Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu CCM chama, uwezi kukifananisha na upuuzi.

Kwa sababu Lissu anazunguks viijijini na kufanya mikutano ya watu mia kwenye kila kijiji na kuropoka aina maana huo upuuzi unainyima usingizi CCM.

Ni upuuzi wa kujitekenya na kukujibu wenyewe CDM

CCM chama, kwa sasa pambana na watete8 wahusika wa chama ain’t got time for that.

Wakizidiws utaona mzik wake, kwenye kichwa chako Lissu ni mtu wa maana unfurahisha kwell.

..kinachowabeba Ccm ni fedha na serikali iliyoko nyuma yao.

..zaidi ya hapo Ccm hawana watu wenye vipaji, na wenye commitment ya kufanya siasa.

..majority ya walioko Ccm wamefuata fedha na vyeo.

..Lissu anaweza kuwa mtu wa hovyo-hovyo kwako. Lakini kuna watu wachache sana nchi hii wenye moyo wa kusimamia wanayoyaamini ktk mazingira magumu, na kwa muda mrefu, kama alivyofanya Lissu.
 
Pikipiki zimeandikwa SSH2025 na zina picha yake, hatujaanza kampeni, mama ameanza kampeni zaidi ya mwaka na nusu kabla ya uchaguzi. Kama ameanza yeye na sisi tuanze, amefungulia mlango.

Kila kata ya mkoa wa Singida imepewa pikipiki kulingana na idadi ya vijiji vyake, mkoa mzima wa Singida zimeletwa pikipiki 700, na Tanzania nzima kila mkoa kapeleka pikipiki 700, na Tanzania bara iko mikoa 26, hivyo fanya pikipiki 700*26 ni 18,200. Ukienda mjini kuafuta pikipiki moja inauzwa milioni 3 mpyaa. Zidisha pikipiki 18,200*3,000,000 ni shilingi bilioni 54,600,000,000.

Bilioni 54 katika nchi ambayo watoto wanakaa chini hawana madawati, mahospitali hayana madawa, hakuna maji ya kunywa, barabara ni mbovu ila kuna pikipiki za kugawa bure za Rais za Tsh. 54,600,000,000

Nyie mnajua maana sizungumzi vitu ambavyo hamvijui, Magufuli si alifanya kampeni, aligawa pikipiki? Kikwete si alifanya kampeni, aligawa pikipiki? Mkapa aligawa pikipiki?

Huyu anatuletea pikipiki, siyo za CCM, zingekuwa za CCM zingeandikwa Chagua CCM etc etc. Hizi zimeandikwa SSH2025, ni za kwake na siyo za Serikali.

Hizo hela amezitoa wapi huyo anayetaka tumuite mama? kumbuka ameuza bandari zetu kwa warabu, ameuza hifadhi ya misitu yetu hekta 9,900,000 kwa waarabu, kiwanja cha ndege cha KIA kauza kwa waarabu, kule umasaini kafukuza wamasai wamepelekwa Handeni ili auze kwa waarabu.

Hii bilioni 54 ametoa wapi kama siyo hii biashara haramu anayofanya na mali za nchi yetu? CCM tuambie huyu mwenyekiti wenu anayetaka tumuite mama ametoa wapi hizi pikipiki hizi 18,200. Ana hela wapi, ana biashara gani?

Mwalimu Nyerere kabla hajafa aliuza " Hivi Ikulu kuna Biashara gani" Samia Suluhu Hassan, Ikulu kuna biashara gani za kukupatia wewe Tsh 54,600,000,000 za kugawa pikipiki Tanzania nzima?

Pia soma: Kuelekea 2025 - Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
 
Screenshot_20240617_095426_Gallery.jpg
 
Serikali kukaa kimya na kumuacha huyu bwana kudanganya umma ni kama,haileti afya kwa nchi yetu,

Huyu jamaa asili yake ni uongo,na ni mchonganishi mkubwa sana,hafai hata kupewa uenyekiti wa kitongoji. watanzania tuamke tukatae wanasiasa wa jamii ya Lissu wanahatarisha usalama wa nchi yetu.

