Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

Michael H: President Magufuli you describe there the fight against corruption and president Museveni described it as non bureaucratic approach to what extent is it in your opinion necessary to remove basic freedoms, and to what extent is it proportionate to remove basic freedom and fight against corruption ?

Magufuli: Since Mr president doesn't understand question due to language difficulties he is on the side line like a perv, until Museveni breaks it down for him.

Museven: Who is the question directed to? while pointing to Magufuli

Magufuli: To remove freedom of what ?

Museven: No what he is trying to say is that , corrupt people have rights, thats what he is saying , because corrupt people have human rights by sacking them are you not violating human rights ?

Magufuli: Laughs and then answers " so you just choose you continue with human right or you continue with corruption.

Museveni: yes yes very good.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka leo swali moja tu Mr president went on the side line like a perv, mdahalo hawez kama kauizwa swali rais hivyo akashindwa kulijibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] , alafu bwana mkubwa kingereza ni tatizo kidogo daaah, Tutumie Kiswahili tu.....
 
Mi natamani kweli ufanyike mdahalo na sio lazima awepo Magufuli kama Magufuli hataki sio lazima hata 2015 yeye pamoja na Lowassa hawakutaka mdahalo na haikuwa issue. Mdahalo wagombea wengine wapo mdahalo unaweza kufanyika na tukaona huo uwezo wa Lissu.

..kampeni zimetuonyesha kwamba Jpm na TL ndio wagombea gani wenye ushawishi.

..hekima za kawaida kabisa, zinatuelekeza kwamba wagombea hao wawili ndio wanaostahili kualikwa ktk mdahalo.
 
Ukweli ni huu hapa...

Magufuli ni Rais JMT...ni raia namba moja wa Tanzania huwezi kumkalisha meza moja ya mdahalo na Wahuni.

Lisu kwanini asiombe mdahalo na wenzake wanaoitaka Ofisi kuu kwa mara ya kwanza? Aombe mdahalo na Membe, Sipunda na Lipumba!! Period
Hilo likifanyika hutoona uwezo wa Lissu,mwenyewe ana akili zake kumg'ang'ania Magufuli.
 
Yan huo mdahalo hautachukua hata dakika moja Magu atasema sentensi moja tu alafu atasepa "Jaman tufanze kazi ilikusudi turete maendereo, hii nchi iririwa na mabeberu kweri kweri, hiiiiiii"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
..kampeni zimetuonyesha kwamba Jpm na TL ndio wagombea gani wenye ushawishi.

..hekima za kawaida kabisa, zinatuelekeza kwamba wagombea hao wawili ndio wanaostahili kualikwa ktk mdahalo.
2015 Lowassa na Magufuli ndio walikuwa na ushawishi ila wao ndio hawakushiriki mdahalo,kama Magufuli na sasa anagoma kufanya mdahalo hiyo haimzuiii Lissu kufanya mdahalo na wagombea wengine kama ilivyokuwa 2015.
 
2015 Lowassa na Magufuli ndio walikuwa na ushawishi ila wao ndio hawakushiriki mdahalo,kama Magufuli na sasa anagoma kufanya mdahalo hiyo haimzuiii Lissu kufanya mdahalo na wagombea wengine kama ilivyokuwa 2015.

..top contenders ktk uchaguzi ndio wanaoupa mdahalo hadhi na kuunogesha.

..Tume ya uchaguzi ilitakiwa iliweke jambo hili ktk sheria zetu za uchaguzi.

..kwenye nchi za wenzetu mgombea kukimbia mdahalo ni jambo la aibu kwelikweli.

NB:

..2015 Jpm na ccm walikuwa wanadai mdahalo, ila Lowassa akaukacha.

..2010 Dr.Slaa alikuwa anataka mdahalo, Kikwete akakimbia.
 
Pumzi ya Jukwaani imekata?
Kwanini hasiitishe mdahalo na mwenyekiti wa cdm.Waeleze umma.Kwanini mwenyekiti wa chadema ,alichukua mil 1.5 za kila mbunge?Na kwanini mwenyekiti ni wa kudumu pale chadem?Bado sana ndugu huyu kuwa Rais wa Tanzania .Atapewa vikazi vidogovidogo.
 
