toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
Mi natamani kweli ufanyike mdahalo na sio lazima awepo Magufuli kama Magufuli hataki sio lazima hata 2015 yeye pamoja na Lowassa hawakutaka mdahalo na haikuwa issue. Mdahalo wagombea wengine wapo mdahalo unaweza kufanyika na tukaona huo uwezo wa Lissu.
Hilo likifanyika hutoona uwezo wa Lissu,mwenyewe ana akili zake kumg'ang'ania Magufuli.Ukweli ni huu hapa...
Magufuli ni Rais JMT...ni raia namba moja wa Tanzania huwezi kumkalisha meza moja ya mdahalo na Wahuni.
Lisu kwanini asiombe mdahalo na wenzake wanaoitaka Ofisi kuu kwa mara ya kwanza? Aombe mdahalo na Membe, Sipunda na Lipumba!! Period
2015 Lowassa na Magufuli ndio walikuwa na ushawishi ila wao ndio hawakushiriki mdahalo,kama Magufuli na sasa anagoma kufanya mdahalo hiyo haimzuiii Lissu kufanya mdahalo na wagombea wengine kama ilivyokuwa 2015...kampeni zimetuonyesha kwamba Jpm na TL ndio wagombea gani wenye ushawishi.
..hekima za kawaida kabisa, zinatuelekeza kwamba wagombea hao wawili ndio wanaostahili kualikwa ktk mdahalo.
Kwani mdahalo ndiyo unakufanya uweze kuongoza vizuri?Sio kwamba hutaki mdaalo ni kwamba unajua uwezo duni alio nao mgombea wenu.
2015 Lowassa na Magufuli ndio walikuwa na ushawishi ila wao ndio hawakushiriki mdahalo,kama Magufuli na sasa anagoma kufanya mdahalo hiyo haimzuiii Lissu kufanya mdahalo na wagombea wengine kama ilivyokuwa 2015.
Kwanini hasiitishe mdahalo na mwenyekiti wa cdm.Waeleze umma.Kwanini mwenyekiti wa chadema ,alichukua mil 1.5 za kila mbunge?Na kwanini mwenyekiti ni wa kudumu pale chadem?Bado sana ndugu huyu kuwa Rais wa Tanzania .Atapewa vikazi vidogovidogo.Pumzi ya Jukwaani imekata?
Mgombea wenu anaogopa saba ana IQ ndogo sanaHuyo mjamaa amekulia porini afu anajiona lugha ya kingereza ni kijijini kwao
Kufanya mjadala na mropkaji wa matusi nani atakubali?
Aende ubeligiji akafanye mjadala na robert
Mwambieni katambi anasubiri kufanya nae mdaharo
Upuuzi halafu mtoa mada unasoma?, Ridiculous. tulieni dawa iwaingieBudgeting limiting factors inahusiana na vyanzo vya mapato, hili uweze kutumia lazima ujue source of your income. Uwezi toa lita kumi ya maziwa kwa ng’ombe mwenye uwezo wa kutoa lita tano. Ukilazimisha utakumua damu na kuuwa ng’ombe mwenyewe.
Mambo anayoongea Tundu Lissu ni kufurahisha baraza tu, sio maneno ya kushawishi wetu wenye uelewa kuwaonyesha kweli ana mbinu za kuipeleka nchi mbele.
Ni utoto kushabikia upuuzi wake mnataka na raisi nae aka entertain mgonjwa wenu kama polisi na NEC walivyoamua kumuangalia tu.
Tundu lisu anataka kuzungumzia risasi au ilani ya chama,alifanyiwa interview na Zuhura Yunus wa BBC akaomba po! akasema unanioneaaa