Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unapo ambiwa deni la taifa trioni kadhaa
Inamaana Kila Mtzd alipata fungu wakati wa mkopo?
Hizo pikipiki wamepewa Machawa
Katazame zinayo piga misele hovyo ndio utajuwa Kila Mtzd Zina muhusu
NA nyie makunguni ya chadema ruksa kupewa pikipiki! 😊
 
Kwa huku Arusha, hizo pikipiki zimetolewa wapi?
 
Lisu akivaaga iyo kofia ananikumbushia Lodi lofa 🤣🤣🤣.
Hii nchi hatujawa huru mpaka tupate katiba MPYA na ya wananchi!
Acha hii waliojifungia wachache wakakopi kwa wakoloni inayopelekea hadiLeo tuna watawala badala ya viongozi.
 
Kwa hiyo hizo plate number walizogeuza na kuweka jina la mheshimiwa zitakuwa zinalipiwa km ilivyo kwenye magari au ni free.

Ila tz kuendelea itachukua miaka mingi sana. Wachache (minority) wanafurahia maisha kwa kutafuna keki ya Taifa wakati wengi (majority) wanateseka na kubaki na sifa yao kubwa ya kuitwa "wapiga kura" ha ha ha 😂 😂

Hili la pikipiki halina utofauti na lile la mwendazake alipoamua kwa makusudi kuwaita WATENDAJI KATA ikulu Tz nzima ili kuwapa maelekezo ya uchaguzi wa mtaa. Hapo gharama zilizotumika kuwasafirisha, kula, kulala nk ni kufuru. Jambo ambalo tangu nimezaliwa sikuwahi kushuhudia kabla. Baadae utaskia ongezeko la TOZO, kubadilika kwa KIKOKOTOO, nk.

Ila sema wapiga kura nao ni vichwa maji, majority hawajui ba wala be hata wakielimishwa vipi bado utawaona wanapokoea chumvi ya 200, kipande cha kanga, kofia, viberiti, pombe, na t shirt. Na walivyo vichwa maji huwa hawaulizi juu ya kupewa suruali. Sasa unajiuliza hivi unawezaj kuvaa t shirt bila suruali. Mtu akiamua kukuvalisha akupe mavazi full.
 
Huyu jamaa anakusidio muhumu sana kwa manufaa ya nchi nchini, ila hata kaa awe raisi wa nchi hii
Who are you? Are you God? Acha ujinga na akili za kipumbafu. Mungu anaweza fanya chochote wakati wowote kama alivyofanya March 2021!
 
Magufuli hakuwahi kuwa mfujaji wa hela za nchi bali alikuwa na uchungu nazo.
 
Wala sikulaumu kwa sababu sina mpango wa nafasi zao; kikubwa ni kuelewa michango yetu ya JF inasomwa na hakina nani.

Kwa michango yangu ya JF kuna wakuu wa nchi wamenitafuta (believe or not) baada ya kuona watu wanaowapa salamu wanawivu; imebidi wahusika wazunguke na kunitafuta kwa namna nyingine.

Kwa sababu ni mara ya pili kutafutwa na vigogo wa nchi. Muhusika wa kwanza alikuwa mlezi Mwigulu wenye chama chao cha CCM kabla ya huyo poyoyo ajashika nafasi nyeti za chama na nchi.

Ndio ujue mie sio wa mchezo mchezo muhusika wa pili ni ex DG wa TISS juzi tu nimepigawa simu huko wapi.

Mjomba ni kwa sababu wengine tuna ndoto zingine tu za maisha; lakini JF inapitiwa na watu wazito sana kwenye nchi.

Ndio maana wengine tunaona tuwape mbinu makada vijana ili waangaliwe.

Hakuna anaejali upuuzi wa Chadema just a bunch of useless people. Kwa makada wa CCM onyesheni uwezo wenu wa kujenga hoja mnasomwa na watu wazito humu wenye nchi.

👏 alamsiki usiichukulie JF poa inapitiwa na watu wazito kwenye hiyo nchi sio mzaha.
Wezi wa kura hawawezi kuwa " Watu Wazito"!!
 
Magufuli hakuwahi kuwa mfujaji wa hela za nchi bali alikuwa na uchungu nazo.
Hizo Hela za Ruzuku za CCM pikipiki za CCM sio za serikalli

Ruzuku ruksa kununua vyombo vya usafiri vya chama
 
Huyu jamaa anakusidio muhumu sana kwa manufaa ya nchi nchini, ila hata kaa awe raisi wa nchi hii
Kwani mtu akisema mambo ya maana Kwa faida ya nchi anataka cheo? Au alishatangaza kugombea 2025, au mnamsemea? Au mwenye mawazo mazuri hatakiwi kusema eti anataka cheo. Acheni propaganda za kiCCM
 
Sio piki piki tuu kuna mabango hadi vijijini yenye sura yake pesa ya kuchapisha na kulipia kuwekwa sehemu za matangazo ametoa nani🤔 ni mwendo wa trab na trat kwenye kwenye kwenye kwenye mpaka mwisho
 
Back
Top Bottom