Nimengalia bei yapikipiki kwenye mtandao wa alibaba ,pikipiki moja mpya inauzwa kuanzia shilingi 700,000 hadi sh 1,000,000 kwa boxer mpya,sasa yeye lissu anasema pikipiki moja ni sh 3,000'000 huu ni uongo,na kwa bei hii nchini China ya 700,000 kuna uwezekano wa kupunguziwa bei kutokana na mzigo kuwa mkubwa hivyo pikipiki moja ikauzwa kwa sh 500,000 mara 18,200 sawa sawa nabilioni 9 tu

Sasa huyu yeye hiyo bei ya 54 B kaitoa wapi,kweli hata mimi nitake mzigo wote huo wa pikipiki 18,200 ninunue nchini wakati ukiagiza china bei ni nafuu mara dufu

Watanzania tuamke na tuwakatae mapema sana hawa watu wanaotuchinganisha kwa masrahi yao wenyewe
 
Attachments

  • Screenshot_20240617-102040.png
    Screenshot_20240617-102040.png
    339.6 KB · Views: 2

Mmmmmm wajinga waliwao....kuna usafiri kuna ushuru....na dalali alieagizwa...etc pesa hata kama bil 10 ametoa wapi ?
 
mara ni mamake abdul na siyo mama yenu, hapo hapo anamwita mama, kipi ni kipi sasa? ni mama au simamako?
 
Serikali kukaa kimya na kumuacha huyu bwana kudanganya umma ni kama,haileti afya kwa nchi yetu,

Huyu jamaa asili yake ni uongo,na ni mchonganishi mkubwa sana,hafai hata kupewa uenyekiti wa kitongoji. watanzania tuamke tukatae wanasiasa wa jamii ya Lissu wanahatarisha usalama wa nchi yetu.

Nimengalia bei yapikipiki kwenye mtandao wa alibaba ,pikipiki moja mpya inauzwa kuanzia shilingi 700,000 hadi sh 1,000,000 kwa boxer mpya,sasa yeye lissu anasema pikipiki moja ni sh 3,000'000 huu ni uongo,na kwa bei hii nchini China ya 700,000 kuna uwezekano wa kupunguziwa bei kutokana na mzigo kuwa mkubwa hivyo pikipiki moja ikauzwa kwa sh 500,000 mara 18,200 sawa sawa nabilioni 9 tu

Sasa huyu yeye hiyo bei ya 54 B kaitoa wapi,kweli hata mimi nitake mzigo wote huo wa pikipiki 18,200 ninunue nchini wakati ukiagiza china bei ni nafuu mara dufu

Watanzania tuamke na tuwakatae mapema sana hawa watu wanaotuchinganisha kwa masrahi yao wenyewe
ni hasira tu baada ya wanachadema kugoma kumchangia pesa eti anunulie gari wakati amelipwa mafao na marupurupu ya madai yake yote, ya mamilioni ya fedha lakini bado anaomba omba achangiwe 🐒

tabia mbaya sana ya ombaomba...

na by the way kwa uropokaji na upotoshaji wake usiokua na mpangilio anafahamika vyema na kwa hivyo atapuuzwa tu..

na wala hatadhoofisha juhudi za chama na serikali katika kujiimarisha kwa namna mbalimbali na kuwafikia wanachama wa CCM wengi zaidi, lakini zaidi sana kuwafikia wanainchi na waTanzania wengi kirahisi na kuwasingezea huduma muhimu huko walipo, tunapoelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 🐒

ifahamike,
huo ni mwanzo tu, yapo mambo mengi makubwa zaidi ya hilo, na watasema sana, watashindana lakini hawatashinda 🐒
 
Back
Top Bottom