasa huku unakuja kufanya nini, ku-'recruit'?
Nikiangalia uandishi katika mstari huo mmoja tu, nagaili kama unaweza kunipa somo la aina yoyote ile.
Bado land cruiser 400 ....kuna mtu au system kuwa compromided hapa...muda utaongea....ndugu zangu wa kiapo wspo tu wanaogipana bila kuchukua hatua.....kuna ile topic ya uzalendo kwa nchi mama iko wapi ? Mnaachia ujinga hadi aibu sasa....tunasubiri tuyaone myda weeeee nakia sana na muda
Mkuu, 'Mayor' haya yako sina hamu nayo kwa sasa (inaniwia rahisi kusema hivyo tu).Kazi kwao vijana wa CCM sio shida yangu.
Mie nimeweka tu mada ya uchokozi hakuna alienijaribu.
Lengo ilikuwa nikuwafunda kutetea chama.
JF ukitaka kwenda kushinda chit-chat na kuongea ujinga ni wewe.
Na ukitaka kuonyesha uwezo wako umesahaulika tu kwa bahati mbaya ni wewe.
Niamini Jukwaa la siasa linapitiwa na watu wazito uwezi amini.
Lengo langu ni kuwapa mbinu machawa ambazo sisi wengine tunapewa sema hatuzihitaji.
Kuna mtu "kujisahau", au kuwa "reckless" asione zaidi ya anachoona yeye hadi anajikuta kaparamia ukuta.Bado land cruiser 400 ....kuna mtu au system kuwa compromided hapa...muda utaongea....ndugu zangu wa kiapo wspo tu wanaogipana bila kuchukua hatua.....kuna ile topic ya uzalendo kwa nchi mama iko wapi ? Mnaachia ujinga hadi aibu sasa....tunasubiri tuyaone myda weeeee nakia sana na muda
Wala sikulaumu kwa sababu sina mpango wa nafasi zao; kikubwa ni kuelewa michango yetu ya JF inasomwa na hakina nani.Mkuu, 'Mayor' haya yako sina hamu nayo kwa sasa (inaniwia rahisi kusema hivyo tu).
"Kuwapa mbinu"? kwa faida ya nani?
Anyway, labda siku nyingine nitakuwa kwenye 'mood' ya kujadili mada ya ajabu namna hiyo, siyo leo.
Tunaviongozi matahila kweli kweli unagawa picki pick nchi nzima wakati hela ya kugawa pikipiki nchi Zima inaweza kutosha kujenga viwanda vya pikipiki kumi ambavyo vinaweza kuajiri watu elfu kumi. Unajiita kiongozi wa watu huku watu uliopaswa kuwatumikia unawageuza watumwa. Unawanyonya kodi katika kila shughuli halafu unachukuwa hizo kodi kwenda kuwapa wachina kwa kununuwa pikipiki?Njoo kwenye mada yangu ya CCM ndio chama, upinge niwape somo madogo lakumaluzana na watu kama nyie.
CCM ndio chama
Naona unanikaribisha ukumbini kwako kiaina, lakini siyo leo, shasema hivyo tayari.Hakuna anaejali upuuzi wa Chadeka just a useless bunch.
Ndugu CCM chama, uwezi kukifananisha na upuuzi.Naona unanikaribisha ukumbini kwako kiaina, lakini siyo leo, shasema hivyo tayari.
Nimenyanyua hako kamstari kako kamoja kwa mksudi kabisa; lakini usinipange kuwa nipo huko CHADEMA, kama nisivyopenda kukupanga wewe kuwa upo huko kwenye chama kilichooza, lakini bado unakishabikia sijui kwa sababu zipi hasa!
Mara zote siku hizi nasema hivi kuhusu hii CCM yako ilivyo sasa: niko radhi chama chochote kile cha upinzani, kikiweza kuwaondoa hawa wanao tufanya kuwa mateka wao, nitawaunga mkono. CCM kimekuwa ndiyo adui mkubwa wa nchi yetu sasa hivi. Sioni adui mwingine yeyote zaidi ya CCM anayetukabili sasa hivi.
Tendo tu, la kutuzuia tusiwaondoe madarakani kwa njia yoyote ile, ni tendo tosha kabisa la kuwaona hawa kuwa maadui wa nchi yetu
Sasa wewe hapa, unapokuja na kuwabeza CHADEMA, pamoja na mapungufu yao; lakini ndio pekee kwa sasa, angalao wanaoweza kufurukuta na kuwasumbua hawa CCM; halafu wewe unakuja na kujiona ni bora ya kuwa na hao wanaotuteka?
Ndiyo, naelewa wazi kabisa, kwamba huko ndani ya CCM hiyo mbovu, wamo ambao wanaumia kama sisi wengine tulio nje ya hicho chama, lakini hawaezi kufurukuta, na kuleta mageuzi yoyote ndani ya chama chao. Tuwasaidie, kwa njia yoyote ile, hata kama ni kuwatia moyo CHADEMA waweze kulegeza mkono wa hao wabaya waliomo ndani ya CCM na kuwapa nafasi wanaoshindwa kufurukuta huko huko.
Inawezekana kabisa bado sikuelewi unacho maanisha hasa ni nini, kwa maana nakuona kama unajichanganya tu mwenyewe katika maandishi yako juu ya jambo hili.
Utaniwia radhi kwa makosa ya uandishi, kwa sababu nakwenda mbio tu, kwenye majibu kama haya ambayo sina akili tulivu ya kuyajengea hoja.
Maswali ya kipuuzi hayo!
Lini?Nchi hii hadi uwe wa ukoo wao. Lkn Mwanga utalishinda giza, Utakumbuka hii comment yangu
Familia ya Tundu Lissu inakaa Ulaya. Nani anaigharamia kuishi huko?Hakika
Mwacheni Lissu apumzike… afya yake Bado haijakaa sawa
Hela za Ruzuku CCM inapokea mabilioni ya Ruzuku Kila mwezi hizo pesa ni za CCM na pikipiki hizo Mali ya CCM
Hela za ccm siyo za SamiaHela za Ruzuku CCM inapokea mabilioni ya Ruzuku Kila mwezi hizo pesa ni za CCM na pikipiki hizo Mali ya CCM
CCM inatumia vizuri pesa zake nyie Chadema zenu anakula Mbowe
Babu Tale kagawa Kanga kwa wajumbe wote wa Morogoro Kusini MasharikiSugu kagawa Madera Kwa Bawacha Wote Kanda ya Nyasa hela kapata wapi? 🐼
Mungu si AthumanHuyu jamaa anakusidio muhumu sana kwa manufaa ya nchi nchini, ila hata kaa awe raisi wa nchi hii