Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Mimi ninaongea na kuandika kiingereza vizuri sana kuliko Lissu na Magufuli; ni matokeao ya nature ya kazi yangu ambapo nimekuwa mwalimu Marekani kwa takriban miaka 25 sasa. Je mimi ndiye ninafaa zaidi kuwa rais wa Tanzania? Nimemsikiliza Lissu anpoongea kiingereza jinsi anavyokosea na anatumia tabia ya kuweka pause kwa muda mrefu ili kurekebisha makosa hayo, na nimesikia Magufuli pia anapoongea kiingereza yeye anaongea kwa haraka katika lafudhi ya kisukuma na hivyo kufanya makosa ya matamashi fulani. Kati yao hakuna bingwa.Heri yake, Magu hata cha kuombea maji, akiongea kimalikia ni kelele tupu kama mashine ya diesel