Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waache na pikipiki zao. Huku mitaani tuna njaa hizo pikipiki hazitawasaidia kwenye kura.
 
Kumtaja Lisu au kada yoyote wa cdm kunaweza kukupa umaarufu na Uzi wako kupata wachangiaji wengi 😂
 
Taratibu dawa inakuingia tulia.
 
Huwa mnalipwa bei gani kuhangaika kuzibeza na kuzikanusha hoja halali za wapinzani?

Kuna mTz yeyote asiyeelewa madudu ya Serikali anayoyaanika Lisu?

Shem on you!
 
Wewe Utakuwa Samia kwa hiyo utapitisha bila ya kulipa ushuru. Kweli Lissu ni muongo!
 
CCM wanavyanzo vingi vya mapato, pengine zimetokes huko
Usidanganyike...!

Hizo fedha za vyanzo vyao vya mapato zote huishia kwenye mifuko binafsi ya watu..!!

Na ofcoz wana bilioni kama 2 au 3 hivi za ruzuku kila mwezi...

Sasa hizo bilioni 3 hata ukizidisha kwa mwaka mzima hawawezi kufikisha bilion 54..

Na kumbuka CCM ni chama kikubwa. Ndani ya pesa zao hizo za ruzuku na projects za ni lazima zitumike kwenye;

=Gharama za uendeshaji chama zikiwemo operesheni mbalimbali za chama chao,

=Kulipa mishahara ya watumishi wao,

=Maintainince cost nk nk

Swali linabaki palepale huyu katoa wapi pesa zote hizi za mkupuo mmoja wa kulipia pikipiki karibu 20,000 na kuzigawa nchi nzima?????????

Huyu mama ni mwizi na ni fisadi, hakuna kupepesa macho wa kujiumauma!!
 
Ulichokiandika hapa ndio impact yenyewe. Tulieni tunataka majibu SSH bodaboda katoa wapi hela. Suala la sukari lipo Bungeni.
bodaboda, bajaji, mipira na jezi za ccm, t shirts, kofia, fulana, vitenge, kanga, skafu, beji, medali n.k ni sehemu kidogo sana ya ruzuku ya chama cha mapindizi....

lakini bado, kuna kalamu za risasi za kisasa, notebooks, daftari, mav8 kama yote 0km ambayo nayo ni sehemu kidunchu sana ya ruzuku ya chama cha mapinduzi

gentleman,
uchaguzi ni process, uchaguzi ni plan na strategies ambayo ni very expensive acha mchezo aise

ushindi wa kishindo is not a joke, it is real actions, acheni utani bana....

, et mtu anakuja from no where, ng"weng"weng"we nataka niwe raisi wa TZ, unachekesha wew
 
Na unaweza kukuta alikua anaangalia kupitia medium fulani hadi macho yamemvimba.
sure,
macho yamevimba maana jukwaa lilinivutia zaidi kulitazama kutoka simiyu nilipo dah, halafu mic zilikua zinamsmbua sana kazi sana aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…