13 September 2020
Iringa, Tanzania
"Nataka mdahalo kati yangu na JIWE" - Tundu Lissu
"hii ngoma ni kati yangu mie na Jiwe hivyo nafikiri ni jambo la heri na afya kidemokrasia kama mdahalo huu utatukutanisha na kurushwa live / mubashara na televisheni zote za Tanzania. (Watu wote viwanja vya MwembeTogwa Iringa mjini washangilia wakilipuka kwa vifijo) Haki hiyo ya waTanzania kuwapima wagombea hawa wawili wa kutoka CCM Mpya na CHADEMA na kuepukana kuchengana chengana wakati wanaweza kupanda katika kilinge wapambanishe hoja.
N.B

Mgombea wa CCM lazima asukumwe ndani ya ulingo, maana kama CCM ya zamani 2015 ilimburuta kuingia ktk kinyanganyiro cha kugombea basi CCM Mpya imburute aingie ulingoni kulinda heshima ya CCM Mpya katika mdahalo ili waTanzania wapate faida ya kisiasa nani ni zaidi :