Hiki ndo kitu nnachotaka kuona kinatokea ingawa binafsi nimewahi kuona mahojiano ya mh.Lissu na nikapata kufahamu uelewa wke na maono yake juu ya JMT na ningetamani kuona na mh.Raisi wa JMT kufahamu maono yake n uelew wake. MUNGU IBARIKI JMT NA WATU WAKE.
 
Hana hadhi ya kukubaliwa.. kusimama na Rais wetu mpendwa.. Magufuli ni kiboko yake..

Ameshindwa ya mitaani kuongea mipasho 🤣🤣🤣🤣 mipasho.. uongo.. uoga nmk. Vyote yeye.. akalale sasa huko atakaporudi kwenda.. kama alivyopanga

Magufuli 2020 💯
 
Huyo mjamaa amekulia porini afu anajiona lugha ya kingereza ni kijijini kwao

Kufanya mjadala na mropkaji wa matusi nani atakubali?
Aende ubeligiji akafanye mjadala na robert
Mgombea wenu anaogopa saba ana IQ ndogo sana
 
Budgeting limiting factors inahusiana na vyanzo vya mapato, hili uweze kutumia lazima ujue source of your income. Uwezi toa lita kumi ya maziwa kwa ng’ombe mwenye uwezo wa kutoa lita tano. Ukilazimisha utakumua damu na kuuwa ng’ombe mwenyewe.

Mambo anayoongea Tundu Lissu ni kufurahisha baraza tu, sio maneno ya kushawishi wetu wenye uelewa kuwaonyesha kweli ana mbinu za kuipeleka nchi mbele.

Ni utoto kushabikia upuuzi wake mnataka na raisi nae aka entertain mgonjwa wenu kama polisi na NEC walivyoamua kumuangalia tu.
Upuuzi halafu mtoa mada unasoma?, Ridiculous. tulieni dawa iwaingie
 
alifanyiwa interview na Zuhura Yunus wa BBC akaomba po! akasema unanioneaaa
Tundu lisu anataka kuzungumzia risasi au ilani ya chama,
Kama ni risasi aende police akatoe ushirikiano, pili kama ni ilani aombe aonane na Bashiru au Polepole, kama ni mambo ya vyama akaonane na Katambi over.
Magufuri ni level ingine anasubiri mambo ya mataifa ndo wanaweza kufanya nae debate.
 
Mwana CCM mgombea wenu kakimbia Dakika 45, debate ataiweza?

Siasa ni sawa na ajira ukatae interview, presidential debate is part of the interview. Kwanini tukuchague wewe?

Mgombea wa CCM ana advantage ya 5 years gap. This should be easy for him. Sasa sijui wanakimbia nini? Njoo sema ulichofanya for 5 years na unachotaka kufanya for next 5 years. It is a great platform to boast about your achievements.

Wenye akili washawaelewa, hata hao CCM wanajua mgombea wao akenda kwenye debate ni kwenda kuadhirika tu, hawawezi kuruhusu hilo!

Mr mkiki.
 
Ukishakua na hulka za kibabe, jeuri, jazba, hasira za haraka, dharau, udikteta, kiburi, kutokujiamini,nk. huwezi kufanya mdahalo wa aina yoyote ile, maana muda wowote ule mambo yanaweza kuharibika kwa kuchafua hali ya hewa.
 
Moja ya VIPINDI vya kijinga kuliko kuwahi ni DEBATE.

Hapo kuna proposers na Opposers

HOJA: Elimisha mwanaume zaidi kuliko Mwanamke.
Hapa utasikia ujinga wa KUTOSHA

Sasa itokee eti Wagombea tunawapima kwa kuongea saaana na kutege mpinzani kwa hoja na kumpinga.

Kama mtu anataka kwenda kujifunza KUONGEA na kujua KUSEMA mbele za watu aende kwa DEBATE. Zaidi ya hapo haina uhusiano na utendaji. Ndio maana Tz tunaongea saaana bra bra nyingi lkn tuna deliver Zero.

Manina wallah
 
Back
Top Bottom